Lema apatwa na balaa jingine!

Lema apatwa na balaa jingine!

Nyie mnaoishi dar hamjui jinsi gani tunavyomkubali lema huku arusha mnaowashwa mnaweza kuendelea kumdiscuss .Kwa taarifa yenu CCM Hana chake arusha

LEMA ndio yuko katika enzi zake za mwisho za ubunge, 2015 ubunge atausikia tu! Labda akagombee MACHAME, huku Arusha tumechoswa na Fujo na maandamano yasiyo na tija. Tunataka maendeleo, tutaichagua CCM.
 
Inclusion of youth in Daftari la kudumu is an Issue in CCM
 
Nimekuwa nikiwasiliana na makamanda wa CDM walioko Chalinze na wamekuwa wakilalamika juu ya uchaguzi na kampeni kuwa ngumu kisa hawana chopa. Hivyo wanaomba Lema awapelekee chopa Chalinze.

Hahahahahahahahaha baada ya kusoma post hii imenifanya nicheke sana.
 
Tafsiri ya BALAA ni ngumu kwa watu wengine. Sikujua
 
1. Mwanafunzi aliyebakwa jina tunalihifadhi (umri 16), yeye ni Yatima, ana dada umri (20)
2. Shule anaposoma, ni Turian Sekondari – ipo Magomeni Jijini Dar es salaam, anakaa Gongolamboto, mwisho wa lami jijini Dar, majirani wapo wanajua
3. Rafiki wa Mwanafunzi aliyempeleka kwa baba yake ni mtoto wa aliyekuwa Diwani wa Sinza, Mwaking'inda, na Mwaking'inda ndio alimpeleka kwa Kapuya ili awe anamsaidia Ada
4. Kapuya amemsaidia Ada kwa masharti ya ngono bila kujali umri, na kwa mara ya kwanza akamfanya akiwa na bastola kwa malipo ya laki 7, mara ya pili ofisini kwake kwa malipo ya laki tatu na nusu baada ya mtoto kukataa kwenda hotelini akikumbuka alichofanyiwa mara ya kwanza, na akidhani ofisini ni salama lakini akafanywa kwenye kapeti, akatoka kwa huzuni, Mama wa mapokezi alipomwangalia akamhurumia akamhoji alipojieleza ndio Yule mama wa mapokezi akaanza kulia na kumhurumia huku akimwarifu kuwa jamaa ni mwathirika, mwanafunzi huyo anapiga kelele anakamatwa na walinzi na kupelekwa kituo kidogo cha polisi Mango Garden, kujieleza kuwa kabakwa ndio wakampeleka Oysterbay Kituo kikubwa, huko jamaa anaitwa kistaarabu wanayamaliza kwenye dawati la jinsia kisha akaandika na kuweka sahihi kuwa atakuwa analipa laki 3 kila mwezi, na amekuwa akitekeleza hili kupitia simu namba 0755993930. Anaweza kuulizwa alikuwa anamsaidia kama yatima au kama nani? Je kwanini alimpa gari T199 BGY, Marcedes Benzi ili atulie kwa kuwa yeye atakuwa Waziri Mkuu ajaye hivyo CV yake itachafuka baada ya 2015?
5. Kufuatia kupeleka Benzi ndio watoto wanamshitukia anataka kukwepa wajibu wa kulipa kila mwezi, wakataka kumpeleka Mahakamani, polisi wa Oysterbay wakafanya tena "ustaarabu" kuomba busara ya Katibu wa Bunge, na katibu wa Bunge ili kuonyesha ana busara zaidi kuliko kuruhusu watoto hawa, mwathirika na dada yake waende mahakamani anawaita Bungeni, amewakalisha Dodoma wiki mbili, akiwapatia usafiri na Malazi ili wamsubiri Kapuya aje wayamalize. Imeshindikana, Bunge limeisha wamepewa gari kuja Dar, taratibu zote zilifanywa chini ya msaidizi wa Kashilila anaitwa Mpanda
6. Kabla hawajaja Dar kwa maelekezo yaliyotolewa na Mwigulu Nchemba, aliyewapigia watoto hawa simu na kuwaandikia ujumbe mfupi wasiongee na waandishi jambo hilo litajulikana, alitumia simu yake 0714-008888, na aliwaandikia ujumbe mara 4. 6/11/2013, saa 7:25 mchana akitoa taarifa yupo kwenye kikao asubiriwe, 5/11/2013 saa 10:17 alasiri akiuliza kama watoto wamempigia Kapuya akubali wayamalize au bado?, 5/11/2013, saa 2:11 asubuhi akiwa singida, anamwarifu kwa ujumbe mtoto huyo, "ngoja nakuja leo tuongee" ingawa siku hiyo hiyo saa 12:00 Asb, alimwandikia Yule mtoto "je Umempigia Kapuya Simu?.
7. Watoto walikuja Dar kwa ushauri wa Mwigulu ili waweze kuonana na Philip mangula, walipomkosa walionana na Katibu Mkuu wa CCM , Kinana, na aliwajibu kuwa masuala ya kubaka ni ya mtu binafsi sio ya Chama, ni katika hilo mtoto anatoka analia, hakuridhika alipofika nje alitonywa na wanafunzi mwingine kuwa wale watu wanajadiliana kukuogesha maji yaliyo katika chupa (yawezekana tindikali), akakimbia akapotea kabla haokotwa na wasamaria na kufikishwa kwa waandishi wa habari. Akiwa tayari kwa waandishi wa habari, Mtu aliyewapeleka kwa Kinana kwa jina anaitwa Rehema Nchimbi, kupitia simu yake 0784886090, saa 6:43 Mchana amewatumia ujumbe "wewe mwanangu, nakupenda sana, nakuomba usiende kukashifu CCM elezea tu udhaifu wake nakuahidi tupo pamoja", na dakika nne baadaye 6:47 anamwandikia "naona hutaki kunielewa, sina la kufanya".
8. Licha ya hawa walioko Dar es Salaam, watoto hawa wakiwa Dodoma bungeni wamefanya vikao mbalimbali na spika na baadhi ya Wabunge, na huyu mwenye hii namba 0787597494, tarehe 18/10/2013 anaandika (……………jina la mtoto.) "kama mama niliamua kuwasaidia na pia kumsitiri mbunge mwenzangu, lakini mmeona jilivyojitahidi kifedha, muda wangu na uezo wangu, matokeo yake kapuya anaona mimi mzushi, muongo. Sina ninalofaidika ilikuwa roho yangu ya hurumasasa naomba kuanzia sasa msinihusishe na lololte kwani sipendi kuingia katika matatizo, kila la heri wanangu".
9. Wengine wanaotajwa kulijua hili kwa undani ni Spika mwenyewe, Lembeli, Rage, na mwingine aliyeweza kuguswa hadi akawapa pesa ya kujikimu nambayake (0715------39, Aliwatumia pesa katika simu yao saa 10:43, ujumbe wa tigo ni pp131030.1643.E.04731
10. MNYONGE MNYONGENI, HAKI YAKE MPENI…CCM wanajua jambo hili kwa undani, wanamlinda Kapuya ili kesi ya Ubakaji isimkute, na sasa anajitahidi kuwahi mahakamani awashtaki watoto hawa ili kesi ya msingi isisikilizwe. Nini maana ya neno haki katika Tanzania??????????
 
Ukikaa ukijisikia basi Lemaaaaaaaaa...

Mnakela sana, tujadili juu ya utanzania wetu kwanza na katiba sio watu

"Mnakela" = Mnakera.

Kitendee haki Kiswahili. Usiwe kama msukule asiyejuwa lugha yake ya Taifa.
 
NDC

Miaka michache iliyopita iliibuka kashfa ndani ya chama tawala, Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambayo kwa kiasi kikubwa ilikitikisa na kukiyumbisha. Kashfa hiyo ilitokana na mkataba ambao ulitiwa sahihi na uongozi wa Umoja wa Vijana wa CCM na kampuni ya Bwana Subhash Patel kwa mintarafu ya kujenga jengo kubwa kuliko yote hapa Dar es Salaam (kwa sasa) kwa njia ya ubia kwenye kiwanja kilichopo kwenye kona ya barabara za Morogoro na Lumumba.

Ni dhahiri kuwa ufisadi hapa nchini Tanzania ni nadra kujulikana mpaka inapotokea wale wadau wa ufisadi husika wanapokorofishana. Hapo ndipo huwa ‘mambo hadharani'. Vinginevyo, ukitegemea vyombo vya dola ndivyo vianike uoza basi utasubiri milele. Kwani inakisiwa kuwa mara nyingi navyo huhusika kwenye maovu hayo au katika kuyaficha.

Sasa kashfa hii iliibukaje hadharani? Kashkash hii ilianza pale mwanachama wa CCM mwandamizi Bwana Nape Nnauye alipotaka kugombea uenyekiti wa UVCCM yaani Umoja wa Vijana wa CCM Taifa. Majungu yakaanza na jina lake kufutwa na hapo ndipo kisu kikafika mfupani. Nape akatangaza hadharani kuwa kuna ufisadi mkubwa ndani ya UVCCM na ndio maana jina lake limefutwa.

Nape akatema cheche, ‘Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini ya UVCCM Bwana Edward Lowassa, (Waziri Mkuu aliyejiuzulu kutokana na kashfa ingine ya ufisadi ya Richmond) pamoja na Mwenyekiti wa UVCCM (wa wakati ule) Bwana Emmanuel Nchimbi ndio waliosaini mkataba kwa upande wa UVCCM kuingia ubia na Subhash Patel'. Alisema mkataba huo ulisainiwa kinyemela na haukupitishwa na mamlaka halali za UVCCM. Aidha, mkataba huo ulimpendelea mno mno Subhash na hata kufikia mahali Subhash akabidhiwe jengo la UVCCM ili aliweke dhamana ili akope benki kwa ajili ya ujenzi huo. Yaani ni kisa cha kumkaanga samaki kwa mafuta yake!

Hatimaye, Kamati Kuu ya CCM iliunda ‘tume ya uchunguzi ambayo hadi leo haijulikani iliishia wapi. Bwana Nape alizuiwa kugombea uenyekiti wake na baadae kidogo Mwenyekiti Jakaya Kikwete akamteua kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi kwenye Sekretarieti ya Taifa ya CCM. Cheo kikapanda na mdomo wake ukazibwa, kimya.

Bwana Subhash ni mfanyabiashara mashuhuri hapa Dar es Salaam ambaye mara nyingi amekuwa akijinasibu na kutamba hadharani kuwa yeye ni mzaliwa wa kijiji cha Msoga, Chalinze na kuwa yeye na Rais Jakaya Kikwete tangu utotoni wamekuwa pamoja hapo kijijini. Utajiri wake wa ghafla Subhash umezua maswali mengi hapa nchini tangu enzi za awamu ya pili. Aidha uhusiano wake na Rais Mwinyi na ‘madili yake pale Wizara ya Fedha nayo pia yameacha hisia zenye ‘utata mtupu.

Inasemekana mwaka 2005 Kikwete alipogombea uraisi kwa mara ya kwanza, Subhash kupitia njia mbalimbali aliifadhili kampeni ya Urais kwa kiasi cha mabilioni ya shilingi hadi mwisho. Pamoja na kuwa CCM ilipata ufadhili mkubwa kutoka Uarabuni, Afrika ya Kusini, Kampuni za madini na bila ya kusahau fedha za wizi za EPA kutoka Benki Kuu ya Tanzania, bado Subhash nae alibaki mstari wa mbele kwenye zoezi hilo.

Waingereza wana msemo ''A favour begets another'. Yaani anaekufanyia fadhila fulani basi ujue iko siku nae atataka uilipe. Haiwezekani Bwana Subhash akamwaga mapesa yote hayo kwa sababu anampenda sana Rais mtarajiwa. Au kuwa Bwana Subhash ana mtambo wa fedha za kumwaga zisizo na mwisho? La hasha! Yeye na wengine walikuwa wanawekeza ili wapate utajiri usiomithilika hapo baadaye kwa kutumia vibaya jina la Rais kuwatisha watendaji na wafanyabiashara wenzake. Vinginevyo wafadhili wote hao walikuwa na haja ya kulinda ‘madudu na ngawira (loot) walizokwapua hapa nchini.

Hebu tuchepuke kidogo: Kama sote tujuavyo, Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) limekabidhiwa miradi mikubwa na muhimu hapa nchini. Pamoja na miradi mingi, limekuwa likisimamia pia mradi mkubwa wa makaa ya mawe wa Mchuchuma na mradi wa madini ya chuma wa Liganga iliyopo Ludewa huko kusini ya Tanzania kwa takriban miaka 40 sasa. Kwa shinikizo la ‘wakubwa na kinyume na ushauri mahiri wa kitaalamu mradi huo uligawanywa na kumegwa vipande ili hatimaye akakabidhiwa Bwana Subhash moja ya kipande cha miradi hiyo katikati ya wingu la rushwa.

Ufisadi huu ulizungumzwa kwa kina bungeni mwaka 2006 (hansards za bunge la bajeti la 2006 zahusika). Hata hivyo, juhudi za wanaharakati kuzuia mradi huu ziligonga ukuta kwa kuwa ulufanyika ulaghai kuonyesha Bwana Mkubwa alishinikiza mamlaka zinazohusika zihakikishe mradi huu unakabidhiwa kwa M. M. Steel ambayo ni kampuni ya Subhash. Upo ushahidi unaothibitisha namna ‘jina la Bwana Mkubwa kutumika katika kufuatilia mchakato huo. Ili kuhakikisha zoezi hili halikwami, Waziri Mkuu (sasa mjiuzulu) alihakikisha anateuliwa Mkurugenzi Mtendaji mpya wa NDC ambaye ni wa kabila lake. Wengine waliosaidia ‘gemu hii ni pamoja na Waziri wa Biashara na Viwanda, aliyejiuzulu baadae kwa kashfa, kwa kuwatisha wahusika hadi mpango huo ulipofanikiwa.

Tukirudi UVCCM, magazeti yakaripoti kwa upana yale yote yaliyojiri kuhusiana na ufisadi wa mkataba wa ubia. Hata hivyo, pamoja na ushahidi wa dhahiri ulioweka wazi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa UVCCM Bwana Lowassa pamoja na Mwenyekiti wa UVCCM Bwana Nchimbi walihusika moja kwa moja kwa kusaini mkataba mbovu wa kifisadi na Bwana Subash; CCM yenyewe iliogopa kuchukua hatua kwa sababu ambazo watafiti wengi waliziona kuwa ni za kisiasa.

Aidha, uhusiano wa kivuli cha Mwenyekiti Kikwete na Subhash, ambaye kwa kujua ama bila kujua alikuwa na deni la fadhila kwa Subhash, usingeruhusu haki na sheria kufuata mkondo wake. Isitoshe, pamoja na harakati zote za CCM za kushinda uchaguzi wa mwaka 2005, Kikwete aling'amua mapema kuwa Lowassa aliwekeza mno kwenye ‘mtandao ndani ya CCM kiasi kuwa Kikwete asingethubutu kumwajibisha Lowassa kwa ufisadi wa UVCCM. Watazamaji wa kisiasa wanaamini kuwa kwa hivi sasa, Lowassa anamiliki mtaji mkubwa zaidi ndani ya CCM kuliko Kikwete.

Kwa vile sote sasa tunajua maslahi ya Kikwete yaliyotokana na Subhash yamelengwa wapi, hebu tuangalie maslahi ya wachezaji wengine yalipokaa. Maslahi ya Bwana Lowassa hayako dhahiri sana mpaka sasa lakini ukiangalia namna ambavyo anagawa pesa kwa makanisa mbalimbali na Bakwata utapata angalau dalili ya kiasi cha fedha alizotengeneza ndani ya miaka miwili tu ya uwaziri mkuu wake. Tunafahamu kuwa ana biashara zake, lakini je, fedha hizi anazogawa tukizijumlisha zinawiana na kodi anazolipa TRA?

Wengi wetu tunashangaa, vipi Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa nzito ya Richmond bado analipwa marupurupu ya kustaafu. Hivi Lowassa anaweza kufananishwa na Salim, Warioba, Msuya au Sumaye katika utumishi wao? Kama siyo, basi inakuwaje anaejiuzulu kwa hiari, anaemaliza muda wake kwa salama na yule mwenye kashfa wote wanawekwa kundi moja?

La kushangaza zaidi, Lowassa bado ni mbunge, inakuwaje alipwe na Serikali hiyohiyo mishahara miwili? Jamani, sisi wafanyakazi wa kawaida, tunakatwa NSSF kwenye mishahara yetu kila mwezi. Ili tulipwe ‘NSSF yetu sharti ithibitike kuwa hatuna ajira nyingine. Ikiwa bado tumeajiriwa basi hatulipwi. Sasa maisha ya kisiasa ya Lowassa yananikumbusha kisa cha popo na ndege! Kama huu si ufisadi ni nini?

Twende tuone: Je, Waziri wa Biashara na Viwanda wa wakati ule aliyejiuzulu alifaidikaje kwenye ‘mission' hii? Yeye ni mbia katika kampuni ya shughuli za upakuaji wa makontena za bandari ya Dar es Salaam, TICTS. Anashirikiana na Rostam Aziz, mtu ambaye ni rafiki wa damu na Lowassa na kinara wa kampeni ya kumuingiza Kikwete madarakani ambaye hivi sasa yuko mafichoni kufuatia kujiuzulu ubunge baada ya kuandamwa kisiasa. Rostam naye ana kashfa za kutosha zinazomuandama pamoja na zile za wizi wa EPA.

Tumalize ya Waziri wa Biashara na Viwanda: Kwanza utajiri wake wa ghafla, tokea afisa mauzo wa Twiga Cement hadi Ubunge na Uwaziri hautiririki kimaelezo. Aidha fedha ambazo yeye hupoteza katika mahusiano yake na kina mama mashuhuri inafahamika kwa kina. Lakini kwa namna alivyohangaikia miradi ya Subhash hadi ku-risk kwa kukiuka sheria, ni vigumu kutomhusisha na rushwa au ufisadi.

Haya basi kwa kumalizia, hebu tuangalie sakata la UVCCM lilivyoendelea. Bwana Nchimbi, baada ya kutia sahihi yake kwenye mkataba wa jengo la UVCCM alitunukiwa kiwanja kikubwa tu kule Mbezi Beach, eneo ambalo ni mali ya Subhash ambacho ni Kiwanja Na. 936. Kiwanja hicho kinapakana na viwanja Na. 937 cha Jenerali Mstaafu Mboma na Kiwanja Na. 938 cha Mama Kibona. Mboma alikuwa Mkuu wa Majeshi na Mama Kibona ni mke wa aliyekuwa Waziri wa Fedha awamu ya pili, marehenu Steven Kibona. Viwanja vyote hivyo vitatu vilikuwa ni mali ya Subhash.

Zipo sababu kwanini Subhash alimtunukia Mboma kiwanya ambacho baadae Jeshi la Wananchi (JW) lilimjengea nyumba ya kustaafu pamoja ya kuwa zipo nyumba nyingine nyingi tu hapahapa Dar es Salaaam ambazo yeye Jen. Mboma alizijenga na ambazo anamiliki. Inasemekana kuwa Subhash alipata kufanya biashara na Jeshi la Wananchi kwa kutunukiwa tenda kadhaa za ugavi. Itoshe tu kusema utajiri wa Jenerali nao pia unatisha na hauelezeki.

Nae Mama Kibona anaingiaje kwenye sakata hili hadi apewe zawadi ya kiwanja na Bwana Subhash. Kama tulivyonyambua hapo awali, utajiri wa Subhash kwa kiasi kikubwa ulitokana na ‘mishen tawni' zake pale Wizara ya Fedha kipindi cha Rais Mwinyi cha awamu ya pili. Nae marehemu Kibona alikuwa Waziri wa Fedha wakati huo.

Ufisadi kupitia programu kadhaa pale Wizarani mathalan Debt buyback, debt conversion, import support, EPA nk. nk. ziliwatajirisha wafanyabiashara wengi miongoni mwa jamii za kiasia na kabila moja la kaskazini mwa nchi yetu. Wizi, rushwa na ufisadi ukazaa genge la watu wachache ambao walilala maskini na ghafla wakaamka matajiri wa kutupwa. Maafisa wa Serikali pale wizarani na Benki Kuu hali kadhalika wakaneemeka.

Mwisho wa mchezo huu ni maslahi aliyofaidi Bwana Nchimbi! Waingereza wana msemo, ''They are no free lunches', yaani hakuna ruzuku au zawadi za bure maishani. Mwishoni lazima ulipie chochote kile unachopokea, kwa njia moja au ingine. Nchimbi kama Jenerali na Mama Kibona, kapewa kiwanja Mbezi Beach baada ya kumwaga wino kwenye mkataba uliogubikwa na ufisadi mkubwa. Na hivi tunavyozungumza, kampuni ya Subhash, Estim Construction Ltd. inaporomosha majengo ya ghorofa kadhaa kwenye kiwanja hicho. Inaonyesha kale kasungura ka UVCCM hakakuwa kadogo kiasi hicho!

Sasa tujiulize sisi wakereketwa, kuna msafi aliyebaki ndani ya CCM? Naam, hili ndio swali la dola milioni moja
 
Lema anaonyesha yuko kwa ajili ya ukombozi wa Taifa, hana njaa za posho za bungeni kama maccm. Wachumia tumbo wasio na hoja.
 
yaani lema hawezi kuhudhuria mle kwa kuwa bunge lile sio saizi yake kwa kuwa ni la watu wenye akili timamu na wasomi sasa lema anajijua kabisa yeye ki kichwa nazi hana la kuchangia mle ,mwacheni aendelee kuliwa mini kabang huko anakoshinda badala ya kuwa mjengoni

How about Prof.Maji Marefu?
 
WanaJF,

Mbunge machachari wa Arusha mjini, bwana Godbless Lema, amepatwa na balaa kubwa bungeni baada ya kuthibitika kuwa amekuwa mtoro aliye kithiri.

Mhe Lema ana daiwa kuhudhuria vikao visivyozidi 3 tangu kufunguliwa rasmi shughuli za bunge maalumu la katiba. Jambo ambalo limemuweka kwenye hatari ya kupoteza uhalali wake wa kushiriki kwenye tukio hilo la kihistoria.

Pamoja na kwamba kwa sasa hakuna kamati ya maadili na haki za bunge, katibu wa bunge ameeleza kuwa suala la kuhudhuria bungeni ni jambo mtambuka, hivyo yeyote anaye puuza hilo atachukuliwa hatua kali za kinidhamu.

Aidha, itakumbukwa kuwa bwana Lema alikuwa amewekeza nguvu zake zote kwenye uchaguzi jimboni Kalenga lakini amepatwa na kichapo cha haja Kalenga na mambo yanazidi kumuendea kombo bungeni.

Asipo hudhuria si hachukui 300,000/=? Kama hela hiyo inabaki serikanini, kuna ubaya gani? Kwa taarifa hii ina maana Bunge limeyumba na tumepata hasara kwa kutohudhuria kwake? Tusiwe wapu.mbavu kufuatilia kila kitu bila kutathimini hasara inayopatikana kwa tunachokiandikia!
 
.........Lazima mtu awe chizi au awe mwana CCM ndo aweze kuelewa lengo la uzi wako, ebu acha nikae pembeni mie.
 
Mkuu yeriko upo ulipotea kidogo baada ya tar 16
 
Wanaojibu hoja kwa kutukana wanaonesha wazi wazi kua hawaji tambui ni mis
 
Heri Lema amehudhuria vikao vitatu, tunajua alikuwa anafanya kazi gani, tuambie Dewji anahudhiria lini? mbona Bungeni haende halafu nyie maCCM mnamtetea kwa kupata kafungu,

WanaJF,

Mbunge machachari wa Arusha mjini, bwana Godbless Lema, amepatwa na balaa kubwa bungeni baada ya kuthibitika kuwa amekuwa mtoro aliye kithiri.

Mhe Lema ana daiwa kuhudhuria vikao visivyozidi 3 tangu kufunguliwa rasmi shughuli za bunge maalumu la katiba. Jambo ambalo limemuweka kwenye hatari ya kupoteza uhalali wake wa kushiriki kwenye tukio hilo la kihistoria.

Pamoja na kwamba kwa sasa hakuna kamati ya maadili na haki za bunge, katibu wa bunge ameeleza kuwa suala la kuhudhuria bungeni ni jambo mtambuka, hivyo yeyote anaye puuza hilo atachukuliwa hatua kali za kinidhamu.

Aidha, itakumbukwa kuwa bwana Lema alikuwa amewekeza nguvu zake zote kwenye uchaguzi jimboni Kalenga lakini amepatwa na kichapo cha haja Kalenga na mambo yanazidi kumuendea kombo bungeni.
 
WanaJF,

Mbunge machachari wa Arusha mjini, bwana Godbless Lema, amepatwa na balaa kubwa bungeni baada ya kuthibitika kuwa amekuwa mtoro aliye kithiri.

Mhe Lema ana daiwa kuhudhuria vikao visivyozidi 3 tangu kufunguliwa rasmi shughuli za bunge maalumu la katiba. Jambo ambalo limemuweka kwenye hatari ya kupoteza uhalali wake wa kushiriki kwenye tukio hilo la kihistoria.

Pamoja na kwamba kwa sasa hakuna kamati ya maadili na haki za bunge, katibu wa bunge ameeleza kuwa suala la kuhudhuria bungeni ni jambo mtambuka, hivyo yeyote anaye puuza hilo atachukuliwa hatua kali za kinidhamu.

Aidha, itakumbukwa kuwa bwana Lema alikuwa amewekeza nguvu zake zote kwenye uchaguzi jimboni Kalenga lakini amepatwa na kichapo cha haja Kalenga na mambo yanazidi kumuendea kombo bungeni.

Wewe mwanamke sijui kama umebahatika kuolewa, kwani ushambenga ulionao ni hatari ktk maisha ya ndoa.unaongelea lema kutokuwa bungeni sababu ya uchaguzi wa kalenga, umemsahau mwigulu? Au hilo balaa linampata lema tu? Ungekuwa mstaarabu ungesema janga lawapata mwigulu na lema hapa ungeeleweka.Naona hapa unaweweseka na ngumi za jaji Warioba za serikali 3.
 
Lema ndio amesababisha CHADEMA kutupwa mbali Kalenga kwa kuwa wana Kalenga waliziona picha zake alizokuwa anapumuliwa kisogoni na majembe.

Wewe mbona unapumuliwa na wazee wa lumumba kwa ahadi ya kuwemo ktk bunge la katiba lakini wakakutupa kama ganda la muwa? Au unafikiri hatukujui?
 
HAMY-D

Nina hofu siku si nyingi utakuwa chizi kwa jina la mungu!
Ni nini tabu sana?
Unajua sikutegemea ninafungua thread hii nikutane na madudu uliyoandika mtu ninayekujua kama wewe!
Haya nenda lumumba kachukue chako.
 
Last edited by a moderator:
lema mwakani.ubunge atausikia redioni tu. wana arusha hatuwezi kuongozwa na mwehu

Arusha ni jimbo la Lema mpaka tanzania yote ipate uhuru, tungekuwa tumemchoka mbona kaongoza kata zote za udiwani zimerudi cdm? Wana Arusha tunajitambua sana mkuu!!!,
 
Back
Top Bottom