MT KILIMANJARO
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 4,215
- 761
Kwa hiyo Lema ndo polisi?
Ndio jembe letu wana arusha na watanzania wenye akili timamu.
Kwa hiyo Lema ndo polisi?
Wewe ndo -------- wa kutupwa unayempachika Lema majukumu yasiyo yake. Kiini cha tatizo kinajulikana ila mnapenda tu kumpandisha chat jambazi wa Arusha
Lema ndio presidaaar wa arusha sio hako kasharobao ka kigoma aka masalia
Lema ni kichwa
Lema asilete siasa kwenye maisha ya watu. Au anafurahi watu wanapopatwa na ulemavu na vifo kutokana na uendeshaji wa hovyo wa waendesha bodaboda?
Hata polisi wakizidiwa wanamwomba Lema awasaidie kuwatuliza raia waliochoshwa na upuuzi wa ccmKwa hiyo Lema ndo polisi?
Mkuu hebu tumia akili hata kiasi tu....... Tambua Lema ni mbunge, na hakuwa muhusika wa kushughulikia suala hilo, ila DC na RC walipoona hali inazidi kuwa mbaya wakaona wamwite Mbunge Lema aje awasaidie..... na kweli madereva bodaboda wakamtii Lema sasa unawezaje kuongea upumbavu mkuu namna hii?
Tambua kilichotokea leo Arusha ni kama Mgonjwa kazidiwa akiwa Mount Metu Hospital, ikabidi apelekwe KCMC..... Lema ndiyo jibu
Matusi hayawasaidii......... Lema ndiyo habari ya mjini kama hujui
mgekuwa na huruma ungemwambia mmeo lowasa awahonge gari badala ya bodaboda..
Mkuu, umekunywa gongo au umevuta kitu ya kumezwa tumboni?
Nikipata ushahidi wa hayo mawasiliano nitawadharau hawa viongozi mpaka mwisho. LEMA hana busara ya kutatua mgogoro wowote ule.By Mungi![]()
![]()
Mkuu hebu tumia akili hata kiasi tu....... Tambua Lema ni mbunge, na hakuwa muhusika wa kushughulikia suala hilo, ila DC na RC walipoona hali inazidi kuwa mbaya wakaona wamwite Mbunge Lema aje awasaidie..... na kweli madereva bodaboda wakamtii Lema sasa unawezaje kuongea upumbavu mkuu namna hii?
Tambua kilichotokea leo Arusha ni kama Mgonjwa kazidiwa akiwa Mount Metu Hospital, ikabidi apelekwe KCMC..... Lema ndiyo jibu
LEMA ndio nani hata amuokoe mkuu wa wilaya?
Mimi ni Mzaliwa wa Arusha na ninaishi Arusha, huyo LEMA unayempigia debe huku Arusha hakuna anayetaka kumuona.
Kama una fursa ya kukutana naye, muulize zile machinga complex vipi? Niliwahi kumuandikia barua , haijajibiwa, nikimkumbusha kutimiza ahadi zake.
Lema asilete siasa kwenye maisha ya watu. Au anafurahi watu wanapopatwa na ulemavu na vifo kutokana na uendeshaji wa hovyo wa waendesha bodaboda?