William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
You are humbled you know ha ha ha ha ha.
- Hata publisher anasema haamini maana hajawahi kuona kila siku ninamuomba aongeze vingine, I am super humbled U know!
le Mutuz Superbrand
You are humbled you know ha ha ha ha ha.
Mkuu siku ukikutana na hawa mablack hutawaelewa hata kidogo
Mkuu siku ukikutana na hawa mablack hutawaelewa hata kidogo
Yani inasikitisha sana,mtoto anaonekana amepandikizwa chuki sana na mama,haya ndo madhara ya utengani mkuu,songa mbele.- Ok kama ni mtu uayefuatilia JF tthen unajua matusi yale ni ya Mama ambaye amekuwa akitukana hapa kwa muda mrefu sana, on a serious note yule mama ni wa kumuombea kwa Mungu kwa sababu niambie ni nani atamuajiri yule mtoto wakati matusi yapo kwa jina lake? huzuni sana
le Mutuz Superbrand
- Ok kama ni mtu uayefuatilia JF tthen unajua matusi yale ni ya Mama ambaye amekuwa akitukana hapa kwa muda mrefu sana, on a serious note yule mama ni wa kumuombea kwa Mungu kwa sababu niambie ni nani atamuajiri yule mtoto wakati matusi yapo kwa jina lake? huzuni sana
le Mutuz Superbrand
Una mawasiliano na wanao? Yaani yale ya baba na watoto?
Yani inasikitisha sana,mtoto anaonekana amepandikizwa chuki sana na mama,haya ndo madhara ya utengani mkuu,songa mbele.
- Ukisoma kitabu maelezo yote yapo very clear tafuta kitabu "MY AMERICAN EXPERIENCE"
le Mutuz Superbrand
So mchezo,unajua kuna baadhi ya wanawake wanaakili fupi,akili za kushikiwa ..anafanya kitu cha kipuuzi alafu anakuja kujutia baadae.- Mtoto hakupandikizwa Chuki hapana ni ujinga tu wa my ex, unajua ukiwa na chuki sana unakua huwezi kufikiri tena sawa sawa kwenye kulilia Divorce alidanganywa na wenzake by the time anakuja kugundua kua amekosea it was too late inahuzunisha sana ila sina la kumsaidia.
- Cha ajabu ni kwamba nilikua ninajaua toka mwanzo kwamba hajui analolifanya na baadaye atakuja kulia, leo miaka 7 baada ya na ameolewa lakini bado anahangaika na mimi, ananifuatilia kila mahali na ID za uongo mpaka inasikitisha sana.
le Mutuz Superbrand
So mchezo,unajua kuna baadhi ya wanawake wanaakili fupi,akili za kushikiwa ..anafanya kitu cha kipuuzi alafu anakuja kujutia baadae.
Fanya mpango mwanao umuweke karibu yako mkuu.
Sasa ujinga ambao alifanya anajutia huko aliko.- Mwanamke aliambiwa na alishauriwa na kila mtu kwamba anafanya makosa lakini akaamua kuwamaini marafiki zake wanaompoteza, Familia yake mwenyewe ilikaa chini na kumtaka arudi kwenye ndoa akawasikiliza wenzake, ndugu yangu sasa it is too late.
le Mutuz Superbrand
Siku hizi kwenye kile kiblog chake ukiwa kinyume naye tu anakublock, fala sana huyu.Le mubebez inspirational & destruction story. still the best personal life story at JF 2021
Sent using Jamii Forums mobile app
Le super mmbebez- Hata publisher anasema haamini maana hajawahi kuona kila siku ninamuomba aongeze vingine, I am super humbled U know!
le Mutuz Superbrand