Le Mutuz: Magufuli alitaka kunipa uongozi lakini nilikataa

Le Mutuz: Magufuli alitaka kunipa uongozi lakini nilikataa

Wananchi wana matatizo mengi yanayohitaji kutatuliwa, kama wawakilishi wa CHADEMA mnaojiandaa kurudisha majimbo 2025. Jitahidi kujikita kwenye mambo ya msingi yanayohusu jamii. Haya maujinga ya Le Mutuz waachie ACT na CHAUMA. Yanawapunguzia CREDIT.
Hata Mahubiri ya kanisa au msikiti , sometimes yanakatishwa kupisha Kwaya au Kaswida
 
Watu wataanza kumbeza Le Mutuz lakini watasahau kutafakari maneno haya...

Huyu ni Le Mutuz kakataa cheo cha kupewa, je ni wangapi ambao vichwa moto na wamepewa vyeo ambavyo sasa wanavitumikia pasipo wito wowote...

Ndio maana ndege inaanguka na hakuna kiongozi anayeongelea uwepo wa unit ya uokozi zaidi ya kumtembeza Majaliwa kila kona...
Kwa hiyo ww unaamini magu alikuwa mpuuzo kiasi cha kumuamini le mutuz???
 
William Malecela ama Le Mutuz Nation , Super Brand , Nye Nye Nye , kama anavyofahamika mitaani , Amefunguka kwamba Aliwahi kuitwa na Rais wa zamani wa Tanzania , Dr Magufuli na kuambiwa achague cheo anachotaka , lakini alikataa.

Le Mutuz amedai kwamba Magufuli alikuwa Rafiki yake na walikuwa wanaongea mara kwa mara , anadai alimwambia Magufuli badala ya kumpa cheo , ampatie Koneksheni ya hela tu ili aendelee kuishi vile anavyotaka , kama alivyofundishwa na Wamarekani .

Chanzo : Global Tv online .

Toa maoni yako .
Kwa hiyo unataka Watanzania tuaeme nini
 
Maoni yangu ni kwamba, Le Mubenge ni mgonjwa
 
Basi sawa
728162CA-903E-4285-8CCB-D4E2A928611F.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom