Legacy ya Hayati Magufuli yazidi kupiganiwa

Hakuna tusi au kejeli yeyote ile, ambalo litakuja kufunika Urithi wa tendo au wazo la John Pombe Magufuli, Hayati Raisi wa Tanzania.
Hakuna!

Rest In Power-Pumzika kwa Amani Comrade.

Ikumbukwe pia, hakuna genge lelote lile Tanzania linaloitwa Sukuma Gang. Kuna kabila la Wasukuma.

CHADEMA na washirika wake waache kueneza mawazo ya chuki, ugaidi na mauaji ya kimbari dhidi ya Wasukuma. Nina isihi jumuiya ya kimataifa na Watanzania kwa Ujumla, kukemea kwa nguvu zote, CHADEMA na washirika wake, kuacha kusambaza uongo, mawazo ya mauaji na ya kigaidi kati ya watu wa Tanzania na hususani kabila la WASUKUMA.

CHADEMA must stop propagating the Ideas of Terrorism and Genocide against the Wasukuma people of Tanzania. I urge the International Community and Tanzanians to condemn CHADEMA and its affiliates radical right wing and secessionist friends of the west to cease and desist spreading of Genocidal ideas amongst our peoples.
 
JPM atabaki moyoni mwangu akiwa kama kiongozi wa mfano. Rest in Peace 🕊️

General🫡
 
Mzee Bwana Tundu, tokea aliposhindwa kwenda kwenye Kaburi la hayat Rais Magufuli, kutafuta huruma na sapoti ya Watanzania walio wengi nyuma ya kinyanga'nyiro chake cha kutafuta umaarufu, amekuwa akieneza uwongo akisaidiwa na genge lake la mtandaoni la magaidi na masaliti ya Taifa hili.

Wakemewe.
 
Vipi Umewahi kuolewa na kuachika?
 
Mzee Bwana Tundu, tokea aliposhindwa kwenda kwenye Kaburi la hayat Rais Magufuli, kutafuta huruma na sapoti ya Watanzania walio wengi nyuma ya kinyanga'nyiro chake cha kutafuta umaarufu, amekuwa akieneza uwongo akisaidiwa na genge lake la mtandaoni la magaidi na masaliti ya Taifa hili.

Wakemewe.
Ebu wahi ufike burigi maana kesho zamu yako ya kulinda
 
Hakuna tusi au kejeli yeyote ile, ambalo litakuja kufunika Urithi wa tendo au wazo la John Pombe Magufuli, Hayati Raisi wa Tanzania.
Hakuna!

Rest In Power-Pumzika kwa Amani Comrade.

Ikumbukwe pia, hakuna genge lelote lile Tanzania linaloitwa Sukuma Gang. Kuna kabila la Wasukuma.

CHADEMA na washirika wake waache kueneza mawazo ya chuki, ugaidi na mauaji ya kimbari dhidi ya Wasukuma. Nina isihi jumuiya ya kimataifa na Watanzania kwa Ujumla, kukemea kwa nguvu zote, CHADEMA na washirika wake, kuacha kusambaza uongo, mawazo ya mauaji na ya kigaidi kati ya watu wa Tanzania na hususani kabila la WASUKUMA.

CHADEMA must stop propagating the Ideas of Terrorism and Genocide against the Wasukuma people of Tanzania. I urge the International Community and Tanzanians to condemn CHADEMA and its affiliates radical right wing and secessionist friends of the west to cease and desist spreading of Genocidal ideas amongst our peoples.
Wewe mwenyewe ni sukuma gang
 
Wale wanaoamini JPM anastahili kuwa kwenye kmbukumbu tukuka wanazidi kujitokeza.

Kuna familia imejitokeza kuipqmbania maana wanaona haitoshi.

Nadhani hii ni mara ya kwanza kundi fulani kuamua kupambania legacy ya kiongozi hapa nchini.

Hivi kuna haja ya kikindi cha watu kupambania legacy ya kiongozi?

Siku zote legacy ya mtu huwa inaamliwa na jinsi jamii ya watu wanavyo muona na siyo kulazimisha.
View attachment 2710691
Vizuri
 
Ni kwangu pia na watu wengine kama familia yangu, ndugu zangu na rafiki zangu wote tunamkubali Magufuli.

Wewe pia unaweza kujisemea.

Magufuli hakua mwema kwa mashoga, hope hawatamkubali na ndio wanaompinga.
Nakuunga mkono mkuu
 
Wale wanaoamini JPM anastahili kuwa kwenye kmbukumbu tukuka wanazidi kujitokeza.

Kuna familia imejitokeza kuipqmbania maana wanaona haitoshi.

Nadhani hii ni mara ya kwanza kundi fulani kuamua kupambania legacy ya kiongozi hapa nchini.

Hivi kuna haja ya kikindi cha watu kupambania legacy ya kiongozi?

Siku zote legacy ya mtu huwa inaamliwa na jinsi jamii ya watu wanavyo muona na siyo kulazimisha.
View attachment 2710691
Wapo watu ambao kazi yao ni kuharibu legacy za wenzao,hao lazima wapigania legacy ya Magufuli wadili nao
 
Back
Top Bottom