Lema amuokoa Dc Arusha

Lema amuokoa Dc Arusha

Kwa hiyo Lema ndo polisi?

Naomba unijuze... Hivi buku 7-7 huwa unalipwa kwa idadi ya comments, posts au kwa siku?

Samahani nipo serious!!..... na mimi nataka nichangamkie fursa...
 
nifatilia na kusikitishwa na lema kuhusu hili akikana kutokuwepo ktk kikao cha halmashaul mwaka jana mwezi 12 ambacho na yeye alishiriki na kupitisha uamuzi wa kuwazuia bodaboda kuingia ktkt ya jiji.leo anasema et ni january ngumu.shame on him.
 
Lema asilete siasa kwenye maisha ya watu. Au anafurahi watu wanapopatwa na ulemavu na vifo kutokana na uendeshaji wa hovyo wa waendesha bodaboda?

Mkuu hebu tumia akili hata kiasi tu....... Tambua Lema ni mbunge, na hakuwa muhusika wa kushughulikia suala hilo, ila DC na RC walipoona hali inazidi kuwa mbaya wakaona wamwite Mbunge Lema aje awasaidie..... na kweli madereva bodaboda wakamtii Lema sasa unawezaje kuongea upumbavu mkuu namna hii?

Tambua kilichotokea leo Arusha ni kama Mgonjwa kazidiwa akiwa Mount Metu Hospital, ikabidi apelekwe KCMC..... Lema ndiyo jibu
 
LEMA ndio nani hata amuokoe mkuu wa wilaya?

Mkuu Lema ndio bosi wa wananchi wa Arusha maana wamemchagua wenyewe tofauti na DC aliyeteuliwa na mtu mmoja bila kuulizwa vigezo. Ndio maana tunasema Ma dc hawanasababu ya kuwepo maana Ma DED ndio wenye kazi
 
kwa hiyo hujui lema ni nan!?au unajipa utahira
Kwani nimeuliza Lema ndo nani? Nimeuliza je Lema ndo polisi? Sina haja ya kuuliza Lema ni nani kwa maana najua wazi kuwa licha ya kuwa mbunge , Lema ni jambazi pia
 
Lema asilete siasa kwenye maisha ya watu. Au anafurahi watu wanapopatwa na ulemavu na vifo kutokana na uendeshaji wa hovyo wa waendesha bodaboda?

Kwani tatizo lao ni nini!!?? Lema ameahidi kuyashughulikia ........ sasa hapo kakosea nini, au ndiyo siasa hizo!!??
 
Mkuu hebu tumia akili hata kiasi tu....... Tambua Lema ni mbunge, na hakuwa muhusika wa kushughulikia suala hilo, ila DC na RC walipoona hali inazidi kuwa mbaya wakaona wamwite Mbunge Lema aje awasaidie..... na kweli madereva bodaboda wakamtii Lema sasa unawezaje kuongea upumbavu mkuu namna hii?

Tambua kilichotokea leo Arusha ni kama Mgonjwa kazidiwa akiwa Mount Metu Hospital, ikabidi apelekwe KCMC..... Lema ndiyo jibu
Wewe ndo -------- wa kutupwa unayempachika Lema majukumu yasiyo yake. Kiini cha tatizo kinajulikana ila mnapenda tu kumpandisha chat jambazi wa Arusha
 
Wewe ndo -------- wa kutupwa unayempachika Lema majukumu yasiyo yake. Kiini cha tatizo kinajulikana ila mnapenda tu kumpandisha chat jambazi wa Arusha

unawafahamu vzr majambazi wenzako
 
Back
Top Bottom