ALPHRED MAHUNJA
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 308
- 158
Asante na mungu akubariki kwa kujitolea katika fikra pevu
Mkuu shukrani sana umenipa vitabu vingi na muhimu sana ila nitakufata PM, kwa ajii ya cha Verma, au Verma unacho hard copy maana ni kikubwa sana kile hahahaha....Vingine hivi hapa
Hahahaha basi na mimi along side Chris P. Maina alini equip sema sikua serious tuu hahahahahaKama unataka Instruments za Public International Law, au International Humanitarian Law niPm. The man himself Dr. Chacha Bhoke Murungu ametu~equip sana vijana wake.
Hahahaha basi na mimi along side Chris P. Maina alini equip sema sikua serious tuu hahahahaha
Mkuu Legal Dictionary zipo nyingi, anza na hizi kwanza. Ukitaka Blacks Law Dictionary ipo pia
Naomba msaada wa Kesi zozote za PIRACY OF ARTIST'S WORK, Za Mahakama Kuu au Mahakama ya Rufaa...Au kesi zozote za COPYRIGHT..Haya ni maeneo ya intellectual Property.
Unapata.
Ninazo nyingi mkuu, nipatie email yako nikutumie!