Lema amvaa Ridhiwani Kikwete, Ni kuhusu umiliki kampuni ya Tanzanite One

Status
Not open for further replies.
Lema taingia mahakama huru ifanya kazi yake kwa umakini wa hali ya kukuvua ubunge kila siku unakuja na stori za vijiweni.

Ritz hata wewe huamini hili ndio maana ukaandika mahakama huru, kwanini hukusema mahakama tu? Ila tunawaambia ukweli yana mwisho!!!
 
Huyu dogo ni bonge la fisadi.

Inabidi Dr Hosea aweke mkakati wa kumvua huyu papa!! Dogo ni billionea ndani ya mwaka 1 tu! Tuna hasira nae sana
1.Kiwanda cha cement(Mkuranga)
2.Tanzanite Uno
3.Lake Oil,Asas,Big bon(sinza)
4.Mradi wa kuchimba mchanga na kokoto(Iringa)-Hapa ni kwamba ujenzi wote unaofanyika iringa material hayo yanatoka kwake
5.Mradi wa viwanja
i-Heka 15 baharini buyuni
ii-viwanja arusha
iii-Viwanja kigamboni
iv-Jumba la kifahari mbezi
V-Jumba la kifahari mikocheni
Vi-Ghorofa Magomeni
Vii-Ghorofa Tandale
Viii-Darlive
ix-Ghorofa la vioo tupu gangilonga
x-ghorofa morogoro msamvu town
Xi-Maroli 200
xii-bil64 za EPA
 
Madaraka ni upepo tu.. utapita, na sisi tutajichukulia kilicho chetu toka mikononi mwao...
 
Utajiri sio mbaya kama mtu unaupata kupitia njia halali na ugunduzi wa njia mbalimbali za kupatia kipato lakini kupitia mgongo wa nafasi ya kiungozi basi huo sio utajiri wa kulala nao usingizi uongozi ukibadilika tuu hatari ipo ya kuchukuliwa fedha na kurudisha mahala zitakapohusika ndio maana haishi matusi mdomoni kwamba watanzania ni wavivu hatujui tufanyalo kwa sababu anajua yeye atachukua chochote atakacho
 
wewe huna unachokizungumza yaani ungejua nchi za mangaribi zilivyo kerwa na tukio la Lema wala usingejirisha na vijicent unavyopewa kwa kuwalaghai watz time will tell Mungu hayuko mbali ngoja tuone. Kwani Ghadafi na wanae wako wapi?

Wewe kweli Chadema Addicted kumbe mkikaa huko kwenye vijiwe vyenu ndio mnadanganya nchi za Magharibi zimechukia Lema kuvuliwa ubunge na mahakama...ebu tutajie hizo nchi zilizokerwa basi.
 
Wewe kweli Chadema Addicted kumbe mkikaa huko kwenye vijiwe vyenu ndio mnadanganya nchi za Magharibi zimechukia Lema kuvuliwa ubunge na mahakama...ebu tutajie hizo nchi zilizokerwa basi.

ni nchi tukufu amabazo zimemshika sana Mnyahez mungu kama vile somalia, iraq, afghanstan etc..
 
Huyu Lema Amekosa mwelekeo .


Angalia unavyotumia masaburi yako kutoa majibu yasio na chanya humu jamvini jinga kubwa wewe!

Hauna kichwa cha kufikiri? Nchi yetu inadidimia kila leo kutokana na watu wachache halafu unakuja na majibu kama unatoka chooni mjinga wewe!
 
wewe huna unachokizungumza yaani ungejua nchi za mangaribi zilivyo kerwa na tukio la Lema wala usingejirisha na vijicent unavyopewa kwa kuwalaghai watz time will tell Mungu hayuko mbali ngoja tuone. Kwani Ghadafi na wanae wako wapi?

Wewe kweli Chadema Addicted kumbe mkikaa huko kwenye vijiwe vyenu ndio mnadanganya nchi za Magharibi zimechukia Lema kuvuliwa ubunge na mahakama...ebu tutajie hizo nchi zilizokerwa basi.
 
Samahani ndugu naiba wa Spika, hivi mimi ni Wizi Mkuu au nani, oohh sorry maana jana nilisema ntatoa tamko lakini nikakuta nimeingilia uhuru wa Maha-kama, hivi kweli sikujua kuwa kwa kusema vile naingilia uhuru wao au ilikua ni Hangover tu ndugu wazi-mkuu? sorry kumbe mimi ndio wazi-mkuu, I meant ndugu Supika? Hili koti la uwizi kama vile sio langu vile...mana kila siku nalisahau...aaah tuyaache hayo, Hivi unajua wewe dogo Tundu nakushesimu sana, usiniache nikufanye kama nilichomfanya yule jamaa juzi....sorry naona umekoti vibaya!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mimi ndio maana nasema amekosa mwelekeo,hiyo habari yenyewe kaiweka facebook, wakati mambo yote ya kimbea yako huko.
 
Riziwani, wewe ni mwanasheria mwenzangu.
Usihangaike na kelele za milango hizo za wachovu.
Piga business mbele kwa mbele as far as you can.
Kama kuna mlalamikaji halali mwenye locus standi basi aanzishe suit mahakamani, akiwa na ushahidi mkononi.
 
umemfananisha na nani mpaka kufikia kutoa neno kama hili? Maana kusema ukweli ccm hakuna anaemkaria kamanda lema!
mimi nakubaliana na wewe kwenye hili, hakuna mwanasiasa anaemfikia lema kwa kutapatapa.
 
Watanzania tuna maneno mengi huku tumekaa vijiweni.
Twende tukafanye kazi jamani.Tuache kupiga porojo.
Riziwani ana haki msingi ya kuwa na mali, kama binadamujyeyote yule.
Kama amepata chance ya ku aquire mali kirahisi basi ni bahati yake!
Huu ni ulimwengu wa kibepari!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom