Lema apatwa na balaa jingine!

HAMY-D

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
7,149
3,817
WanaJF,

Mbunge machachari wa Arusha mjini, bwana Godbless Lema, amepatwa na balaa kubwa bungeni baada ya kuthibitika kuwa amekuwa mtoro aliye kithiri.

Mhe Lema ana daiwa kuhudhuria vikao visivyozidi 3 tangu kufunguliwa rasmi shughuli za bunge maalumu la katiba. Jambo ambalo limemuweka kwenye hatari ya kupoteza uhalali wake wa kushiriki kwenye tukio hilo la kihistoria.

Pamoja na kwamba kwa sasa hakuna kamati ya maadili na haki za bunge, katibu wa bunge ameeleza kuwa suala la kuhudhuria bungeni ni jambo mtambuka, hivyo yeyote anaye puuza hilo atachukuliwa hatua kali za kinidhamu.

Aidha, itakumbukwa kuwa bwana Lema alikuwa amewekeza nguvu zake zote kwenye uchaguzi jimboni Kalenga lakini amepatwa na kichapo cha haja Kalenga na mambo yanazidi kumuendea kombo bungeni.
 
Ukikaa ukijisikia basi Lemaaaaaaaaa...

Mnakela sana, tujadili juu ya utanzania wetu kwanza na katiba sio watu
 
Fungua uzi mkuu na ujadili hayo unayo yataka. Kwani nani amekuzuia?

WEWE MBURULA HUMUWEZI MTUKUFU LEMA , ALIYEKINUNUA CHAMA CHENU NDUGU LOWASA ameufyata KWA PROPHET LEMA , UTAKUWA WEWE KAJAMBA NANI ?
 
Mbona chaguzi zote hapo zimefanyika huku kukiwa na upungufu wa wajumbe hao ambao hawajapjga kura ni akina nani mbona hatujasikia wakitajwa?
 
Wewe hata uniheshimu au unidharau kutaleta maslahi gani kwangu ama kwa taifa?

Yani mtu akiwa CHADEMA anakuwa na akili kama za bata.
Mwenye akili za bata ni wewe unaewaza wanaume kila kukicha na usipoangalia Lema Atakutotolesha mtoto.
 
WanaJF,

Mbunge machachari wa Arusha mjini, bwana Godbless Lema, amepatwa na balaa kubwa bungeni baada ya kuthibitika kuwa amekuwa mtoro aliye kithiri.

Mhe Lema ana daiwa kuhudhuria vikao visivyozidi 3 tangu kufunguliwa rasmi shughuli za bunge maalumu la katiba. Jambo ambalo limemuweka kwenye hatari ya kupoteza uhalali wake wa kushiriki kwenye tukio hilo la kihistoria.

Pamoja na kwamba kwa sasa hakuna kamati ya maadili na haki za bunge, katibu wa bunge ameeleza kuwa suala la kuhudhuria bungeni ni jambo mtambuka, hivyo yeyote anaye puuza hilo atachukuliwa hatua kali za kinidhamu.

Aidha, itakumbukwa kuwa bwana Lema alikuwa amewekeza nguvu zake zote kwenye uchaguzi jimboni Kalenga lakini amepatwa na kichapo cha haja Kalenga na mambo yanazidi kumuendea kombo bungeni.

Duh!!! Kwanini usiwe msemaji wa CHADEMA, kwa upande huo(Magamba). Siku nikiona umepost chochote kuhusu maendeleo (After 50+ years of independence zaidi ya mikopo mpaka vitukuuu) ntaanza kukusoma!!! Believe it, sijasoma hata bandiko lako, lakini kwa weyoyte anaeingina humu(hata occasional) ameshakusoma!!! mchumia tumbo. Siamini unapata buku 7 tu kama wenzio!!! Teh teh teh teh.....
 
WanaJF,

Mbunge machachari wa Arusha mjini, bwana Godbless Lema, amepatwa na balaa kubwa bungeni baada ya kuthibitika kuwa amekuwa mtoro aliye kithiri.

Mhe Lema ana daiwa kuhudhuria vikao visivyozidi 3 tangu kufunguliwa rasmi shughuli za bunge maalumu la katiba. Jambo ambalo limemuweka kwenye hatari ya kupoteza uhalali wake wa kushiriki kwenye tukio hilo la kihistoria.

Pamoja na kwamba kwa sasa hakuna kamati ya maadili na haki za bunge, katibu wa bunge ameeleza kuwa suala la kuhudhuria bungeni ni jambo mtambuka, hivyo yeyote anaye puuza hilo atachukuliwa hatua kali za kinidhamu.

Aidha, itakumbukwa kuwa bwana Lema alikuwa amewekeza nguvu zake zote kwenye uchaguzi jimboni Kalenga lakini amepatwa na kichapo cha haja Kalenga na mambo yanazidi kumuendea kombo bungeni.

dah mimi c mshabiki wa vyama vya siasa, ila huyu HAMY DUDE ,ananiboa kila siku akilala cdm, akiamka, cdm
utadhani cdm imemvurugia kichwa chake, cjui cdm ikitoweka ataandika nini maskini, au nayeye anachukua buku 7?
 
WanaJF,

Mbunge machachari wa Arusha mjini, bwana Godbless Lema, amepatwa na balaa kubwa bungeni baada ya kuthibitika kuwa amekuwa mtoro aliye kithiri.

Mhe Lema ana daiwa kuhudhuria vikao visivyozidi 3 tangu kufunguliwa rasmi shughuli za bunge maalumu la katiba. Jambo ambalo limemuweka kwenye hatari ya kupoteza uhalali wake wa kushiriki kwenye tukio hilo la kihistoria.

Pamoja na kwamba kwa sasa hakuna kamati ya maadili na haki za bunge, katibu wa bunge ameeleza kuwa suala la kuhudhuria bungeni ni jambo mtambuka, hivyo yeyote anaye puuza hilo atachukuliwa hatua kali za kinidhamu.

Aidha, itakumbukwa kuwa bwana Lema alikuwa amewekeza nguvu zake zote kwenye uchaguzi jimboni Kalenga lakini amepatwa na kichapo cha haja Kalenga na mambo yanazidi kumuendea kombo bungeni.

Ni vyema ukatumia kichwa kufikiri kulko kutumia makario,tumia ushahuri huu kutwa × 3 kwa siku 7 baada ya hapo utaona mabadiriko makubwa.
 
WanaJF,

Mbunge machachari wa Arusha mjini, bwana Godbless Lema, amepatwa na balaa kubwa bungeni baada ya kuthibitika kuwa amekuwa mtoro aliye kithiri.

Mhe Lema ana daiwa kuhudhuria vikao visivyozidi 3 tangu kufunguliwa rasmi shughuli za bunge maalumu la katiba. Jambo ambalo limemuweka kwenye hatari ya kupoteza uhalali wake wa kushiriki kwenye tukio hilo la kihistoria.

Pamoja na kwamba kwa sasa hakuna kamati ya maadili na haki za bunge, katibu wa bunge ameeleza kuwa suala la kuhudhuria bungeni ni jambo mtambuka, hivyo yeyote anaye puuza hilo atachukuliwa hatua kali za kinidhamu.

Aidha, itakumbukwa kuwa bwana Lema alikuwa amewekeza nguvu zake zote kwenye uchaguzi jimboni Kalenga lakini amepatwa na kichapo cha haja Kalenga na mambo yanazidi kumuendea kombo bungeni.

Balaa liko wapi hapo? Na mbona Lema hujamuuliza kupata opinion yake umekomaa na habari ya upande mmoja?
 
Back
Top Bottom