Tukisema chadema ni ya watu wachache watu wanatupinga. Imagine Lema anathubutu kusema anamwachia Slaa sasa, then Slaa amwachie yeye 2015. Inamaana Lema na Slaa tu ndio wenye maamuzi ya nan agombee au asigombee? Hapa kuna demokrasia ya kweli??
Mkuu Rejao,
Huko ni kubaka demokrasia kwa hiyo ndani ya Chadema hakuna chaguzi ndogo za kupitisha wagombea, Mbowe, Slaa, Lema, wanachoamua ndio kauli ya chama.
Kama ni hivyo kwa nini wasimsimamishe mwana CDM wa hapo Arusha akachukua uwakilishi hadi waje huku Tegeta kumchukua boyfriend wa Josephine Mushumbusi mamaa ya pesa mingi?
Ni jana ktk M4C iliyofanyika DSM ambayo ilirushwa live na star tv, kuna maneno nilimnukuu kamanda mhe. Godbless Lema akisema " wamenivua ubunge kwa hila na sasa ni mbunge ambaye nipo kwenye honeymoon lakini nawasihi wananchi wangu wa Arusha wasikate tamaa kwani soon mbunge wao nitarudi bungeni lakini hata kama sitarudi mimi bado hata Rais aliyepo ktk mioyo ya watanzania Dr. Slaa atarudi yeye bungeni kuniwakilisha na 2015 ataniachia tena mimi nirudi bungeni tena kuwapigania"
My outlook:
Kwa maelezo hayo ya mhe. Lema je kuna ukweli wowote kwamba Rais wetu Dr.Slaa atarudi bungeni? Na vipi maoni yetu wanabadiliko ktk hili?
Sijui kama bado unastahili kuitwa mgeni ndani ya JF. Naona kama ni mwaka mzima tangu ujoin. Ukitaj-ka ku-win kampeni yoyote hakikisha kuchagua maneno yanayokupa kuungwa mkono. Siku nyingine hata kama utataka kuwapeleka unakotaka itakuwa rahisi kwa kuelewa historia yako.
Lakini huu mtindo wako! TAngu siku ya kwanza hadi ya mwisho wee ni taabani!
Join Date : 20th June 2011
Posts : 648
Rep Power : 509
Likes Received127
Likes Given45
Mkuu Rejao,
Huko ni kubaka demokrasia kwa hiyo ndani ya Chadema hakuna chaguzi ndogo za kupitisha wagombea, Mbowe, Slaa, Lema, wanachoamua ndio kauli ya chama.
Lema hakubaka demokrasia. Ametoa maoni yake kama mdau wa CDM. Rejeao na Ritz msipoteze muda kufuatilia mambo ya CDM. Jengeni CCM yetu
lema hakubaka demokrasia. Ametoa maoni yake kama mdau wa cdm. Rejeao na ritz msipoteze muda kufuatilia mambo ya cdm. jengeni ccm yetu
huyu lema ni mwehu anasema slaa anafaa kuwa mbunge wa Arusha, kama alijua hivyo kwanini alikata rufani si angeacha uchaguzi ukarudiwa?
Lema ameshaona Urais kwa Slaa ni kumu-oversize, size yake ni ubunge tu..