Lecturer UDSM azawadiwa na Wanafunzi

Hebu tupe jina lake na department
 
Inapendeza sana,Nasikia hata yule Prof Assad aliyekuwa cag wakati akiwa Leacture hapo Udsm alikuwa analipia watu ada,ama mambo madogo madogo ambayo mwanafunzi wa hali ya chini anakuwa ameshindwa kuyapata,so walimu wenye upendo wa kujitoa wapo na iyo ndio faida ya kuwa mwema
 
Ndo kilichowapeleka hapo kutoa zawadi kwa mwalimu kipindi wangali masomoni, kwa nini hiyo zawadi wasiitoe siku wanapohitimu masomo......TAKUKURU fuatilia kukomesha hii tabia.
 
Yaani huyu bwana mdogo hata kozi zile anazofundisha tu ukimsikiliza anazitaja zinazidi kumpa umaarufu na kumuonyesha kuwa yuko smart sana kichwani; yaani ni product ambayo iinatakiwa kuwepo university pasipo mashaka yoyote yale. Kozi anazofundisha zinamuonyesha yuko safi sana kichwani. I like smart people!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…