Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Unaitumia vibaya sana haki na uhuru wako wa kuwa mjinga..this crap you are writing ni ujinga ata kukujibu naona kinyaa..

Unazungumza eti nataman Malecela awe baba yangu..emu ona aibu na umsitiri baba yako..maana sion lolote la usifa au uzuri kunifanya niwe matamanio hayo..the way i see it baba yako historia hii itambuka kwa tiltle tu ya UWAZIRI MKUU..lakini we all know ukiachana na na U-PM alikuwa mburula aliyeotea nafas kulingana na mazingira ya uhaba wa wasomi na nia ya Mwl kuweka watu wa karibu ambao angeweza kuwa manipulate na kuwatumia to his advantage na baba yako was a perfect chambo!!

Swali la kaburi la mama yako..ndio sababu nitaendelea kukuita mjinga tu, na siku nyingine hii i.d THE LIST usikurukupe kuijibu kipwagu hivo..hakuna mahali duniani udongo unafanya tabia zinazoendana na theory ya utetezi ulioandika kasome SOIL PROFILE!! Eti ukae mwaka na unusu..puuzi kabisa

Na ni afadhali umekiri kuwa sasa umepata hela ya kujenga kaburi..na kuwa hii ina reflect logically kuwa by time MAMA YAKO ANAFARIKI ukiwa na miaka 50+ hukuwa na pesa ya kujenga!!! hahaha duh what a waste!! Inawezekanaje hii !!!

ishi umri wako mzee sio size ya kiatu yako..idiot!!
Aisee akil kubwa inakaribia kushindwa na akili nying
 
PART 36:- "MY AMERICAN EXPERIENCE" Hatimaye Msichana akaja kutoka Belgium alikokua anafanya kazi akakaa siku 10 ninakumbuka siku ya kuondoka kurudi Belgium alikua analia kwamba anataka kubaki I was like no mpaka tufunge Ndoa na baadaye kweli tulifunga Ndoa ambayo nilitumia pesa zangu kulipia Gharama zote za Harusi ilinifanya nipunguze kiasi kikubwa cha my Savings lakini sikujali cause nilijiambia harusi ni mara moja tu in life SIKUMCHANGISHA MTU hata senti moja mke alikua ameacha kazi yake ya Ubalozini Belgium akaja kua jobless kwangu ilimchukua Miaka 5 kufanikiwa kupata kazi tena katika hii Miaka 5 nilikua ninapigana kutunza mke na Watoto 2 peke yangu lakini maisha yalikwenda sawa...now nilikua nimejitenga sana na Wabongo ambao waliposikia nimeoa Mbongo walishitushwa sana tena the fact ya Mbongo wasiyemjua lakini mioyoni mwao walifurahi sana maana walijua kua mimi ni binadam mgumu sana kuingilika so watamtumia mke wangu I was very protective of my Wife katika Miaka 15 ya Ndoa nilikua namheshimu sana mke wangu that I NEVER CHEATED ...
ninarudia kwamba in 15 years of my marriage I NEVER CHEATED nilidhani kwamba mimi ni binadam mpungufu kama wengine wote lakini atleast nijikaze nisi cheat ili Mke wangu atakapokumbuka kua sijam cheat atanisamehe mapungufu yangu mengine ya Kibinadam cause hata mimi nilimuambia the same kua as long as hamna cheating from her nipo tayari kuishi na mapungufu yake yote mengine lakini sio Cheating ...halafu nilijiepusha kabisa kumuongelea negatively my wife so Wabongo wote walikua wanajua kua sikua na huo muda wa kumponda mke wangu kama wengine wengi walivyokua wanafanya unakuta mke anamponda mume na mume anamponda mke lakini then unawakuta pamoja ilikua inanishangaza sana ..now ndoa was great mtoto wa kwanza wa kiume na wa pili wa Kike then siku moja ikatokea the unthinkable mtihani mzito ambao sijausahau mpaka leo kwa sababu ndoa yangu ilikua ndio mfano kwa kila Mbongo pale New York nilikua nampenda sana my Wife cause I felt ndiye binadam pekee niliyenaye maishani mwangu na angalau NINAYEMUAMINI kidogo maisha yalikua yamenifundisha kutomuamini mtu furaha ya ndoa yangu nilijua ilikua ni maudhi sana kwa wengine ila sikujua...ITAENDELEA!
a7c20836eeaba6037d202b5330568a52.jpg
 
PART 37:- "MY AMERICAN EXPERIENCE" picha ya risiti niliyolipia harusi yangu Hotelini Villanova Hotel/New Rochelle nililipia USD 13,000 hahaha nimeikuta maktaba...Miaka 5 ya kuishi na mke na watoto 2 bila kazi ikaanza pole pole to take a toll on me kwa bahati kubwa Mke wangu akapata kazi Ubalozini sasa kikaja kivumbi cha kubadili Status yake ili ifanane na kazi anayoifanya Sheria ya USA ili ubadilishiwe Viza ni lazima utoke nje ya USA ndio urudi so akashauriwa aende Visiwa vya Bermuda siku hiyo nikatoka kazini mapema nikampelekea JFK Airport na mtoto wangu wa Miezi 3 wa kike mimi nikabaki na wa kiume wakaondoka Bermuda so uhakika ulikua watarudi kesho yake na ilipofika kesho yake zikaja Bad News kua walipokua wanarudi Uhamiaji hawakuridhishwa na makaratasi yao..BOOM wakamua kuwarudisha Tanzania kupitia South Africa kwa kizungu inaitwa DEPORTATION kwa Sheria za USA ukishafanyiwa hivyo huruhusiwi kurudi USA tena mpaka baada ya Miaka kuanzia 11 habari hizi zilinikuta nikiwa kwenye gari langu naendesha kurudi nyumbani kutoka kazini nilipigiwa simu na Ofisa wa Ubalozi wa Tanzania New York Marehemu Simba ndiye aliyenipa the Bad News ilinibidi ni park Gari pembeni furaha yote ya kusubiri mke wangu na mtoto wangu wa kike warudi nikawachukue Airport ikafa hapo hapo na nikaanza kufikiri ninafanya nini na mtoto wangu wa kiume nyumbani bila Mama yake lakini nikashukuru Mungu kua tulikua na House Girl kutoka Tanzania nikaendesha tena mpaka home..katika Maisha yangu nimekua nikipigana sana na Shetani ambaye huwa naamini ni yule yule mmoja anayebadili badili tu mbinu za kunishambulia hapa nikakumbuka kua kanirudia tena maana kwa muda mrefu alikua amenipa break ninaanzia wapi kupigana na hili tatizo jipya na la kutisha? ..nilipofika nyumbani nikamfahamisha House Girl kuhusu yaliyotokea nikamuomba sana awe mstaarabu na mtoto wangu wa kiume yule Msichana akaanza kulia bahati nzuri my son alikua Shuleni ingawa alikua mdogo sana nikamuomba sana House Girl asimuonyeshe kua kuna tatizo amepeleke kucheza as much as inapopatikana tu nafasi ili kumfanya asipate muda wa kumfikiria Mama yake na nikajaribu sana kuhakikisha siri ya hili tatizo haivuji kwa Wabongo I was wrong! ..ITAENDELEA
808f2108a474f5a0706d2f9a24f5ed69.jpg
 
PART 38:- "MY AMERICAN EXPERIENCE" Picha ya barua ya kwanza kutoka kwa Baba yangu nikiwa Baharia melini Belgium...nikawapigia simu wafanyakazi wenzake na mke wangu kuwaomba chonde chonde wasizitoe habari za mkasa ulionikumba kumbe ni kama nachochea mafuta kwenye kuni by kesho yake Asubuhi nikaanza kupata simu za pole Ohhh my God katika kupambana na Shetani in my life nilishajifunza mbinu zake zote za mashambulizi anapotaka kukukalisha chini Shetani ana Silaha moja kali sana kuliko zote ya kuwatumia watu wa pembeni here I was I facing the public hatred ya maisha yangu mazuri ya Ndoa ...Shambulizi la kwanza kubwa la Shetani uso kwa uso in my life lilianzia kwenye Vita ya Mama yangu mzazi na Mama yangu wa Kambo la pili siku moja nikiwa mdogo nilikamata kwa bahati mbaya Chuma cha Dirisha chenye waya wa Umeme nikarushwa na kujipiga chini waliokuwepo wote walidhani nimekufa nikaponea chupu chupu sana Aghakan then siku moja Jambazi akaniwekea Bastola kichwani Mwananyamala halafu mkasa wa Ericka New York now nimekutana tena na Shetani uso kwa uso na deportation of my wife na majuzi karudia tena na kale kavideo ...our House Girl alikua msichana mzuri na mkubwa nikaanza kujiuliza does it mean nitaishia na huyu House Girl? hahahaha...by siku ya Pili Wabongo wote pale New York walikua washajua habari kamili kua mke wangu na mtoto wamerudishwa Bongo uwezekano wa kurudi hakuna nikaiona furaha ya Wabongo live kabisa tena wala walikua hawafichi infact rafiki mmoja wa my wife ndiye aliyekua kinara wa kutangaza kwa furaha sana pia kuna rafiki mwingine wa mke wangu alikua likizo Bongo akaenda kwa jirani wa Mama wa mke wangu na kumfahamisha kua mke wangu kwa sheria za USA hatarudi tena yule jirani akamfikishia ujumbe Mama wa mke wangu kama ulivyo live I mean nimepigana sana na Shetani in my life lakini hili la mke wangu lilikua just too much to understand I tried and tried kuelewa jawabu likawa hakuna nikapiga simu nyumbani kuwafahamisha na kuwaomba waende Airport kumpokea cause nilifanikiwa kuongea naye akiwa South Africa Airport hatimaye wakanifahamisha kua amefika Bongo ila mtoto analia sana na huku kwangu nikawa nina pata taabu kumuangalia usoni mtoto wangu wa kiume.ITAENDELEA
a5c925dad981263a4d9ea375e936feb0.jpg
 
Nathibitisha hiyo ni STORY ya uongo ya huyo LEMUTUZ,, huwezi kuacha kazi na kuwa homeless,,,, jobless,, marekani.... Pili kaacha,, kazi hana hata senti kumi,, wakati alikuwa analipwa madola kibao KILA MWEZI.. .. Sasa,,, iweje..,,, anaingia marekani bila pesa,, na mlala nje.....
Hoja yako ina mashiko
 
PART 39:- "MY AMERICAN EXPERIENCE" kwa mara ya kwanza nilikubali kua Shetani ameniweza ilikua furaha kubwa sana kwa Wabongo mjanja kapatikana sikijua kua kumbe Miaka 5 ya mke wangu kuishi bila kazi na maisha mazuri iliwaumiza sana Wabongo na the worst ilikua kupata kazi nzuri Ubalozini wakati Wabongo wengi wanatunza Wazee na Matahira ilizidi kuwaumiza na sasa wamepata ahueni ya yaliyonikuta ilikua ni furaha hasa kila nilipopita nikikutana na Wabongo ilikua huzuni tupu maana I could tell kicheko cha kishetani usoni mwao...hatimaye nikafanikiwa kuongea na mke wangu nakumbuka kilio chake kwenye simu nilikua nampa moyo kuna atarudi asiwe na wasi wasi miyoni mwangu I felt guilty kwa sababu Wazazi wake walimpeleka Belgium ambako alikua anaishi na sasa nimemuhamishia USA yamemkuta haya so ni tatizo langu zaidi sio lao kwanza nikaanza kwa kumtumia pesa nikaomba kwa mara ya kwanza kuongea na Mama yake mzazi na yeye nikajikaza na kumwambia asiwe na wasi wasi akaniambia jirani ameshamwambia ukweli wote kua hakuna uwezekano kabisa kwa Sheria za USA nikakata simu ... my son alikua na tabia ya kusikiliza music mmoja huo huo hata mara 10 bila kuchoka nilikuepo music wake ukawa unapiga sana kelele nikaamua kuuzima ohh my God kwa mara ya kwanza akalipuka "Dad why did you turn off the music? WHERE IS MY MOM?" "WHERE IS MY MOM?" kwa mara ya kwanza machozi yalinitoka mbele yake nikamrudishia music wake akatulia ila ujumbe wake ulikua umefika Loud and Clear ...my son alipozaliwa Mama yake aliumwa so kazi ya kumtunza like miezi 3 ya kwanza ilikua yangu mpaka alipo pona nikaanza kumfundisha namna ya kum handle so nilijiamini kua ninamjua sana lakini hii siku alinishangaza kuliko maelezo yaani kumbe anajua kua Mama yake hayupo so kwa mara ya kwanza nikampigia Mama yake na kumpa aongee naye ilisaidia kidogo sana sasa zikaanza marathon za kupigana kumrudisha mama yake zikawa Front 2 kwangu na yeye from Bongo na at the time mke wangu alikua na Mjomba mwenye madaraka makubwa sana Wizara ya Nje lakini alipomfuata Mjomba alimtolea nje maana alishasikia habari nzima akamuambia hayo mambo yatamharibia kazi so mlango mmoja muhimu wa msaada ukawa umefungwa mapema sana!
a2c0700541624f7885842d915742515e.jpg
 
Swala la kumkosa mwanae kwa muda wa miaka thelathin think lilitosha kumvuruga Bibi yetu,j iulize,alibeba Mimba ya Le kokobanga Nye Nye,miezi Tisa ,akamlea mtoto peke yake,akampeleka shule,baadaye mtoto akamkimbia akenda kupanga chumba YMCA,baada ya hapo akamkimbia kabisa na usimuone 30 years,kwanini huyu mama asiuze kila kitu ukonga akarudi kulinda makaburi kwa kuamini kwamba mizimu ya Babu yake imechukia?Mama wa watu alifrastrate,alivurugwa kwa kumkosa mwanae na asijue kama alimkosea ama la.Kuna mama alikufa kwa shinikizo la damu baada ya mwanae kukataa kuoa.Hivi Le nye-nye ,ndo mtoto pekee wa huyu mama?

- Kasome tena mwanzo wa Story yangu nimelelewa na Balozi Lusinde akiwa Waziri wa Mawasiliano, rekebisha habari yako.

le Mutuz
 
Mkuu sikutaka kukoment hapa lakini mabandiko yako yamenifanya nicomment.

Lemutuz nimemfaham tangu 2007 nimeingia humu. He is an independent thinker. Hate him like him. He lives his life. Tumeanza naye humu tukiwa Jambo forums. He has evolved but never lost his spirit.

Umeongelea sana swala la mama yake. Umelaumu mpaka kuimagine kwamba kuna nati zimelegea kichwani. Bro. All I can tell you Mimi Le mutuz namuelewa sana. Tena sana. Because I have that experience. Unfortunately wengine sisi siyo Watu Wa mitandaoni. Lakini Kama ningekupa hata robo ya story yangu ungemuelewa mshua.

Mambo ya familia in very complex sana. Hivi kwa nini usijiulize kwa mtu aliyekuwa Ana access ya kwenda UK Kama anavyotwambia Le mutuz afike ile level ya kuishi Tunduma kwenye Yale maisha? Kama picha zinavyoonyesha? Shughulisha ubongo kaka. Iam sure kuna mengi hapa Le mutuz hajayaongea kwa staha ya familia na yeye mwenyewe. Lakini Kwangu Mimi I can bet kwamba there was something wrong within the family. Na jamaa ameongea several times..alikuwa nje anapambana Hana makaratasi? Atumie lugha gani tumuelewe? Nimeishi ughaibuni namuelewa.

Le mutuz is a gentleman. Kama umegundua hajawahi kumlaumu yeyote kwa failure au success ya maisha yake. To me this is the truest level of maturity. Wengi tunapenda kusingizia wengine kwa issue zetu. Ameavoid hicho kitu sana.

Mkuu Mfano mdogo.....(am sorry to write this but nataka atleast upate mwanga)..before I did anything in life.....even before I bought a plot of my own.......I spent more than 100+M kumjengea mzazi wangu nyumba. I mean proper house. Leo hii anaishi kwenye chumba cha kupanga .....kodi hardly 20k. My point is tuliopitia hizi changamoto za kifamilia tunamuelewa sana Lemutuz. Again humu wako wengi na experience mbali mbali. Juzi kati jamaa yangu kafiwa na mama yake Dar. Yeye yuko ughaibuni..alitwambia....nyinyi zikeni tuu. Alikataa kuja. Ofcourse kwa Watu wenye mawazo Kama wewe in rahisi kuanza blame game kwamba jamaa ana matatizo. Hamsaidii mzazi. Nk....In such situation...nitafanyaje? Will simply ignore you. Maana you don't know niliyoyapitia. Besides Nina hakika in wachache sana humu JF or Tz wameitumikia hard earned resources kuwatengenezea mazingira wazazi..I mean Kama kuwajengea nyumba za kisasa. Hata kabla hawajajiandalia maisha! I know kwa sababu Nina wengi Leo hii wanaweza kunilaumu but I know they have done nothing kuwasaidia wazazi wao as I did. Even before I had anything I call my own!

Ushauri wangu Kama bado una wazazi na unaelewana nao mshukuru Mungu sana. Wengi humu tumepambana lakini hao hao wazazi wametutenda than you will ever know.

Again, Le mutuz siyo mkamilifu. Ana mapungufu yake mengi Kama wengi wetu humu. Lakini hili swala la mzazi wake ningeshauri wasio na experience...lipotezeeni. I have been there and have many examples ya Watu ambao hata wazazi hawasalimiani. It pains a lot. Especially Watu Kama nyinyi msiojua hiki wala lile....you simply come here na blames. Familia zina mengi sana mkuu. Ukiona mtu Kama Le mutuz kuamua kuja open na story yake as he did.......jua he has seen it all. Amepitia tanuru la moto ambalo in wachache humu tungeweza.

Peace and respect bro!

- Unajua thanks a lot ingawa the fact that wananishambulia kuhusu Marehemu Mama yangu ni kwa sababu wamenishindwa mimi mwenyewe sasa wanatufuta soft touch ili wapige home run wamekwama, na again nisingefanya yote haya kama sio kuchafuliwa sana na my ex, ndio maana nikaamua kuweka record staright.

le Mutuz
 
Back
Top Bottom