Legacy ya Hayati Magufuli yazidi kupiganiwa

Legacy ya Hayati Magufuli yazidi kupiganiwa

Hakuna tusi au kejeli yeyote ile, ambalo litakuja kufunika Urithi wa tendo au wazo la John Pombe Magufuli, Hayati Raisi wa Tanzania.
Hakuna!

Rest In Power-Pumzika kwa Amani Comrade.

Ikumbukwe pia, hakuna genge lelote lile Tanzania linaloitwa Sukuma Gang. Kuna kabila la Wasukuma.

CHADEMA na washirika wake waache kueneza mawazo ya chuki, ugaidi na mauaji ya kimbari dhidi ya Wasukuma. Nina isihi jumuiya ya kimataifa na Watanzania kwa Ujumla, kukemea kwa nguvu zote, CHADEMA na washirika wake, kuacha kusambaza uongo, mawazo ya mauaji na ya kigaidi kati ya watu wa Tanzania na hususani kabila la WASUKUMA.

CHADEMA must stop propagating the Ideas of Terrorism and Genocide against the Wasukuma people of Tanzania. I urge the International Community and Tanzanians to condemn CHADEMA and its affiliates radical right wing and secessionist friends of the west to cease and desist spreading of Genocidal ideas amongst our peoples.
Umeiandika CHADEMA mara nyingi kuliko "regase wako"!Jitafakari.
 
Ukitaka kujua Tanzania bado kuna watu wajinga wengi, angalia watu wanavyomshobokea Magufuli.

Magufuli was a country bumpkin.
Wanao shobokea ni wale waliokuwa ni wanafaika
 
Wale wanaoamini JPM anastahili kuwa kwenye kmbukumbu tukuka wanazidi kujitokeza.

Kuna familia imejitokeza kuipqmbania maana wanaona haitoshi.

Nadhani hii ni mara ya kwanza kundi fulani kuamua kupambania legacy ya kiongozi hapa nchini.

Hivi kuna haja ya kikindi cha watu kupambania legacy ya kiongozi?

Siku zote legacy ya mtu huwa inaamliwa na jinsi jamii ya watu wanavyo muona na siyo kulazimisha.
View attachment 2710691
Familia ya kipumbavu sana hiyo. Utakuta hawana hata msimamo wa maisha, hawajui kula yao ikoje na watoto wao wala hawaendi shule. Halafu wanaanza kukomaza fuvu kutetea uhayawani wa Magufuli!!
 
Familia ya kipumbavu sana hiyo. Utakuta hawana hata msimamo wa maisha, hawajui kula yao ikoje na watoto wao wala hawaendi shule. Halafu wanaanza kukomaza fuvu kutetea uhayawani wa Magufuli!!
Ni ujinga wa kiwango cha lami
 
Wajinga ndiyo waliwao.

Hivi mtu anatamba mbele ya vyombo vya habari kuwa "spy" wake ni Mrumo!

Kuna "legacy" ipi hapo?
 
Wajinga ndiyo waliwao.

Hivi mtu anatamba mbele ya vyombo vya habari kuwa "spy" wake ni Mrumo!

Kuna "legacy" ipi hapo?
Wanalazimisha kuuza nyago ili wajulikane na ukiona hivyo wanajipanga kugombea udiwani au ubunge pale chato
 
Familia ya kipumbavu sana hiyo. Utakuta hawana hata msimamo wa maisha, hawajui kula yao ikoje na watoto wao wala hawaendi shule. Halafu wanaanza kukomaza fuvu kutetea uhayawani wa Magufuli!!
We kima, msimamo wa maisha ulionao ndiyo chanzo cha wao kuwa maskini.

Mmewaibia Watanzania usiku na mchana kwa kuwa tu mlikuwa kwenye nafasi, tena mlizopewa na wazazi na marafiki zenu pasipo sifa.

Mlaaniwe duniani na mbinguni kama kupo.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Tangu Tanzania ijipatie uhuru hakujawahi kutokea upigaji fedha kama kipindi cha Jiwe
 
We kima, msimamo wa maisha ulionao ndiyo chanzo cha wao kuwa maskini.

Mmewaibia Watanzania usiku na mchana kwa kuwa tu mlikuwa kwenye nafasi, tena mlizopewa na wazazi na marafiki zenu pasipo sifa.

Mlaaniwe duniani na mbinguni kama kupo.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Mbona na Magufuli katuibia sana. Amekufa kuna USD 40 Million zimelutwa nyumbani kwake na kuna zingine kaweka China. Ni msukule wake tu ndiyo unaweza kumtetea Magufuli
 
We kima, msimamo wa maisha ulionao ndiyo chanzo cha wao kuwa maskini.

Mmewaibia Watanzania usiku na mchana kwa kuwa tu mlikuwa kwenye nafasi, tena mlizopewa na wazazi na marafiki zenu pasipo sifa.

Mlaaniwe duniani na mbinguni kama kupo.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Umeshalaaniwa tayari mtu kama wewe ambaye huna uhakika wa kesho utakula nini lkn upo mstari wa mbele kutetea maovu
 
Back
Top Bottom