Lema amjibu Kikwete, asema yupo tayari kwa lolote kuanzia sasa

Twende kwa hoja... Jackob Zuma was Popular, So do JK, ... Mkapa was un-popular... measure their efficiency and effectiveness.

Wanasiasa waTanzania wanapendwa sio kwa kuleta masuluhisho bali kwa kuwasoma watu wanataka kusikia nini na wanawapatia hicho wanachotaka kusikia... do you recall ahadi za mfuko wa Cement wa TShs. 5000/= or simply US $ 3. Na nyumba zote za watu kuezekwa kwa mabati.

I agree kuna watu walikuwa tofauti... lakini hawakuwa wanachukua credit kipuuzi kama hawa wa kwetu wa sasa... they just echoling what heros have done... na hawakujengeka kwa kusema bali kutenda... Mahtama Gandi, Nelson Mandela... ... NB. Nasoma kitabu chake sasa titled Nelson Mandela an Extra Ordinary Man... by Richard Stengel anasema kilichoifanya South Africa iwe hivyo ilivyo... ni kwa sababu ali-amua ku-reconcile na serikali ya makaburu.....

Mkapa alipata kura 62% alivyoingia ikulu... the next election ilikuwa about 72% not by saying kwa kutenda... hawa wakwetu wametenda nini tuwape hiyo heshima... critizing... there is no easy job like that in this world and good thing is there is no school for that....

Yaani Kasheshe tangu nimeanza kusoma hoja zako katika uzi huu, hususani kwa kile Lema alichomjibu JK, mie mtu wa kawaida (kutokana na bandiko lako moja hapo juu), i find you more paradoxical and puzzling than i thought you were...anyway hii kwa kiasi kikubwa naamini inachangiwa na one's station of life na jinsi gani anafaidikia/kuumia kutokana na mfumo uliopo.

Mr. Kasheshe, unasimama wapi?
 
Huu ni upuuzi... kwani Mh. Rais amezungumzia ni tatizo jimbo kuwa chini ya CDM au amezungumzia utulivu wa mji wa Arusha... why don't you guys read.

Utulivu uliondoka lini? ****** mbona hueleweki? Kumbuka Ghadafi alikuwa anawabaka hadi binti za watu na wakilalamika anawaua kwa kisingizio cha eti wanaleta fujo. Nia ya ccm kama ghadaf kwamba ukilawitiwa nyamaza.
 
Mbona lema hujaweka mmazungumzo yako na Mh jk huko obey tuone mlizungumza nini?
 
lema huyu kilewo sio jk ni aidha mtu wa usalama au mpambe ,nia yake hasa ni kujua una msimamo upi hasa kama ni j.k kweli katuma ujumbe huu ungejibu nini ,ujumbe amepata .ukweli hubaki kuwa kweli .mikutano ya kimataifa arusha haizuiwi na chadema bali na viongozi wa ccm .wakumbuke pia enzi za vitisho zimepitwa na wakati .wacha M4C ifanye kazi .hata nyerere na akina abdul sykes ,thabit kombo walikutana na vipingamizi kutafuta uhuru wa tanganyika .
 
Kauli za kamanda Godbless Lema zinachochea kupigania haki, hakika huyu jamaa ni chachu ya mabadiliko kwa kizazi hiki...Endelea kamanda, bora kufa ukiwa unapigania haki na utu wa mwanadamu kuliko kuishi miaka 100 ya udhalimu na ujambazi. Godbless Lema ni mwanamapinduzi wa kweli hakika kauli zake zinachochea kupigania haki.

Mungu Ibariki Tanzania, Mungu ibariki CHADEMA, Mungu mbariki Godbless Lema.
Tulianza na MUNGU, tunaendelea na MUNGU, tutamaliza na MUNGU.

Sawa, ila hata wewe uliyeguswa na kufurahishwa na msimamo wa Lema basi ufanye na vitendo pia! Tatizo letu Watz tunapenda porojo kuliko vitendo, wewe hapo ukiambiwa hata na mwajiri wako tu unafyata mkia na kuchagua kuishi kwa hofu na kumtetemekea ilmradi mkono uende kinywani! Kwa maneno mengine, Watz wengi ni wachumia tumbo tu, suala la harakati na mageuzi linahitaji vitendo zaidi kuliko maneno matupu tena ya kwenye JF. Heri Lema ya kwake kamuandikia ******, sisi wengine ya kwetu tunaishia JF! Shame on us!
 
Kauli za kamanda Godbless Lema zinachochea kupigania haki, hakika huyu jamaa ni chachu ya mabadiliko kwa kizazi hiki...Endelea kamanda, bora kufa ukiwa unapigania haki na utu wa mwanadamu kuliko kuishi miaka 100 ya udhalimu na ujambazi. Godbless Lema ni mwanamapinduzi wa kweli hakika kauli zake zinachochea kupigania haki.

Mungu Ibariki Tanzania, Mungu ibariki CHADEMA, Mungu mbariki Godbless Lema.
Tulianza na MUNGU, tunaendelea na MUNGU, tutamaliza na MUNGU.

Naomba kuwa kinyume chako katika kauli hii. Lema anatakiwa kutuliza nerves kidogo si kila kimjiaacho kiwe kama anavyotaka na demokrasia ya kweli si hivyo. Ustahimilivu na uvumilivu unamshinda Lema. Kesi ya Arusha isingekuwa mbaya kwake ila ni kutokana na kuruhusu ulimi wake kuteleza kuelekea kusiko na maadui wake wamepata pakusimama kujenga hoja ya kumtosa nje ya uringo toka mjengoni Dodoma.

Wenye busara wamsaidie huyu vinginevyo kwa mwendo huu si vema kushabikia kila anachoongea na kutenda, tutakuwa kama sote hatuna mwono mpana.
 
Jamani CDM msaidieni huyu mtu wenu. Naona kama hayuko sawa!

Walio kinyume cha msimamo wako watakupiga kibega kwa hili, lakini mimi naona uko sahihi, kuna kitu si sawa anahitaji msaada wa wataalamu wa saikoloji kujiweka sawa, huwezi kuongoza kwa mwendoo huu wa Lema, ustahimilivu na busara ya kuchagua nini na wapi kwa kuongea kunakosekana. Walio karibu naye wajitahidi kumsaidia.
 
Utulivu uliondoka lini? ****** mbona hueleweki? Kumbuka Ghadafi alikuwa anawabaka hadi binti za watu na wakilalamika anawaua kwa kisingizio cha eti wanaleta fujo. Nia ya ccm kama ghadaf kwamba ukilawitiwa nyamaza.


In fact ukielewa it means sijasema kitu... ahahahaha
 
Back
Top Bottom