Legacy mchongo tena ya kulazimisha kila kukicha.
Hivi ni wapi tuliwahi kuna kikundi kina lazimisha legacy ya baba wa taifa?
Wajinga ndiyo waliwao.Wanalazimisha kuuza nyago ili wajulikane na ukiona hivyo wanajipanga kugombea udiwani au ubunge pale chato
Go straight,ni familia yake ndio inapigania legacy ya ndugu yao wakiongozwa na msemaji wao wa familiaWale wanaoamini JPM anastahili kuwa kwenye kmbukumbu tukuka wanazidi kujitokeza.
Kuna familia imejitokeza kuipqmbania maana wanaona haitoshi.
Nadhani hii ni mara ya kwanza kundi fulani kuamua kupambania legacy ya kiongozi hapa nchini.
Hivi kuna haja ya kikindi cha watu kupambania legacy ya kiongozi?
Siku zote legacy ya mtu huwa inaamliwa na jinsi jamii ya watu wanavyo muona na siyo kulazimisha.
View attachment 2710691
Yeah 100%Kumbe?
Hapana, sio wote, kuna wengine pangu pakavu tia mchuzi kabisa waliona Magufuli ni mkombozi wao.Wanao shobokea ni wale waliokuwa ni wanafaika