Lema apatwa na balaa jingine!

Lema apatwa na balaa jingine!

Wewe hata uniheshimu au unidharau kutaleta maslahi gani kwangu ama kwa taifa?

Yani mtu akiwa CHADEMA anakuwa na akili kama za bata.
Angalia usije kutukana wakwe zako!!!
 
WanaJF,

Mbunge machachari wa Arusha mjini, bwana Godbless Lema, amepatwa na balaa kubwa bungeni baada ya kuthibitika kuwa amekuwa mtoro aliye kithiri.

Mhe Lema ana daiwa kuhudhuria vikao visivyozidi 3 tangu kufunguliwa rasmi shughuli za bunge maalumu la katiba. Jambo ambalo limemuweka kwenye hatari ya kupoteza uhalali wake wa kushiriki kwenye tukio hilo la kihistoria.

Pamoja na kwamba kwa sasa hakuna kamati ya maadili na haki za bunge, katibu wa bunge ameeleza kuwa suala la kuhudhuria bungeni ni jambo mtambuka, hivyo yeyote anaye puuza hilo atachukuliwa hatua kali za kinidhamu.

Aidha, itakumbukwa kuwa bwana Lema alikuwa amewekeza nguvu zake zote kwenye uchaguzi jimboni Kalenga lakini amepatwa na kichapo cha haja Kalenga na mambo yanazidi kumuendea kombo bungeni.

Hivi unafuatilia nyendo za mkeo wakati haupo? Fuatailia utagundua anavyokudanganya! Tunakuangalia tu.
 
Ni vyema ukatumia kichwa kufikiri kulko kutumia makario,tumia ushahuri huu kutwa × 3 kwa siku 7 baada ya hapo utaona mabadiriko makubwa.
Chopa 3 kata 3. Bado tupo kalenga
 
Atakuwa hospitalini amelazwa;
ni baada ya kujikuta kuwa si lolote wa chochote kuleeee.

Tumwombee apone tu ili aende chalinze.
 
Atakuwa hospitalini amelazwa;
ni baada ya kujikuta kuwa si lolote wa chochote kuleeee.

Tumwombee apone tu ili aende chalinze.

Nimekuwa nikiwasiliana na makamanda wa CDM walioko Chalinze na wamekuwa wakilalamika juu ya uchaguzi na kampeni kuwa ngumu kisa hawana chopa. Hivyo wanaomba Lema awapelekee chopa Chalinze.
 
ningekuwa mimi ni Lema ningekiuka hata misingi ya dini ikibidi ili kukutolea posa kwenu.
 
Ngoja safari hii watatumia ungo;
Iringa walikopa mahela wakashindwa;
ni nani atawafadhili tena.

Nimekuwa nikiwasiliana na makamanda wa CDM walioko Chalinze na wamekuwa wakilalamika juu ya uchaguzi na kampeni kuwa ngumu kisa hawana chopa. Hivyo wanaomba Lema awapelekee chopa Chalinze.
 
WanaJF,

Mbunge machachari wa Arusha mjini, bwana Godbless Lema, amepatwa na balaa kubwa bungeni baada ya kuthibitika kuwa amekuwa mtoro aliye kithiri.

Mhe Lema ana daiwa kuhudhuria vikao visivyozidi 3 tangu kufunguliwa rasmi shughuli za bunge maalumu la katiba. Jambo ambalo limemuweka kwenye hatari ya kupoteza uhalali wake wa kushiriki kwenye tukio hilo la kihistoria.

Pamoja na kwamba kwa sasa hakuna kamati ya maadili na haki za bunge, katibu wa bunge ameeleza kuwa suala la kuhudhuria bungeni ni jambo mtambuka, hivyo yeyote anaye puuza hilo atachukuliwa hatua kali za kinidhamu.

Aidha, itakumbukwa kuwa bwana Lema alikuwa amewekeza nguvu zake zote kwenye uchaguzi jimboni Kalenga lakini amepatwa na kichapo cha haja Kalenga na mambo yanazidi kumuendea kombo bungeni.

Hivi UMEOLEWA WEWE?
 
Kweli kushabikia chadema lazima uwe msukule na akili za Kobe, Tangu lini Mtukufu akawa:-

1. Shoga

2. Mwizi wa Magari

3. Master key partner.

4. Mvuta bangi.

5. Mtoa Matusi ma dharau

6. Mbaguzi wa wengine ie. Alichomfanyia Zitto.

Hiyo pepo ambayo Lema ni Mtukufu itakuwa Tengeru, sio ile iliyoandikwa kwenye vitabu vitakatifu.

Kama una iamini ile pepo iloandikwa na vitabu vitakatifu. Biblia ipo wazi, usihukumu nawe usijehukumiwa. Mwenye jukumu hilo ni mmoja tu Mungu muumba mbingu na nchi, tafakari
 
Nyie mnaoishi dar hamjui jinsi gani tunavyomkubali lema huku arusha mnaowashwa mnaweza kuendelea kumdiscuss .Kwa taarifa yenu CCM Hana chake arusha
 
Ingekuwa vyema tunapo post tuwe tunajivua u bias ili hoja au taharifa iwe na maana kwa tunaopita kwenye hoja hiyo, hii kwangu ni kama habari mpya kwa nlivyolizoea hili jukwaa but ulipoweka mambo ya kalenga hakili ika turn na kuona ni kama moja vijembe vya ki vyama au chuki binafsi kwa Lema, bahati mbaya siko peke yangu ndo mana wengine wanahoji kuhusu watoro waliobaki ( pitia wachangiaji wa juu ).

Jukwaa hatulitendei haki na limepoteza ule umakini na heshima ya mwanzo, kuna jamaa yangu mmoja ambaye alikuwa akinishawishi kuingia humu sku hizi hazungumzii jamii kabisa na ninapo mwuliza anasema jamii ime change sana huwezi pata habari ya uhakika wala kujenga hoja za maana ndo maana zamani watu wa level flan walikuwa napita na kupost humu sana but now days kuwapata daaa ni ishu kweli, any way mnisamehe ntakao wakwaza NI MTAZAMO TUU WASHKAJI MSIJENGE CHUKI.
 
Ww kalenga mlitesa mliua kwl na ushahid tunao kura hakupata ki halali mnakuja kujisifia ujinga hapa
 
Back
Top Bottom