Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 71,921
- 129,059
Bado hatujasahau madhila Polepole aliyoleta chini ya Magufuli. Hii kufumbia macho washenzi kisa hawaelewani na utawala wa sasa ni wendawazimu. Ni kweli Polepole anaongea ukweli, lakini hata wakati wa tume ya Warioba aliongea ukweli, ila alipoingia dhalimu magu akageuka kuwa mshenzi. Iweje aaminike sasa?Wa aina hii hawajui walikuwapo kina mwamba. Tanzania ni muhimu zaidi kuliko mtu.
Nani asiyeelewa wahuni wametuchelewesha mno?