Le Mutuz: Magufuli alitaka kunipa uongozi lakini nilikataa

William Malecela ama Le Mutuz Nation , Super Brand , Nye Nye Nye , kama anavyofahamika mitaani , Amefunguka kwamba Aliwahi kuitwa na Rais wa zamani wa Tanzania , Dr Magufuli na kuambiwa achague cheo anachotaka , lakini alikataa.

Le Mutuz amedai kwamba Magufuli alikuwa Rafiki yake na walikuwa wanaongea mara kwa mara , anadai alimwambia Magufuli badala ya kumpa cheo , ampatie Koneksheni ya hela tu ili aendelee kuishi vile anavyotaka , kama alivyofundishwa na Wamarekani .

Chanzo : Global Tv online .

Toa maoni yako .
Jamaa ni geniouz arifikia mbal sana kama hiyo taarifa sio
2756823_JamiiForums-1851313687.gif
 
William Malecela ama Le Mutuz Nation , Super Brand , Nye Nye Nye , kama anavyofahamika mitaani , Amefunguka kwamba Aliwahi kuitwa na Rais wa zamani wa Tanzania , Dr Magufuli na kuambiwa achague cheo anachotaka , lakini alikataa.

Le Mutuz amedai kwamba Magufuli alikuwa Rafiki yake na walikuwa wanaongea mara kwa mara , anadai alimwambia Magufuli badala ya kumpa cheo , ampatie Koneksheni ya hela tu ili aendelee kuishi vile anavyotaka , kama alivyofundishwa na Wamarekani .

Chanzo : Global Tv online .

Toa maoni yako .
Hivi inawezekana Le Mutuz apewe kazi aikatae kweli? Aikataeje? Le Mutuz huyu chawa wa Makonda au mwingine? Acheni kututapeli jamani.
 
Hahaha! Eti linadai eti hadi FBI walilipa kazi likakataa? Jamaa liongo kweli.
 
William Malecela ama Le Mutuz Nation , Super Brand , Nye Nye Nye , kama anavyofahamika mitaani , Amefunguka kwamba Aliwahi kuitwa na Rais wa zamani wa Tanzania , Dr Magufuli na kuambiwa achague cheo anachotaka , lakini alikataa.

Le Mutuz amedai kwamba Magufuli alikuwa Rafiki yake na walikuwa wanaongea mara kwa mara , anadai alimwambia Magufuli badala ya kumpa cheo , ampatie Koneksheni ya hela tu ili aendelee kuishi vile anavyotaka , kama alivyofundishwa na Wamarekani .

Chanzo : Global Tv online .

Toa maoni yako .
BOMA YEE
Labda nafasi ya ukurugenzi wa unafiki na kujipendekeza kwa mabilionea na viongozi
 
sasa mobimba ni nani mpaka akate cheo cha mtu asiyepangiwa!!!!maana kwa maelezo yako hii ilikuwa ni amri.

au wenzetu akili zinaingia na kutoka!!!!

Hapangiwi kwa mantiki ya kwamba anaweza kufanya atakacho wakati atakao bila kufuata muongozo au ushauri toka kwa yeyote...

Ishu ya kupeana vyeo au madaraka mbona wakulungwa mnaishangaa, wakati awamu iliyopita ilitia fora kwenye kulambishana asali...
 
Wananchi wana matatizo mengi yanayohitaji kutatuliwa, kama wawakilishi wa CHADEMA mnaojiandaa kurudisha majimbo 2025. Jitahidi kujikita kwenye mambo ya msingi yanayohusu jamii. Haya maujinga ya Le Mutuz waachie ACT na CHAUMA. Yanawapunguzia CREDIT.
Jamaa yako anaona mada za siasa hamchangii so kaamua kuleta hizi ambazo anajua wengi mnapenda udaku!.

BOMAYEEE, FREE EDUCATION😅
 
Hivi inawezekana Le Mutuz apewe kazi aikatae kweli? Aikataeje? Le Mutuz huyu chawa wa Makonda au mwingine? Acheni kututapeli jamani.
Hapo Sasa, lemutuz huyu ambae ana Bajaj imechoka kwa siku anachukua hesabu 15k na huwa anaipeleka gereji mwenyewe. Leo akatae cheo chochote?? Maajabu
 
Lemutuz hapa umetupiga kamba. Ungekua na hizo level usingehangaika na kusubiri hesabu ya Bajaj yako kwa siku 15k. Tena ulivyo nuksi gereji unaipeleka mwenyewe humuamini kabisa dereva. Bajaj mpya imekusjinda kununua, umebaki na hiyo scraper kila siku unabadilisha madereva
 
William Malecela ama Le Mutuz Nation , Super Brand , Nye Nye Nye , kama anavyofahamika mitaani , Amefunguka kwamba Aliwahi kuitwa na Rais wa zamani wa Tanzania , Dr Magufuli na kuambiwa achague cheo anachotaka , lakini alikataa.

Le Mutuz amedai kwamba Magufuli alikuwa Rafiki yake na walikuwa wanaongea mara kwa mara , anadai alimwambia Magufuli badala ya kumpa cheo , ampatie Koneksheni ya hela tu ili aendelee kuishi vile anavyotaka , kama alivyofundishwa na Wamarekani .

Chanzo : Global Tv online .

Toa maoni yako .
"Kama alivofundishwa na wamarekani" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom