Le mutuz kwenye pozi

Le mutuz kwenye pozi

maatope

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
1,422
Reaction score
958
akiwa na mmojawapo ya wale wajinga 6,000 waliohudhuria party yake ya instagram, kitendo ambacho kilimpa uhakika kwa nini foreigners hawataki kuondoka bongo..ok basi saaaawa bana

lemutuz.jpg
 
Ngoja niseme sijaona kumbe nimeona kazi kweli
 
Kuna kaukweli furani nyuma ya pazia ndio mahana huyu huwa anamtaja sana mitandaoni
 
Mmmmmmmmmmmnh.......................mwambie ainame hapo kama ataweza sasa
 
Hawa ccm hawa hauchelewi ukasikia le mushuzi sorry le mutuz kapewa ukuu wa wilaya ya kinondoni
 
akiwa na mmojawapo ya wale wajinga 6,000 waliohudhuria party yake ya instagram, kitendo ambacho kilimpa uhakika kwa nini foreigners hawataki kuondoka bongo..ok basi saaaawa bana

View attachment 175498

Huyu jamaa anajichoresha sana, ukiangalia umri wake ba mambo anayoyafanya kisha pitia ka blog kake uone lugha ya kitoto anayotumia inatia kichefuchefu kisha anajiita king of all blogers in tz
 
Back
Top Bottom