Lema amvaa Ridhiwani Kikwete, Ni kuhusu umiliki kampuni ya Tanzanite One

Status
Not open for further replies.
Halafu kuna sheria gani inasema kuwa hawezi kufanya biashara? mbona mtei ana mabasi, mbowe ana disco, Slaa biashara ya kuku.

Lema pia anabiashara yake(pamoja na kuwa sio ya halali)

Bila shaka ww utakuwa na majini kwenye ubongo wako.
 
days of ridhi are numbered hope soon atarudisha mali zote anatuibia watanzania kwa mgogo wa magamba.
 
Hii nime'copy na ku'paste toka kwenye facebook page ya kamanda Lema...........

Naomba hili liwe wazi kwa Watanzania, Ridhiwan Jakaya Kikwete, chini ya kampuni ambayo wanaharakati tutaleta ushahidi wake kwa wananchi wanaotaka ukombozi, wiki hii alikuwepo Jijini Arusha na tayari ana mkataba wa umiliki wa zaidi ya hisa asilimia 45 za kampuni ya Tanzanite One. Hii ni biashara ya Rais wa nchi. Ametumia madaraka yake kwa siri kupisha umiliki huu kupitia mtoto wake. Linaweza kukanushwa na kupingwa lakini muda unafika ambapo umma wa Watanzania utaamua. Hata wakishinda kesi za mahakamani, hawataushinda uamuzi wa umma. CCM inakufa, iko hatua za mwisho kabisa.

Hana lolote la maana, anakumbuka yaliyomkuta mahabusu (mayai mawili)
 
Riziwani, wewe ni mwanasheria mwenzangu.
Usihangaike na kelele za milango hizo za wachovu.
Piga business mbele kwa mbele as far as you can.
Kama kuna mlalamikaji halali mwenye locus standi basi aanzishe suit mahakamani, akiwa na ushahidi mkononi.

Mjaze tu ujinga tu huyu mwanasheria mwenzako,kila kitu kitarudi mikononi mwa wananchi hata kama kaandikisha majina feki ya watu,tutawafatilia na hao watu watupe details zote za umiliki na fedha walipata wapi na lini walilipa kodi kwenye hizo fedha walizopata kama ni dirty money tutawafunga hadi hao waliobebeshwa mizigo ya wizi.
 
dah
Huyu Riz akawatafute Mohammed Al Gaddafi na mdogo wake Saad Gaddafi wameleze yatakayomkuta!!!
 
Hii nime'copy na ku'paste toka kwenye facebook page ya kamanda Lema...........

Naomba hili liwe wazi kwa Watanzania, Ridhiwan Jakaya Kikwete, chini ya kampuni ambayo wanaharakati tutaleta ushahidi wake kwa wananchi wanaotaka ukombozi, wiki hii alikuwepo Jijini Arusha na tayari ana mkataba wa umiliki wa zaidi ya hisa asilimia 45 za kampuni ya Tanzanite One. Hii ni biashara ya Rais wa nchi. Ametumia madaraka yake kwa siri kupisha umiliki huu kupitia mtoto wake. Linaweza kukanushwa na kupingwa lakini muda unafika ambapo umma wa Watanzania utaamua. Hata wakishinda kesi za mahakamani, hawataushinda uamuzi wa umma. CCM inakufa, iko hatua za mwisho kabisa.
Aiseee, hizi ni siku za mwisho hakiayanani!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom