Legacy ya Hayati Magufuli yazidi kupiganiwa

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,265
Reaction score
98,318
Wale wanaoamini JPM anastahili kuwa kwenye kmbukumbu tukuka wanazidi kujitokeza.

Kuna familia imejitokeza kuipqmbania maana wanaona haitoshi.

Nadhani hii ni mara ya kwanza kundi fulani kuamua kupambania legacy ya kiongozi hapa nchini.

Hivi kuna haja ya kikindi cha watu kupambania legacy ya kiongozi?

Siku zote legacy ya mtu huwa inaamliwa na jinsi jamii ya watu wanavyo muona na siyo kulazimisha.
Screenshot_20230807-083920_Instagram.jpg
 
Sasa hiyo jamii unayoisema ndio hiyo inayompigania.. sasa labda kama ulitaka jamii kutoka sayari ya mars..maana hata jirani zetu malawi wameandika hadi kitabu.
Sukuma gang?
 
Wale wanaoamini JPM anastahili kuwa kwenye kmbukumbu tukuka wanazidi kujitokeza.

Kuna familia imejitokeza kuipqmbania maana wanaona haitoshi.

Nadhani hii ni mara ya kwanza kundi fulani kuamua kupambania legacy ya kiongozi hapa nchini.

Hivi kuna haja ya kikindi cha watu kupambania legacy ya kiongozi?

Siku zote legacy ya mtu huwa inaamliwa na jinsi jamii ya watu wanavyo muona na siyo kulazimisha.
View attachment 2710691
Vizuri sana msemaji wa familia umenena vyema.
 
Back
Top Bottom