Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

Dragon naomba unisaidie.
Tulinunua shamba la ukoo mwingine. Akatokea mwana ukoo ule akataka kukomboa ( to redeem a clan shamba) . Mahakama ya mwanzo ikampa haki ya kukomboa, that was in 2012.. Haikuweka muda wa kufanya hivyo. Jamaa huyo akakata rufani maana alitaka iwe kesi ya jinai kuwa tumeingia kwenye shamba by trespass. Mahakama ya wilaya ikakataa. That was in 2013. It restored the primary court ruling in toto- in 2013. Leo mtu huyo anataka kulipa hizo hela za kukomboa shamba la ukoo. Je sheria inasemaje kuhusu such a delay (kumbuka mahakama haikutoa muda wa kulipa hizo hela.) Is such a delay warranted?
 
Hatua hiyo ya kulipa hela inaitwa kukazia hukumu. Kwa kawaida kukazia hukumu mtu hapewi mda maalum, lakini kikomo chake ni miaka 12. kwa hiyo kama hukumu ya mwisho ilitolewa mwaka 2013 bado mda wa miaka 12 haujaisha.
 
NAOMBA UNISAIDIE TAFADHALI KUNITAFUTIA CASE HII: Civil Appeal No. 5/97 – Tanzania Saruji Corporation vs African Marble CO. Ltd. CAT at Dar.
NITUMIE INBOX KAMA ITASHINDIKANA HUMU.
 
Dragoon, kesi ya Lema court of appeal walisema kuwa mpiga kura hawezi kufungua kesi ya kupinga matokeo maana kama amepiga kura hakuna haki yake iliyovunjwa, mbona hawa wameshitaki?
 
Salaam wakuu..natafuta kesi za consumer protection au negligence kwenye sales of expired goods kama kuna yoyote anazo wakuu
 
Wakuu nisaidieni sheria ya OSHA inasemaje juu mfanyakazi kukutwa na asilimia Fulani ya kilevi? Je kuna jiwango kinachoruhusiwa na OSHA au ni 0.00mg/l ya kilevi ndo inapaswa mda wote?
 
Wakuu nisaidieni sheria ya OSHA inasemaje juu mfanyakazi kukutwa na asilimia Fulani ya kilevi? Je kuna jiwango kinachoruhusiwa na OSHA au ni 0.00mg/l ya kilevi ndo inapaswa mda wote?
Jaribu kufafanua swali lako maana naona haliko sawa.

Maana kukutwa na kilevi kivipi yani? Kukutwa amekishirikilia tu au anafanyaje?
 
Nina tatizo moja la kisheria katika mahakama ya mwanzo kuna mtu alinishambulia katika ofisi yangu ni kifungu gan ambacho kinaweza kumfunga nisaidieni jamani
 
Wakuu Samahanini Kwa Kuingiza Madaa Tofauti Hapa.

Msaada Kwenye Tuta.

Swali: Why hardware devices are very much used in legal evidence(issues) compared to software

Natanguliza Shukrani Zangu Kwenu.
 
NAOMBA UNISAIDIE TAFADHALI KUNITAFUTIA CASE HII: Civil Appeal No. 5/97 – Tanzania Saruji Corporation vs African Marble CO. Ltd. CAT at Dar.
NITUMIE INBOX KAMA ITASHINDIKANA HUMU.
Ingia website hii judicial database unapata kesii zote uzktakazo kwa kusearch
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…