You must be out of your mindArusha itakuwa kama mlupo flani hivi, wanagonga kwa zamu. Hii watoto wa mujini wanaita mtungo aka mande.
Hivi wewe akili ziko sawa kweli maana sikuelewi,Mlupo wa kwanza.
ni watu wachache sana wanaobahatikaga kumuelewa Lema, lema ni kamanda
ni vigumu mwerevu kumuelewa chizi anasemaje
Hivi wewe akili ziko sawa kweli maana sikuelewi,
Arusha itakuwa kama mlupo flani hivi, wanagonga kwa zamu. Hii watoto wa mujini wanaita mtungo aka mande.
Kwani ile tume ya CCM ya uchaguzi NEC imeshatangaza tarehe ya uchaguzi jimbo la Arusha?maana najua kuwa kuna rufaa imekatwa tena!
Ni jana ktk M4C iliyofanyika DSM ambayo ilirushwa live na star tv, kuna maneno nilimnukuu kamanda mhe. Godbless Lema akisema " wamenivua ubunge kwa hila na sasa ni mbunge ambaye nipo kwenye honeymoon lakini nawasihi wananchi wangu wa Arusha wasikate tamaa kwani soon mbunge wao nitarudi bungeni lakini hata kama sitarudi mimi bado hata Rais aliyepo ktk mioyo ya watanzania Dr. Slaa atarudi yeye bungeni kuniwakilisha na 2015 ataniachia tena mimi nirudi bungeni tena kuwapigania"
My outlook:
Kwa maelezo hayo ya mhe. Lema je kuna ukweli wowote kwamba Rais wetu Dr.Slaa atarudi bungeni? Na vipi maoni yetu wanabadiliko ktk hili?
Au hukumwelewa vizuri?
lema si nasikia ndio kila kitu siku hizi chadema?Kwa hili nitakuwa kinyume na Lema.Ubunge si hadhi ya Dr Slaa tena.
Kwa hili nitakuwa kinyume na Lema.Ubunge si hadhi ya Dr Slaa tena.
Arusha itakuwa kama mlupo flani hivi, wanagonga kwa zamu. Hii watoto wa mujini wanaita mtungo aka mande.
Kwani fesibuku haikutoshi?!