Le Mutuz ulingoni

Anaweza kutueleza kwa nini ajali za meli hapa tanzania zinatokea mara kwa mara? kuna njia gani za kujiepusha na ajali hizo kutokea tana. Kuna umuhimu wowote wa kuunda tume ya watu wasio professional kuchunguza ikiwa ajali za meli imetokea?
 
Ze Mutuz bana Elimu yake yatia shaka
 
Arekebishe meli na vivuko vinavyogoma kwa kutumia elimu yake
 
Atafutae hachoki,akichoka keshapata.Eti uchungu wa mwana mbona kawaacha wanae newyork?
 
Huu uchaguzi ulishafanyika na huyu Le Kibonge alidondokea pua na sasa yuko kinyerezi anajiuguza.
Le Kibonge nakushauri tafuta ujumbe kwenye kamati ya miss Tanzania.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
uchungu wa mwana,aujuae ....

kumbe ana wana
haishi kimzazi mzazi mbona
 
Kumbe wataalam wa maswala ya polisi tunao !!
Sasa kwa nini asingeenda kuwa polisi ??
Yaani tunaye mtu aliye-master maswla ya polisi, halafu tunaajiri polisi wasio na taaluma ya kazi hiyo !!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…