Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,449
- 283,755
William Malecela ama Le Mutuz Nation , Super Brand , Nye Nye Nye , kama anavyofahamika mitaani , Amefunguka kwamba Aliwahi kuitwa na Rais wa zamani wa Tanzania , Dr Magufuli na kuambiwa achague cheo anachotaka , lakini alikataa.
Le Mutuz amedai kwamba Magufuli alikuwa Rafiki yake na walikuwa wanaongea mara kwa mara , anadai alimwambia Magufuli badala ya kumpa cheo , ampatie Koneksheni ya hela tu ili aendelee kuishi vile anavyotaka , kama alivyofundishwa na Wamarekani .
Chanzo : Global Tv online .
Toa maoni yako .