Lema amjibu Kikwete, asema yupo tayari kwa lolote kuanzia sasa

Ukombozi si lelemama Go on LEMA. Wewe ni mwanaharakati wa kweli na shujaa wa kweli. Unatukumbusha kuwa daima tusitishwe na cheo cha mtu kwa yale tunayoyaamini. Mzee wa upako anasema WATASHINDANA LAKINI HAWATASHINDA. songambele LEMA
 
Kina kasheshe, mimibaba, tamuchungu kumeza n.k nataka niwaulize J.K kawatuma au ukweli unawauma au mnatetea ruzuku kama kawaida, Hapa Ar nawaambia Lema ndiyo Rais wetu huyo JK ni wenu huko kwa wavua kibua Rais wa Tz ni Dr. Slaa mwanzo mwisho. JK hana nafasi hapa, ni binadamu kama viumbe wengine
 
Huko ni kujishtukia na upeo mdogo wa Lema.
Hamna narudia tena, hamna sehemu yoyote hotuba ya raisi imemtaja Lema. Who is Lema by then? Kwa sasa Lema ni 0 kwenye siasa za Tanzania. Hata balozi wa nyumba 10 yupo juu yake. Hana mamlaka ya kuijibu au kuizungumzia taasisi ya juu hapa nchini kama alivyofanya.

Hata kama wana yao, au kaona kama kasemwa, naye angemjibu indirectly siyo kuandika straight kama alivyofanya. Hapa nazidi kuona kuwa shule ya Lema bado ipo chini sana.

Jakaya mswahili. Mswahili wa Pwani. Bagamoyo.

Miaka 10 ya majungu na kauli za mafumbo na misemo.

Hakuna kinachoendelea katika ustawi wan chi zaidi ya kufitinisha na kugombanisha watu na visasi.

Pure uswahili!!
 
Hukumu ya rufaa yake mh Lema inasomwa lini? matamshi ya JK katika hotuba yake hayakuwa mazuri hata kidogo Ndugu Kasheshe ungeamua kutumia akili yako ya kawaida tu ungeona mapungufu ktk matamshi ya jk na usingeshabikia namna hii ushachangia zaidi ya mara 5 ktk thread hii iko page 3 na hakuna kitu tangible unafafanua
 
Rais unatoa kejeli kwa mtu! Huu ni upunguani wa hali ya juu. Najuta jk kuwa rais wangu. Kudos Lema
Rais gani huyu mwenye visasi????? Anafikiri kila mtu ni babu seha!!! Kamtia mwenzake jela ya maisha kisa wivu wa mapenzi tena hawara tu.
 
Huu ni upuuzi... kwani Mh. Rais amezungumzia ni tatizo jimbo kuwa chini ya CDM au amezungumzia utulivu wa mji wa Arusha... why don't you guys read.

Nini kilichoondoa utulivu wa Arusha?na Nini kimerudisha utulivu wa Arusha?tuanzie kwanza hapo
 
Lema kakasirika kuambiwa Arusha sasa ni tulivu?

Huyu Lema ana matatizo ya kisaikolojia, maandiko yake yanabainisha hilo.
unatakiwa upewe elimu ya kujtanbua wewe binafisi hujijui kama ni raia wa nchi hii, ccm wamekufanya mjinga
 
Huko ni kujishtukia na upeo mdogo wa Lema.
Hamna narudia tena, hamna sehemu yoyote hotuba ya raisi imemtaja Lema. Who is Lema by then? Kwa sasa Lema ni 0 kwenye siasa za Tanzania. Hata balozi wa nyumba 10 yupo juu yake. Hana mamlaka ya kuijibu au kuizungumzia taasisi ya juu hapa nchini kama alivyofanya.

Hata kama wana yao, au kaona kama kasemwa, naye angemjibu indirectly siyo kuandika straight kama alivyofanya. Hapa nazidi kuona kuwa shule ya Lema bado ipo chini sana.

Hujakosea ndiyo mwisho wa upeo wako. Nakuonea huruma unapomzungumzia Lema mwenye upeo mkubwa unaomshughulisha JK kuropoka na wewe kushindwa kuuona ukweli huu. Subiri sasa jambo hili litakavyoendelea kuwasha moto wa chuki kwa ccm na utawala wake. Mimi na wewe tuendelee kujadili bila kuchoka pamoja mwenzangu payroll inatiki.
 
Naomba msaada wapi Rais ameongelea mtu au hata Taasisi? Wapi?

Mkuu najua mantiki (logic) ya maneno yaliopo kwenye hotuba ya raisi huijui, ila maudhui yake pia hukuipata???
Kama hujui kwanini usikae kimya??? Pia kwa nini unamtukana Lema?? Lema Kakufanyia nini wewe?? Lema ameijibu Ikulu kama ikulu ilivoamua kumkebehi.

WW kinachokuuma ni nini? Wewe kula kodi zetu unazopewa uposti ***** wako humu alafu upanguza mdomo wako na kukaa kimya.
 
Maneno yake aliyoyaongea yakimtokea puani mje hapa kuomboleza naye. Sidhani kama kuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kushadadia huu up uuzi Lema alioufanya.

Huyo atakayekuwa na ubavu wa kufanya hayo unayoyadhania atafanyiwa Mh. Lema ni nani katika serikali na chama chenu cha magamba?Mgekuwa na ubavu huo leo hii UAMSHO huko visiwani wangekuwa wanawatoa kamasi!!
 
Lema endelea na kazi,matunda tunayaona barabara zote za mkoa wa tanga bendera za chadema zipo juu juu zaidi!achana na ba mwanaasha
 
mimi binafsi lema ni ndugu yangu kwa ufupi tu amezaliwa nronga huko machame na familia yetu ni ya kawaida namfahamu ndugu yangu god huwa hapendi kuonewa na nina uhakika kati ya watu ambao tutakua nao pale uwanja wa taifa 2015 rais kutoka cdm akiapishwa ni LEMA nakukubali sana kaka kaza buti na tupo pamoja OUR GOD IS GREAT

Godbless hakuzaliwa nronga,ila wazazi wake ndio wanatoka nronga,we ongelea point zilizopo hapa,kazaliwa Geita,amekulia kalangalala,s/m kasomea kalangala
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/273062-breaking-newz-lema-amjibu-kikwete-asema-yupo-tayari-kwalolote-kuanzia-sasa-2.html
 
Huko ni kujishtukia na upeo mdogo wa Lema.
Hamna narudia tena, hamna sehemu yoyote hotuba ya raisi imemtaja Lema. Who is Lema by then? Kwa sasa Lema ni 0 kwenye siasa za Tanzania. Hata balozi wa nyumba 10 yupo juu yake. Hana mamlaka ya kuijibu au kuizungumzia taasisi ya juu hapa nchini kama alivyofanya.

Hata kama wana yao, au kaona kama kasemwa, naye angemjibu indirectly siyo kuandika straight kama alivyofanya. Hapa nazidi kuona kuwa shule ya Lema bado ipo chini sana.
Mimi naona shule ya Rejao iko chini zaidi kwani hawezi kuelewa hata ukweli huu rahisi! Sina hakika na umri wako ila nna wasiwasi kama hutumiwi na hivyo umejengewa nidhamu ya woga kwa watawala! Usiwe mshabiki wa hata upumbavu, hiyo itakutofautisha na wanaodhaniwa hawakusoma!
 
"Ndugu Wananchi;
Napenda kutumia nafasi hii kutoa pongezi na shukrani nyingi kwa ndugu zetu wa Arusha kwa kuwapokea vizuri na kuwakarimu vyema wageni wetu hao. Nawaomba waendelee na moyo huo mpaka watakapoondoka wote. Naomba kuwepo kwa mkutano huu kuwakumbushe umuhimu wa mji wenu kuwa tulivu. Miaka miwili iliyopita isingekuwa rahisi kwa watu au shirika kubwa la kimataifa kama Benki hii kuamua kufanya mkutano wake Arusha. Isitoshe hata sisi wenyewe tusingeshawishika kuomba au kukubali maombi ya namna hiyo. Lakini sasa imewezekana. Naomba kila mmoja wetu aweke azimio moyoni mwake la kuhakikisha kuwa hali ile haijirudii tena. Nyota ya Geneva ya Afrika lazima iendelee kuangaza. Yaliyopita si ndwele tugange yajayo . ( J.K . KIKWETE.)

If you can read btw the line Rais anawaambia watu wa Arusha kuwa Jimbo likiwa upande wa upinzani kamwe mikutano mikubwa ya kimataifa haitafanyika Arusha! Wrong move! wananchi wanahitaji ushawishi zaidi na si vitisho vya kitoto ...Kana kwamba haitoshi, je ni wananchi wangapi wa arusha wanaofaidika na mikutano hiyo? sana sana ni delegates zitokazo Dar ndiyo ambao hufaidi Per Diem zitokanazo na kodi zetu ... ANYWAY wasiwasi wangu uko pale pale kuwa wasaidizi wa Raisi hawamsaidii ama hawafanyi kazi zao inavyotakikana...
 
Wengi wetu ni vigumu sana kumuelewa Ndugu Lema kwa wakati wasasa, mpaka pale yatakapokuja kutokea yanayohusiana na kauli zake kudhihirika wazi. Nionavyo mimi kauli za Ndugu Lema si za kupuuzwa wala kuzikebehi.
 
Kamanda Lema tupo pamoja akikumaliza wewe ajipange pia kuwaua watz wengine maana na sisi wapambanaji wengine hatutarudi nyuma na vile bado tuna kumbukumbu za m/kiti wetu Usa-river kuchinjwa kwa msumeno ......... kwa kweli ukombozi haupo mbali.
 

Similar Discussions

90 Reactions
Reply
Back
Top Bottom