Lema angeshiriki maandalizi ya kuaga miili sio kusubiri kipaza sauti jukwaani

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,951
29,533
Nimeshangazwa na kitendo cha Lema kutoonekana kokote pale ambapo utaratibu na maandalizi ya kuwaaga watoto wapendwa yalifanyika.

Sijamuona lema karatu au Mt meru akishirikiana na timu ya mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya katika kufanikisha zoezi la leo.wazazi na ndugu wa marehemu watakuwa ni mashahidi juu ya nani haswa walishirikiana nao toka mwanzo hadi leo hii katika hatua iliyofikiwa.

Pia sijamuona lema akienda kuwasabahi majeruhi watatu wanaoendelea na matibabu.

Badala yake nimemuona lema akiwa na gwanda zake za khaki huku muda mwingi akiongea au kutumia simu yake ya kiganjani na akitamani au kusubiria kushika kipaza ili aingize siasa.

Misiba ya watoto waliopigwa bomu katika uzinduzi wa kanisa olasiti uliendeshwa kihunihuni na kisiasa mno;lakini leo tumeshuhudia maandalizi na mpangilio mzuri ...

Ni wajibu wa kila kiongozi kuheshimu utu wa watoto hawa...tuko kwenye majonzi na sio kwenye kujitambulisha sisi ni kina nani kwenye msiba.

List ya watu walioshiriki kwa kiwango kikubwa katika uokozi,ubebaji wa miili nk ni kubwa lakini hao wote hawajataka kushika kipaza sauti pale stadium na sio kwamba wamebaguliwa.

POLE KWA WAFIWA..MUNGU AWAPE NGUVU.

KWA HISANI YA WATU WA ARUSHA.
 
Hii story yako inatufundisha nini???
 
Walikuwepo ila sababu ya kuvaa ukada mkasahau Lema ndiyo mwenye nyumba Arusha.

Mnatafuta kura kwenye msiba aibu
 
Mleta Mada Unajitia Aibu Bure Siyo Kila Jambo Ni La Kuanzisha Thread
Kwa Lililotokea Arusha Ni Aibu Kwa Gambo Na Ccm Yenu.

Umaarufu Hautafutwi Msibani Kamwe
Mlipaswa Kujua Lema Ni Kiongozi Wa Eneo Husika.

Hivi Kila Aliyehudhuria Leo Unadhani Alikuwepo Ilipotokea Ajari.
 
Sana huyo Gambo amehidhalilisha msiba siyo wa Chama Cha Mauaji.Msiba ni wa Watanzania wote.Ni aibu kumpa Kinana nafasi ya kutoa pole wakati siyo Mbunge wala Kiongozi wa kiserikalina kuwaacha wenyeji Mayor na Wabunge.Ni aibu.

Na wewe uliyeandika huu ujinga akili yako nenda kapime
wenyeji walitakiwa wawe kwenye field wakiandaa zoezi...umemuona mkuu wa wilaya alivyokuwa anakimbizana??....
 
Ni jambo la aibu sana jingalao kutengeneza propaganda ya aina hii,na mashabiki wako kama kabombe kushupalia hoja hii!!

Kuna nyuzi mtu unaogopa kuweka comment sbb unaweza kukufuru au kuumchukiza mtu.Kweli hata hili ni la kumtetea Gambo?
 
Nimeshangazwa na kitendo cha Lema kutoonekana kokote pale ambapo utaratibu na maandalizi ya kuwaaga watoto wapendwa yalifanyika.

Sijamuona lema karatu au Mt meru akishirikiana na timu ya mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya katika kufanikisha zoezi la leo.wazazi na ndugu wa marehemu watakuwa ni mashahidi juu ya nani haswa walishirikiana nao toka mwanzo hadi leo hii katika hatua iliyofikiwa.

Pia sijamuona lema akienda kuwasabahi majeruhi watatu wanaoendelea na matibabu.

Badala yake nimemuona lema akiwa na gwanda zake za khaki huku muda mwingi akiongea au kutumia simu yake ya kiganjani na akitamani au kusubiria kushika kipaza ili aingize siasa.

Misiba ya watoto waliopigwa bomu katika uzinduzi wa kanisa olasiti uliendeshwa kihunihuni na kisiasa mno;lakini leo tumeshuhudia maandalizi na mpangilio mzuri ...

Ni wajibu wa kila kiongozi kuheshimu utu wa watoto hawa...tuko kwenye majonzi na sio kwenye kujitambulisha sisi ni kina nani kwenye msiba.

List ya watu walioshiriki kwa kiwango kikubwa katika uokozi,ubebaji wa miili nk ni kubwa lakini hao wote hawajataka kushika kipaza sauti pale stadium na sio kwamba wamebaguliwa.

POLE KWA WAFIWA..MUNGU AWAPE NGUVU.

KWA HISANI YA WATU WA ARUSHA.
waliopewa kipaza sauti wao hawakwenda kuzika shida yenu ccm ni ushirikina unawatawala angepewa mda wa kutoa pole nini kingeaharibika mbona bendela za ccm zilikuwa zinapepea na watu hawasema ni siasa kuvaa gwanda ndo umeona leo akili za makario shida
 
Back
Top Bottom