Lema amjibu Kikwete, asema yupo tayari kwa lolote kuanzia sasa

Yanayoendelea arusha tunayajua,mkuu wamkoa kasema waziwazi alifurahishwa na kupokwa lema ubunge,hazijapita siku bosiwake kasibitisha eti aman ilipotea takriban myaka 2 sasa now imerud,anamaanisha nini?tuko arusha na tunafatilia mambo yanavo kwenda manspaa pesa zetu zinachezewa hakuna madiwan vikao haviendelei,ipo siku mungu atakua upande wetu naamini tulizaliwa arusha kwa matakwa ya mungu nasio ya rais,lema usife moyo tuko nyuma yako ukifa jina lako litabaki na mapambano yataendelea na ukweli utasimama kwenye haki,ninauchungu na ninanmba mungu ajibu kwa wakati.kwani ataendelea kua juu mpaka kiama?makamanda tuko nyuma yakn na tunausoma mchezo sisi tulishakufa sikunyingi bana kwani nini.hivi kwa nini haukuzaliwa unaited of america?mungu anampango nawewe never give up and never sey never
 
Lema kuwa mkweli mbona ujawaambia wana Chadema kama kwenye mkutano wa Oysterbay ulipewa pesa waambie ukweli bana.

Alishasema alizikataa hizo pesa. Kumbe na wewe ulikuwa na taarifa ya JK kumlubuni Lema? Tusubiri kauli ya JK kupitia msemaji wa Ikulu kama italiweka wazi hili.
 
Aisee. Rais asiongeleea Arusha iliyoko ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania... na asiongelee jambo ambalo ni wazi kwamba Arusha iko tulivo kuliko muda fulani uliopita... did he mention any body or any institution on his speech... ahahahahaha... something is wrong ...

kweli wewe ni kasheshe yan kusoma ujui,ata picha uoni? Na kuuliza swali.
Filikonjombe aliposema CAG amemtaja mwizi wa pesa za wananchi uli muelewa?

NB: unaweza kuzungumza maneno tu na ukamtaja mtu bila kutaja herufi za jina lake. Nenda upitie hotuba ya rais halaf ujiulize.

Kweli nimebaini kweli wewe ni kasheshe lile gazeti lililopigwa stop miaka ile, jiulize kwa nin
 
Lema the former MP,

Umenena maneno mazuri sana ila yale tu ambayo wajinga kama wewe wanaweza kuyakubali na wajinga wa kwanza ni wafusi wa chadema wenyewe ambao kwao kukosoana sio desturi

umesema kuhusu mahama umezungumza aibu yako, kesi nyingi zimetokea hivi karibuni ambazo wabunge wa CDM wameshinda kwa hizo hizo mahakama!

Hivi Lema, kusema mimba ya yule dada ilikuwa ya Lowassa ndizo sera za chadema??

you are potential, una attributes zote za uongozi na unatakiwa sana kipindi hiki kizuri sana cha kuliokoa taifa letu! Lakini bangi na ujinga wako wa kitoto ndio uliopelekea kusema lolote jukwaani!

why give your enemy a chance? yes you gave him a chance

ni wewe ulikuja humu na kusema Kikwete alitaka ugombee ubunge kwa tiketi ya CCM ulikataa , na ukijua kuwa ulivyokuwa TLP ulikuwa mshindi wa pili hilo jimbo haukugundua kwa nafasi kubwa uchaguzi ule ungeshinda wewe??
Ukijua Kikwete ana uadui na wewe na bado uliona dalili za ushindi kwa nini ulitumia maneno ya kashfa, matusi au vyovyote usemamvyo wewe

The truth now you are not MP , kikubwa rudi kwenye game na tafuta fomu, kusema mahakama basi CDM wote wangeshindwa why you? kuna jimbo lilokuwa hot kama ubungo?

Mwenzio Mdee tulimuonya mapema sana kuhusu matusi na kama si juhudi za Slaa kawe Mdee angepokonywa!!! ilikuwa aibu

CDM wale wafuata mkumbo kutokumkosoa mtu potential kama Lema ni sawa na kuwambia aliyepata 1.3 A-level ya PCB akasome sociology!!

mna watu wazuri ila ujinga kama huu MUONYANE MAPEMA, adui akipata nafasi inakuwa too late

au

Nini faida hii ya Lema kulia ni ikulu wakati si mbunge tena??? anawaumiza nani wananchi wanaompenda kwa ujinga wake mwenyewe

Uliharibu unachofanya sasa ni sawa kabisa na Maige!! hizo habari za ikulu ni za kufikirika majaji wote walimpania Lema!! kaa chini jifunze

kuwa kiongozi ni pamoja na kubashiri yajayo....kama haukuliona kuwa Kikwete ataweka bifu na ngali ulioendela kuongea pumba jukwaani..what are you?

sisi wengine tutasema kweli japo tunawapenda, kamwe sitajivua mimi kuogopa kusema ukweli..CCM imefika hapa kwa kutokukosoana!!! watch!
 
Lema anajua anachoongea na hili litaisumbua sana IKULU, mbaya zaidi any controvercial itakayomkuta Lema ndani ya miaka hii minne, itaqualify kama vile zilivyoqualify issue za watu wengine wanaodhaniwa walidhulumiwa.

Binafsi sikufurahishwa na kauli ya Rais kuhusu Arusha. Unapokuwa rais wa nchi unatakiwa kuwa na moyo mgumu na kuonesha kuwa wewe ni kiongozi si mtawala. JK anajipambanua kama Mtawala na uongozi umemshinda. Kama anajua kuwa yaliyopita si Ndwele tugange yajayo basi hakutakiwa kabisa kuzungumzia yaliyopita.

Asione watu wamekaa kimya akadhani kuwa wameridhika na jinsi kesi ya Lema ilivyomalizwa. JK kama angekuwa na washauri bora au hata yeye mwenyewe angekuwa ni good political analyst asingeongelea kabisa issue ya Arusha, maana kwa kufanya hivyo ana, re-ignite na kukumbusha watu wa Arusha dhulma waliyopitia toka kwa serikali yake.

Kwenye hili la Arusha JK acted like 'Mipasho artist' than a president of the country for all Tanzanians. Kazi za mipasho awaachie akina Nape ndiyo wanalipwa kwa ajili hiyo, yeye aoneshe uongozi na kuunganisha watanzania siyo kuwagawa kwa cheap politics.

Ingekuwa mipasho inaongeza uchumi wa nchi sa hizi Tanzania tungekuwa mbali sana.......jk nchi ilimshinda zamani sana.....sijawahi ona rais ana mipasho kama jk...arusha sio pwani hivyo hatuhitaji mipasho!.
 
Shikamoo Lema japo wewe ni mdogo wangu. Nasema hivi hata hao magamba wavue nguo wapite mitaa yote arusha wakiwa u.c.h.i hakuna atakayewapa kura. Ngoja nikalale kesho nije nyundo!!!! Hakuna mwanachadema anayesababisha fujo mahali popote. kama ni kweli siku ya hukumu ya lema wangeleta vurugu sana au wakati Dr. Slaa aliposhinda urais wakamchakachua!! Fujo zote zinaletwa na magamba pale ambapo mambo yao hayakupita. Ngoja uchaguzi urudiwe, ngoja 2015!!
 
Msaidie wewe manake uko sawa!

My lovely sisy, hapa huyu ndugu yetu kateleza. Tukubali tu ukweli.

Tatizo lingine la wana CDM, wanaona kila anachofanya na wanayofanya viongozi wao ni perfect. Wanawaona viongozi wao kama malaika.

Hapa alichofanya Lema ni utovu mkubwa sana wa nidhamu. Tukubaliane kwa hili then tuangalie namna ya kumfunza huyu x-mbunge kama tulivyofanya kwa Nasari.
 
Huko ni kujishtukia na upeo mdogo wa Lema.
Hamna narudia tena, hamna sehemu yoyote hotuba ya raisi imemtaja Lema. Who is Lema by then? Kwa sasa Lema ni 0 kwenye siasa za Tanzania. Hata balozi wa nyumba 10 yupo juu yake. Hana mamlaka ya kuijibu au kuizungumzia taasisi ya juu hapa nchini kama alivyofanya.

Hata kama wana yao, au kaona kama kasemwa, naye angemjibu indirectly siyo kuandika straight kama alivyofanya. Hapa nazidi kuona kuwa shule ya Lema bado ipo chini sana.

na ww elimu yako ni ipi? Hivi ww una degree ngapi mwanaharam w? Hivi kati ya lema na ww nani mwenye elimu? Unaweza kulinganisha kwani hata mawazo ya bab yako yanazidiwa na ya lema sasa sembuse ww? ..
 
Lema the former MP,

Umenena maneno mazuri sana ila yale tu ambayo wajinga kama wewe wanaweza kuyakubali na wajinga wa kwanza ni wafusi wa chadema wenyewe ambao kwao kukosoana sio desturi

umesema kuhusu mahama umezungumza aibu yako, kesi nyingi zimetokea hivi karibuni ambazo wabunge wa CDM wameshinda kwa hizo hizo mahakama!

Hivi Lema, kusema mimba ya yule dada ilikuwa ya Lowassa ndizo sera za chadema??

you are potential, una attributes zote za uongozi na unatakiwa sana kipindi hiki kizuri sana cha kuliokoa taifa letu! Lakini bangi na ujinga wako wa kitoto ndio uliopelekea kusema lolote jukwaani!

why give your enemy a chance? yes you gave him a chance

ni wewe ulikuja humu na kusema Kikwete alitaka ugombee ubunge kwa tiketi ya CCM ulikataa , na ukijua kuwa ulivyokuwa TLP ulikuwa mshindi wa pili hilo jimbo haukugundua kwa nafasi kubwa uchaguzi ule ungeshinda wewe??
Ukijua Kikwete ana uadui na wewe na bado uliona dalili za ushindi kwa nini ulitumia maneno ya kashfa, matusi au vyovyote usemamvyo wewe

The truth now you are not MP , kikubwa rudi kwenye game na tafuta fomu, kusema mahakama basi CDM wote wangeshindwa why you? kuna jimbo lilokuwa hot kama ubungo?

Mwenzio Mdee tulimuonya mapema sana kuhusu matusi na kama si juhudi za Slaa kawe Mdee angepokonywa!!! ilikuwa aibu

CDM wale wafuata mkumbo kutokumkosoa mtu potential kama Lema ni sawa na kuwambia aliyepata 1.3 A-level ya PCB akasome sociology!!

mna watu wazuri ila ujinga kama huu MUONYANE MAPEMA, adui akipata nafasi inakuwa too late

au

Nini faida hii ya Lema kulia ni ikulu wakati si mbunge tena??? anawaumiza nani wananchi wanaompenda kwa ujinga wake mwenyewe

Uliharibu unachofanya sasa ni sawa kabisa na Maige!! hizo habari za ikulu ni za kufikirika majaji wote walimpania Lema!! kaa chini jifunze

kuwa kiongozi ni pamoja na kubashiri yajayo....kama haukuliona kuwa Kikwete ataweka bifu na ngali ulioendela kuongea pumba jukwaani..what are you?

sisi wengine tutasema kweli japo tunawapenda, kamwe sitajivua mimi kuogopa kusema ukweli..CCM imefika hapa kwa kutokukosoana!!! watch!

Tutolee mipasho na umbea hapa.......Lema akisema anakosea, jk akisema yuko sawa......kulikuwa na haja gani kwa jk kuacha kutoa hotuba iliyotukuka kwa wananchi na badala yake analeta mipasho?.....Lema amejibu alichokianzisha jk hivyo na wewe kama hujaelewa kaa kimya.
 
Nimeamini kwamba kuna watu wanafanya kazi bila ila kwa dhamira yao na kufuata kile kinahitajika na kwa kwa ajili ya kumpendeza bwana mkubwa fulani.
Nahisi kuna siku mnyonge atainuka.
Nafikiri kwa sasa viongozi sikilizeni sauti ya watu wenu!
 
Ingekuwa mipasho
inaongeza uchumi wa nchi sa hizi Tanzania tungekuwa mbali sana.......jk
nchi ilimshinda zamani sana.....sijawahi ona rais ana mipasho kama
jk...arusha sio pwani hivyo hatuhitaji mipasho!.

Kifupi ni kwamba raisi hatuna, tuna mfupa mmoja uliovaa suti unaitwa raisi wa tanzania.
 
My lovely sisy, hapa huyu ndugu yetu kateleza. Tukubali tu ukweli.

Tatizo lingine la wana CDM, wanaona kila anachofanya na wanayofanya viongozi wao ni perfect. Wanawaona viongozi wao kama malaika.

Hapa alichofanya Lema ni utovu mkubwa sana wa nidhamu. Tukubaliane kwa hili then tuangalie namna ya kumfunza huyu x-mbunge kama tulivyofanya kwa Nasari.

bila shaka ww kichwa chako kimejazwa na elimu haela na hauna elimu dunia.
 
God Bless "LEMA" Tayari ana Mungu kazi kwao wanaotegemea nguvu za giza.
 
Lema the former MP,

Umenena maneno mazuri sana ila yale tu ambayo wajinga kama wewe wanaweza kuyakubali na wajinga wa kwanza ni wafusi wa chadema wenyewe ambao kwao kukosoana sio desturi

umesema kuhusu mahama umezungumza aibu yako, kesi nyingi zimetokea hivi karibuni ambazo wabunge wa CDM wameshinda kwa hizo hizo mahakama!

Hivi Lema, kusema mimba ya yule dada ilikuwa ya Lowassa ndizo sera za chadema??

you are potential, una attributes zote za uongozi na unatakiwa sana kipindi hiki kizuri sana cha kuliokoa taifa letu! Lakini bangi na ujinga wako wa kitoto ndio uliopelekea kusema lolote jukwaani!

why give your enemy a chance? yes you gave him a chance

ni wewe ulikuja humu na kusema Kikwete alitaka ugombee ubunge kwa tiketi ya CCM ulikataa , na ukijua kuwa ulivyokuwa TLP ulikuwa mshindi wa pili hilo jimbo haukugundua kwa nafasi kubwa uchaguzi ule ungeshinda wewe??
Ukijua Kikwete ana uadui na wewe na bado uliona dalili za ushindi kwa nini ulitumia maneno ya kashfa, matusi au vyovyote usemamvyo wewe

The truth now you are not MP , kikubwa rudi kwenye game na tafuta fomu, kusema mahakama basi CDM wote wangeshindwa why you? kuna jimbo lilokuwa hot kama ubungo?

Mwenzio Mdee tulimuonya mapema sana kuhusu matusi na kama si juhudi za Slaa kawe Mdee angepokonywa!!! ilikuwa aibu

CDM wale wafuata mkumbo kutokumkosoa mtu potential kama Lema ni sawa na kuwambia aliyepata 1.3 A-level ya PCB akasome sociology!!

mna watu wazuri ila ujinga kama huu MUONYANE MAPEMA, adui akipata nafasi inakuwa too late

au

Nini faida hii ya Lema kulia ni ikulu wakati si mbunge tena??? anawaumiza nani wananchi wanaompenda kwa ujinga wake mwenyewe

Uliharibu unachofanya sasa ni sawa kabisa na Maige!! hizo habari za ikulu ni za kufikirika majaji wote walimpania Lema!! kaa chini jifunze

kuwa kiongozi ni pamoja na kubashiri yajayo....kama haukuliona kuwa Kikwete ataweka bifu na ngali ulioendela kuongea pumba jukwaani..what are you?

sisi wengine tutasema kweli japo tunawapenda, kamwe sitajivua mimi kuogopa kusema ukweli..CCM imefika hapa kwa kutokukosoana!!! watch!
Well said Waberoya,
 
My lovely sisy, hapa huyu ndugu yetu kateleza. Tukubali tu ukweli.

Tatizo lingine la wana CDM, wanaona kila anachofanya na wanayofanya viongozi wao ni perfect. Wanawaona viongozi wao kama malaika.

Hapa alichofanya Lema ni utovu mkubwa sana wa nidhamu. Tukubaliane kwa hili then tuangalie namna ya kumfunza huyu x-mbunge kama tulivyofanya kwa Nasari.
Kwani jk yeye amefanya vizuri kuleta mipasho katikati ya hotuba?...heshima mpe anaeistahili jk hastahili hata chembe kupata heshima ya Lema!......mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni......jk na ikulu wanamwandama Lema hilo linajulikana wazi ila akae akijua kuwa haki ya mtu huwa haipotei kamwe.
 
Back
Top Bottom