Utamfanya nini wewe? Utabaki kulalama kama kina Lema tu, kama ushahidi upo basi kwanini msiende mahakamani?
Lema taingia mahakama huru ifanya kazi yake kwa umakini wa hali ya kukuvua ubunge kila siku unakuja na stori za vijiweni.
Huyu dogo ni bonge la fisadi.
Kwakuwa mahakaman ni zenu ndio maana mnakimbiliaga huko? Wakati ndio unakaribia sasa wa kukomesha hizo style zenu chafu.Kama una ushahidi peleka mahakamani.
wewe huna unachokizungumza yaani ungejua nchi za mangaribi zilivyo kerwa na tukio la Lema wala usingejirisha na vijicent unavyopewa kwa kuwalaghai watz time will tell Mungu hayuko mbali ngoja tuone. Kwani Ghadafi na wanae wako wapi?
Lema taingia mahakama huru ifanya kazi yake kwa umakini wa hali ya kukuvua ubunge kila siku unakuja na stori za vijiweni.
Wewe kweli Chadema Addicted kumbe mkikaa huko kwenye vijiwe vyenu ndio mnadanganya nchi za Magharibi zimechukia Lema kuvuliwa ubunge na mahakama...ebu tutajie hizo nchi zilizokerwa basi.
Huyu Lema Amekosa mwelekeo .
wewe huna unachokizungumza yaani ungejua nchi za mangaribi zilivyo kerwa na tukio la Lema wala usingejirisha na vijicent unavyopewa kwa kuwalaghai watz time will tell Mungu hayuko mbali ngoja tuone. Kwani Ghadafi na wanae wako wapi?
Huyu dogo ni bonge la fisadi.
Leta data za kuthibitisha kuwa ni uongo!!!! In short, leta wamiliki wengine wa Tanzanite One tuthibitishe!!!Uongo mtupu.
Huyu Lema Amekosa mwelekeo .
Kama una ushahidi peleka mahakamani.
mimi nakubaliana na wewe kwenye hili, hakuna mwanasiasa anaemfikia lema kwa kutapatapa.umemfananisha na nani mpaka kufikia kutoa neno kama hili? Maana kusema ukweli ccm hakuna anaemkaria kamanda lema!