Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Is it worth ku poison akili ya mtoto kwa baba ake hivi-yaani nimetoka goosebumps.Breakup ya marriage should never be this bitter
 
- Ok nilikua natoka Shuleni Saa Nne za usiiku, ninaenda kazi yangu ya USiku kwenye Jumba la Cinema la Co-op City/Bronx ninaingia kazini Saa Tano usiku, nikifika ninalala mpaka Movie ziishe katika ya Saa Saba, ninasafisha Ukumbi kwa lisaa Limoja au Mawili depending na uzuri wa Movie cause kuna siku ukumbi unakua msafi kwa kukosa waangaliaji wengi, Ninalala Kuanzia Saa Tisa naamka Saa Kumi na Moja na Nusu naingia kazini kuendesha Malori,

- Ninatoka kazini Saa Tisa mchana ninarudi nyumbani kulalaa, Saa Kumi na Mbili Jioni naingia Shuleni mpaka Saa Nne, hiyo ndio iliyokua routine ya maisha yangu kwa Miaka karibu 8, ndio maana mpaka leo siwezi kulala zaidi ya masaa 4 na ninaweza kulala mahali popote pale bila tatizo na saa yoyote ile, kwenye my story nimeandika niliyoyapitia tu so ni vigumu sana kwako kutafuta makosa cause hayapo ni maisha niliyoyaishi.

- Ningekua nimeandika uongo popote pale ungewaona Diaspora nilioishi nao USA wangeshajitokeza hapa au my ex, umeona kajaribu jaribu kakimbia!

Thanks.

le Mutuz
True hustler 👏 big up brother.Ila baada ya yote hayo hukustahili kuwa kibaraka wa mchoma mkaa wa Mbezi Luis Bashite
 
Nimejifunza kitu kuna jmaa yangu alikaa huko kwa trump yapata 10 yrs alikua anabukua!! sasa akawa ananipa story kuhusu blacks na tabia zao!! japo alikua anapata mazali ya bebez za kizungu kumpenda na nini!! nikamwambia jilipue kwa totoz moja ya kizungu..Lakini mwisho wa siku akaja kuoa zake tanzania!! na yupo zake huku.
Anasema Marekani atakua anaenda kutembea na sio kupiga job anasema na kodi ipo juu sana na pia alikua anamis sana vyakula vya asili huku, mbuzi choma, e.t.c !! anasema kama atafanya kazi ataenda nchi zingine.
Kumbe states Noma!! brazaa lemutuz hongera sana Umepigana sana na life ya kule!!
 
Hii issue ya AGAPEO mbona naona imezimwa kila sehemu kuanzia JF hadi kwa Mange post zimefutwa kama ZOTE.
Aisee walisema kuishi kwingi ni kuona kwingi. Yale matusi kumtukana baba mzazi ni kikomo cha uvumilivu. Lakini bado huwa nasisitiza. Internet ni sehemu inayoweza kumharibu mtu akabakia kama jivu isipotumiwa kwa uangalifu. Dogo anaonekana amekulia yale mazingira ya ki-black american 100%.
 
Nimejifunza kitu kuna jmaa yangu alikaa huko kwa trump yapata 10 yrs alikua anabukua!! sasa akawa ananipa story kuhusu blacks na tabia zao!! japo alikua anapata mazali ya bebez za kizungu kumpenda na nini!! nikamwambia jilipue kwa totoz moja ya kizungu..Lakini mwisho wa siku akaja kuoa zake tanzania!! na yupo zake huku.
Anasema Marekani atakua anaenda kutembea na sio kupiga job anasema na kodi ipo juu sana na pia alikua anamis sana vyakula vya asili huku, mbuzi choma, e.t.c !! anasema kama atafanya kazi ataenda nchi zingine.
Kumbe states Noma!! brazaa lemutuz hongera sana Umepigana sana na life ya kule!!

- Sasa tumeuza vitabu 900 wanasema ni record, na tunaendelea soon nategemea kwenda nje kuviuza zaidi.

le Mutuz Superbrand
 
I'm not fan of him(lemutuz) but ukiangalia vizuri ile comment ya Instagram inatia mashaka, kuna tatizo kwenye grammar ambapo mtoto aliyezaliwa na kukisoma tangu miaka ya mwanzo wa maisha yake kingereza hawezi kufanya.
Mkuu siku ukikutana na hawa mablack hutawaelewa hata kidogo
 
Back
Top Bottom