Lema alituharibia wadau kwenye mhadhara wa jana na Polepole

Lema alituharibia wadau kwenye mhadhara wa jana na Polepole

Mtu kama Gwajima na Mpina walikua wanafaa sana kwa wakat huu ia wamehofia kushoboka na kukosa support ya chedema. Kuna ujinga flan upo pale Chadema sijui ni ubinafs sijui ni uchama sielew...

Kuna wajinga wenye kutaka u star kuwa wengine wote wasaliti ila wao.

Lissu ni tofauti. Hawezi kuwa na ujinga huo.

Ukombozi utaletwa na ushirikiano na wengine bila kujali historia zao Bali mitazamo yao Leo.

Chadema haikumwungq mkono Gwajima. Lissu angemwunga mkono Gwajima na hata Polepole Kwa hoja zao Leo.

Heche kafanya hivyo japo Kwa Polepole leo ila wale ndugu zangu na miye sasa, looh!
 
Katiba mpya ilikuwa kwenye ilani ya ccm ya 2015-20, ila Magufuli aliigomea. Polepole alipoulizwa akawa anasema Magufuli anafanya yanayotakiwa na katiba mpya, lakini alikuwa akisema hivyo kwa aibu kubwa, maana alijua waliwaaminisha nini wananchi.

Kuhusu ushauri, mwambie Polepole asitoe nafasi kwa hao akina Lema ubaki unamsikiliza yeye tu.

Polepole kasema ilikuwamo kwenye 2020 - 25. Hilo nalo hujasikia?
 
Hiyo ni juu yako, acha aliyepewa nafasi aongee. Hutaki mpigie simu Polepole akuhutubie ww mwenyewe bila kuingiliwa na mtu.

Na ndiyo maana niko hapa kumpasha, na ninajua ujumbe umemfikia na akipenda kupima maji aitishe mhadhara wake wa mawaidha kama hayo. Nininajua hata wewe hutakuwapo kumsikiliza.

Huko tunafata madini ya waliosoma kama kina Polepole. Tukihitaji alliance za kuleta mabadiliko sasa. Asiyetaka mabadiliko Kwa kujua au kutokujua hiyo wengine haituhusu.
 
Anachosema Polepole sasa kinazuia kilichokuwepo kwenye kwenye ilani yao ya 2025-20?

Ndiyo maana ana maswali Kwa CCM kwa ambayo hayakufanyika likiwamo la katiba mpya na ndiyo maana anasema lazima kumwagwa oil.

A Wewe ulidhani ni oil ya gari la ukweli?
 
Lema alinishangaza,

Iweje mtu aliyewahi kuwa Mbunge asijue kuuliza swali,

Badala ya swali, anatoa maelezo mareefu kwa issue isiyo na Msingi,

Yaani ulazimishe Lissu atajwe ndio aone ni uzalendo,

Lema Tulia, acha kelele.

Tunahitajika kuungana pamoja kupambana na adui yetu mmoja
Hata upeo wa wauliza maswali ulikuwa chini sana, mtu anakomaa majina yatajwe, maswali yanaulizwa yale yale kwamba enzi za JPM mbona hukusema etc. Pole pole aendelee kutema moto kusambaratisha Mtandao bila kutoa nafasi ya kuulizwa maswali, maana waulizaji inaonekana hawajui maswali ya kuuliza.
 
Humphrey Polepole kaamua kujitoa mhanga na kuungana na wadau kuipigania Tanzania.

Ajabu na kweli jana akatokea Lema katikati ya show ati kutaka kumshauri ya kufanya Polepole?

Kwani ni siri? Polepole? kwa bongo ile ni Rostam au Lema wenye capacity ya kumshauri huyu?

Tuache husuda, nchi hii ilipo tunawahitaji wote wakiwamo wa aina ya Polepole kumvaa binti kiziwi.

Makelele yakikokolea mbona masikio yatazibuka?

Go Polepole go tunasubiri mhadhara #4 utaoshuka bila shaka sasa na lile kombara lenyewe la nyuklia.

Ashaurilwe Lema kuuliza maswali au kukaa kwa kutulia Polepole haihitaji ushauri wa watu wa aina yake!
REMA NI MOJAWAPO YA MAGARASA YA CHADEMA ...CHADEMA KINA WAPUMBAVU WENGI SANA ....
 
Hao ndiyo kina Tinde, Joka MKuu na wenzao ujuaji mwingi.

Kushindwa kutambua hii nchi itakombolewa na wenye mawazo kama yetu leo, si kana Wala juzi hilo kwao aah aah! Ndiyo kina Lema hao.

Bila kujua wao na wahuni kipindi hicho wanacheza timu moja.
 
REMA NI MOJAWAPO YA MAGARASA YA CHADEMA ...CHADEMA KINA WAPUMBAVU WENGI SANA ....

Bila kujua kuwa Polepole, Mpina, Gwajima na wa namna hiyo leo ni wenzetu zaidi kuliko wahuni au washirika zao, tutakuwa bado tupo tupo sana!
 
Humphrey Polepole kaamua kujitoa mhanga na kuungana na wadau kuipigania Tanzania.

Ajabu na kweli jana akatokea Lema katikati ya show ati kutaka kumshauri ya kufanya Polepole?

Kwani ni siri? Polepole? kwa bongo ile ni Rostam au Lema wenye capacity ya kumshauri huyu?

Tuache husuda, nchi hii ilipo tunawahitaji wote wakiwamo wa aina ya Polepole kumvaa binti kiziwi.

Makelele yakikokolea mbona masikio yatazibuka?

Go Polepole go tunasubiri mhadhara #4 utaoshuka bila shaka sasa na lile kombara lenyewe la nyuklia.

Ashaurilwe Lema kuuliza maswali au kukaa kwa kutulia Polepole haihitaji ushauri wa watu wa aina yake!
70667a01-0ed7-4b66-910a-7bb912dc937e.gif
 
Good thinking, remember also it is never too late in life, similarly time has already told

Katikati maisha hakuna kuchelewa
 
The country is ripe for a coup, where is our Captain Ibrahim Traore?
 
Good thinking remember also it is never too late in life

Katikati maisha hakuna kuchelewa

Na ndiyo maana tunasema. Mwamba Aliziba masikio akawa overtaken na events.

Tunataka mabadiliko sasa na wote wenye mawazo kama yetu leo si jana wala juzi.
 
Lemma ni mzee wa kupenda attention akiona mtu yoyote anafanya kitu chenye kinaungwa mkono na watu wengi utamuona anajitokeza na kumponda huyo mtu anataka aonekane yeye ndo anauchungu kuliko yoyote wakati kajificha Canada
 
Na ndiyo maana tunasema. Mwamba Aliziba masikio akawa overtaken na events.

Tunataka mabadiliko sasa na wote wenye mawazo kama yetu leo si jana wala juzi.
Wanashupaza shingo a.k.a kujizima data tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo

CCM wametufikisha hapa tulipo kwasababu ya mfumo wa unyumbu wa kisiasa

Unyumbu wa kisiasa ni mfumo unao wezesha wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi, (sharing the same mind set), kwasababu ya kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi kwanjia ya kujipendekeza ama kwa uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki)

Human herding in politics is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of working towards group objectives by misbehaving through flattering or hypocrisy

Similarly working towards self-absorbed group
 
Lemma ni mzee wa kupenda attention akiona mtu yoyote anafanya kitu chenye kinaungwa mkono na watu wengi utamuona anajitokeza na kumponda huyo mtu anataka aonekane yeye ndo anauchungu kuliko yoyote wakati kajificha Canada

Huu ni ugonjwa kama aliokuwa nao mwamba - psychosis. Ashaurilwe kuwahi hospitali unatibika.

Kwenye ukombozi hakuna u star watu wote ni muhimu!
 
Back
Top Bottom