Le mutuz kwenye pozi

Le mutuz kwenye pozi

Huyu ni demu wake au 'demu mwenzie' maana hilo pozi sio la kilirijali!
 
Huyu jamaa anajichoresha sana, ukiangalia umri wake ba mambo anayoyafanya kisha pitia ka blog kake uone lugha ya kitoto anayotumia inatia kichefuchefu kisha anajiita king of all blogers in tz
asubuhi hii nimekutana naye pale posta akanipita na ile noa yake nyeusi iliyoandikwa lemutuz nyuma, ameweka mziki kwa sauti kubwa hata kilomita moja umbali unausikia na amefungua madirisha, kwenye gari yuko pake yake. ukimwangalia usoni unaona mtu mzima kama anazeeka fulani hivi lakini mambo ni ya kitoto hakuna mfano. nimemdharau kupita maelezo.
 
Duh...nimeanza kuidharau JF...inamajungu kiasi hiki? Sasa picha mtu kakaa kwake au ofisini kweli ni za kudiscuss? Au cha mno nini kuhusu huyu jamaa...labda mi wa mkoani mshamba
 
Duh...nimeanza kuidharau JF...inamajungu kiasi hiki? Sasa picha mtu kakaa kwake au ofisini kweli ni za kudiscuss? Au cha mno nini kuhusu huyu jamaa...labda mi wa mkoani mshamba

Jiulize imefikaje huku! hivi unamfaham huyo jamaa?
 
Back
Top Bottom