Legacy ya Hayati Magufuli yazidi kupiganiwa

Wale wanaoamini JPM anastahili kuwa kwenye kmbukumbu tukuka wanazidi kujitokeza.

Kuna familia imejitokeza kuipqmbania maana wanaona haitoshi.

Nadhani hii ni mara ya kwanza kundi fulani kuamua kupambania legacy ya kiongozi hapa nchini.

Hivi kuna haja ya kikindi cha watu kupambania legacy ya kiongozi?

Siku zote legacy ya mtu huwa inaamliwa na jinsi jamii ya watu wanavyo muona na siyo kulazimisha.
View attachment 2710691
Mnavyosema familia ndio kina nani, mke wake, watoto au nani hao, au ni sukuma gang? Je Mkapa nani amtetee, hao wanaiharibia zaidi hiyo familia km ni kweli. Ni aibu atokee ndugu amtetee aliyekuwa kiongozi mkuu wa nchi wakati hakuna hana analojua in details.

Tulieni acheni kiherehere, huyo Magufuli ana nini cha tofauti ameifanya cha maana ndani ya muda mfupi wa miaka 5 zaidi ya kuigawa hii nchi. Wasubiri yanakuja mengine makubwa zaidi, lile lilikuwa jizi lililojificha kwenye joho la uzalendo feki na utetezi wa wanaoitwa wanyonge. Subirini kuna timing inafanywa mtasikia mengi.
 
Muhuni kabisa, sijui kwa nini Mama yako hakuitoa hiyo mimba lisizaliwe, hasara sana kwa taifa
Hasara kwa taifa ni wale wanaojiita chawa kama wewe masikini ya Mungu
 
Sasa hiyo jamii unayoisema ndio hiyo inayompigania.. sasa labda kama ulitaka jamii kutoka sayari ya mars..maana hata jirani zetu malawi wameandika hadi kitabu.
yule ni mtu moja na hisia zake, hasa hasa hajui manyanyaso aliyowafanyia watanzania
 
Wale wanaoamini JPM anastahili kuwa kwenye kmbukumbu tukuka wanazidi kujitokeza.

Kuna familia imejitokeza kuipqmbania maana wanaona haitoshi.

Nadhani hii ni mara ya kwanza kundi fulani kuamua kupambania legacy ya kiongozi hapa nchini.

Hivi kuna haja ya kikindi cha watu kupambania legacy ya kiongozi?

Siku zote legacy ya mtu huwa inaamliwa na jinsi jamii ya watu wanavyo muona na siyo kulazimisha.
View attachment 2710691
Kama wanataka kutetea legacy ya JPM wamshitaki Tundu Lissu, kasema JPM alificha dola za Kimarekani milioni 42 nyumbani kwake Chato.
 
Duuuuu hii ni kali sana
 
Wale wanaoamini JPM anastahili kuwa kwenye kmbukumbu tukuka wanazidi kujitokeza.

Kuna familia imejitokeza kuipqmbania maana wanaona haitoshi.

Nadhani hii ni mara ya kwanza kundi fulani kuamua kupambania legacy ya kiongozi hapa nchini.

Hivi kuna haja ya kikindi cha watu kupambania legacy ya kiongozi?

Siku zote legacy ya mtu huwa inaamliwa na jinsi jamii ya watu wanavyo muona na siyo kulazimisha.
View attachment 2710691
JK alikosea sana na uamuzi wake umeligharimu sana nchi hii, yule shetani hakutakiwa kuwa kiongozi wa nchi hii, ameharibu nchina kuiponya itachukua muda
 
Mama anajitahidi lkn bado ngoma bado ni mbichi sana
 
Back
Top Bottom