Lema amuokoa Mwigulu Nchemba Mount Meru Hotel!

Ukweli uatajulikana siku Moja tu....

Watanzania wamechoka kuangalia Sura.... Wanataka wachapakazi na wazalendo....

Mtoto wa Marehemu ambaye baba amekuwa Mbunge kwa niongoo kadhaa hii kudhalilisha watanzania....

CCM wanajiuwa wenyewe....
 
Mambo mengine ni ujinga mtupu....JF inadhalilishwa na habari za aina hii,hii story imekaa ki-facebook!Afterall,it's not necessary to fight phyisically.....!Ingeshangaza sana ndani ya karne hii ya 21

NB: Kuna watu walionilaumu kwa hoja yangu ya kuimarisha Red brigade ili kulida wafuasi wetu kwa kuwa jeshi la polisi limeshindwa kazi.CCM wanatumia green guards kuziba ombwe la hoja za majukwaani kutisha wafuasi wa chadema na wananchi kwa ujumla kila uchaguzi.Chadema hatustahili kuwa-entertain hawa watu.Ni lazima safari hii tufanye very aggressive campaign
 
Inawezekana TAKUKURU hawafanyi kazi zao vizuri,rushwa ni mtaji wa CCM kwa wanyonge
 
Siyo inawezekana TAKUKURU hawafanyi kazi zao vizuri. Hilom halina ubishi kwa sababu TAKUKURU wapo kwa ajili ya ccm na si kutimiza wajibu na majukumu ya kuundwa kwa kikosi hicho. Hakuna chombo chochote cha usalama kinachofanya kazi kwa weledi, itakuwa TAKUKURU?
 
Nadhani dogo aliposikia Mwigulu yuko meru akajua kazi imekuwa ngumu, lakini kote huko nikumgwaya Mwigulu. Kwani nasari anafanya kazi takukuru? Lakini mbona nasari kwa Mwigulu ni kama sisimizi na tembo? Mwigulu ni kamanda wa vita sio mtu wa kutishiwa

Acha ****** wewe huku KZ siyo Igunga. Mwigulu inabidi asome ramani upya na kuna uwezekano hata akiisoma akaona ukungu. CCM wanafikiri Mwiguluism ni applicable kila eneo inabidi sometimes waje na mbinu na mtu mpya hapa kwani huyu MZINZI kwa Arumeru watamuua.
 
Poa sana kill them mabazazi hao hilo jina tu kama dawa ya kuulia wadudu,hao wamezoea kuhonga na kama sio wananchi wajingajinga kukubali rushwa zao basi kungekuwa hakuna ushindi kwa hawa Mafisadi
 
Mwigulu angalia hiyo Meru ni mahali ingine msee hao jamaa ni watu wa sime na rungu na huwa hawarudi nyuma hata kina mura hapo hawaingii
 
Mambo mengine ni ujinga mtupu....JF inadhalilishwa na habari za aina hii,hii story imekaa ki-facebook!Afterall,it's not necessary to fight phyisically.....!Ingeshangaza sana ndani ya karne hii ya 21

NB: Kuna watu walionilaumu kwa hoja yangu ya kuimarisha Red brigade ili kulida wafuasi wetu kwa kuwa jeshi la polisi limeshindwa kazi.CCM wanatumia green guards kuziba ombwe la hoja za majukwaani kutisha wafuasi wa chadema na wananchi kwa ujumla kila uchaguzi.Chadema hatustahili kuwa-entertain hawa watu.Ni lazima safari hii tufanye very aggressive campaign

Mdogo wangu Ben huwa nakubaliana na baadhi ya hoja zako lakini katika hili ebu kajipange upya. Red brigade ya kazi gani hapa? kutoa ulizi kwa Nassari aliyesafiri toka Arumeru kwenda kupigana na Mwigulu?. This is ridiculous! Epuka kupachika pachika habari juu ya habari unatuchang'anya hapa. Tukio limetokea na chanzo chake ni siasa ulifikiri apeleke wapi habari hii kama ina ukweli, celebrity?
 
Mkuu wangu apolycaripto,

hii stori ya kwenye paragraph ya kwanza nilipojibu haihusiani na paragraph ya chini.
Ndiyo maana nikaweka NB:.............

Red brigade ni kwa ajili ya kulinda wafuasi wetu.Ina detterence effect kulingana na nature ya siasa zetu zilipofikia.Red brigade ingekuwa imara wafuasi wa chadema Igunga wasingenyanyaswa na green guards.Jeshi la polisi limeshindwa kazi,tuwe na self defensive mechanism......Nilikuwa mstari wa mbele,nilishawahi kuonya nikasema jama hivi vikosi vya vyama vya siasa havitufikishi pazuri lakini as the time pass naona upinzani tuna-loose zaidi kwa upole wetu
 
Mkuu mimi nadhani hivi vikosi vya kichama havitusaidii sana. Hakuna haja ya green guards, blue guards ama red brigade. Kumbukumbu zinaonyesha Intarahamwe ilikuwa kikosi cha chama cha siasa. Tusitake kufika huko. Hivi vikosi vinatakiwa vipigwe marufuku tu na siasa ziendeshwe kistaarabu bila kumwagiana tindikali wala kupigana.
 
Mkuu Kimbunga,

Nikweli uliyosema.Hata mimi nilikuwa mstari wa mbele kupinga but inaonekana Green Guards hawadhibitiwi kwa kuwa CCM imejigeuza kuwa chama dola.Hatuwezi kulazimishwa tena kufuata matakwa ya CCM katika uwanja wa siasa.

Jeshi la polisi limepewa dhamana ya kulinda usalama kwa kushirikiana kwa karibu na mahakama kulinda haki na wajibu.Mfumo wa vyama vingi na mazingira mazuri ya kukuza demokrasia ni haki yetu kikatiba,Msajili wa vyama vya siasa yupo compromised na CCM,Jeshi la polisi liko compromised....We must protect the will of people.Kama Red Brigade itakuwa na detterence effect kwa vikosi vinavyochochewa na chama diola then let it be !
 
Kwa hiyo tatizo ni vyombo vya dola ambavyo haviko impatial. Mkuu Ben hiyo detterance effect inaweza kugeuka kuwa confrontational na effect yake ikawa very negative.The best option is to do away with any bridage looking like groups.
 
Ndugu wanajf leo hapa MOUNT MERU HOTEL kumetokea tafurani kubwa ilikuwa inamkuba MWIGULU NCHEMBA, Nahii yote imetokea Baada ya kamanda Nassari Joshua kupata Taarifa ya kugawiwa kwa rushwa kwenye Jimbo la Arumeru Mashariki.

Kamanda Nassari aliamua kumfuata moja kwa moja bwana Mwigulu Nchemba na kumuonya kuhusu tuhuma hizo ndipo bwana Nchemba alipo anza kujibu mbovu na kamanda Nassari akaamua kumnyookea na Kumuambia Nchemba hapa ni Meru siyo Igunga nitakuchapa vibao sasa hivi, Kamanda Nassari akamsogelea Bwana Nchemba na kutaka kufanya kweli ndipo ghafula akatokea kamanda Lema na kumuambia Nassaria aachana na Nchemba kwani hawawezi kushinda Meru hata wakiamua kuhamishia Bank kuu pale na kugawa hela.

Kwasasa kamanda Lema na makamanda wengine Wameelekea Meru kwa kazi za chama ila baada ya Tafrani hiyo kamanda Nassari hajulikani alipoelekea, Ila hili lilikuwa onyo kwa mdomo , Hatuta vumilia ******

WATATUUA KWA RISASI ZA MOTO, WATAKUFA KWA PRESHA YA DHAMBI, AHSANTENI MUNGU YUPO UPANDE WETU, MSIOGOPE.
nimeamini kweli kuna watu waongo huku JF ilikua juzi mwendo wa saa kumi na mbili jioni ni Lema ndie aliempigia Mwigulu kua amkute Mount meru hotel na walikaa kikao zaidi ya lisaa baadae akaja yule baunsa wa Lema anaitwa Magoma ,nilijiuliza sana Lema ni nini alikua anaongea na chemba na Mwigulu?????sasa wewe unakuja kudanganya watu hapa kua Nasari alikuepo avheni unafiki
 
You sound like mwigulu.
 
Ndugu wanajf leo hapa MOUNT MERU HOTEL kumetokea tafurani kubwa ilikuwa inamkuba MWIGULU NCHEMBA, Nahii yote imetokea Baada ya kamanda Nassari Joshua kupata Taarifa ya kugawiwa kwa rushwa kwenye Jimbo la Arumeru Mashariki.

Kamanda Nassari aliamua kumfuata moja kwa moja bwana Mwigulu Nchemba na kumuonya kuhusu tuhuma hizo ndipo bwana Nchemba alipo anza kujibu mbovu na kamanda Nassari akaamua kumnyookea na Kumuambia Nchemba hapa ni Meru siyo Igunga nitakuchapa vibao sasa hivi, Kamanda Nassari akamsogelea Bwana Nchemba na kutaka kufanya kweli ndipo ghafula akatokea kamanda Lema na kumuambia Nassaria aachana na Nchemba kwani hawawezi kushinda Meru hata wakiamua kuhamishia Bank kuu pale na kugawa hela.

Kwasasa kamanda Lema na makamanda wengine Wameelekea Meru kwa kazi za chama ila baada ya Tafrani hiyo kamanda Nassari hajulikani alipoelekea, Ila hili lilikuwa onyo kwa mdomo , Hatuta vumilia ****** huu.

WATATUUA KWA RISASI ZA MOTO, WATAKUFA KWA PRESHA YA DHAMBI, AHSANTENI MUNGU YUPO UPANDE WETU, MSIOGOPE.

Sorry, how is Mwigulu Nchemba?:hatari:
 
Back
Top Bottom