Le mutuz atoa mbinu Jinsi ya kuwanasa mabebez

Ila kwa fujo ni noma kweli,wote triple c na g-unit walikuwa kwenye show moja,sasa wanavyotoka jamaa akawaacha mabaunsa wa kundi lake akaenda kuwazingua G-unit,50 cent ndo alinchukulia cheni,video ipo hata YouTube ila jamaa ni bangi mno

Bangi zinampelekesha,siku zake zinahesabika soon atafumuliwa ubongo.
 
huyu babu naskia ana boonge la kibamia sasa hao mabeebs wa ukweli anawatapanya vp?
 
Uknw nimekaa marekani miaka 25 hivyo wababiz wakarez najua jinsi ya kuwapata!
Uknw sikuhizi hata siwatongozi wananipigia simu na kunieleza shida zao uknw wananipenda hadi naunwa!

Watu wengi wananionea wivu masupergadem mbuluraz hawanipendi. .
hahahhaha I love it

Hahahaaaa
 
mm nimependa iyo point ya mwisho,sometym tunaita cross pande la shemeji....hahaha
 
Huyu Ndo mwakilishi jumuiya ya wazazi najuta kumpigia kura yangu

hahahaha uknw lembebiz measkron Mimi hiyo nafasi sikujipa nilipewa kwakuwa waliona nafaa na nilibembelezwa sana! nina itendea haki maana huwa natoa ushauri kwa vijana Uknw Mimi ni celebrity mkubwa bongo kwa hiyo lazima nifanye mambo mengi na siwezi kumlizisha kila mburulaz uknw..
Uknw madebe matupu wasio na shule ndio wanaona sifai lakini wana CCM wananikubali kweli na mabebiz wakarez superlemtindiz!
Uknw natengeneza pesa nyingi sema superwaswahiliz hawawezi kuelewa na nina degree tatu!

Uknw kama unasikia wivu do me a feva kufwa for me!
Hahahahahaha I like it
The King of all bongo social network
 
Last edited by a moderator:

Haha haaaaa, Ruttashobolwa wewe ni sheedah ujue?naona unamfuatilia sana Le Big Show hadi Le Tamkoooz lake jipya la KUFWA for me unalijua tayari.
 
Last edited by a moderator:
choice+1.jpg

Appreciated that and I keep my fingers x for ya! U know.

hahaha salute mkuu uknw huyu mbebiz superlemtindiz alikuja kuniomba ushauri lemarioz lake linampiga wakati analilisha!

Uknw Mimi nimemwambia alifukuze aachane nalo kama halijui thamani yake uknw lembebiz ni mkarez halafu marioz anampig mazafantaz mkubwa....

Uknw lembebiz baada ya ushauri wangu alitulia na nikamfuta machozi na nimemwambia asikubali kuwa na marioz ...uknw nampenda hadi naumwa
hahahahaha I love it
 
Eti huyu alikuwa mgombea UBUNGE WA AFRICA MASHARIKI.Angepata ingekuwa MAJANGA Matupu.
 
hahaha salute mkuu uknw huyu mbebiz superlemtindiz alikuja kuniomba ushauri lemarioz lake linampiga wakati analilisha!

Uknw Mimi nimemwambia alifukuze aachane nalo kama halijui thamani yake uknw lembebiz ni mkarez halafu marioz anampig mazafantaz mkubwa....

Uknw lembebiz baada ya ushauri wangu alitulia na nikamfuta machozi na nimemwambia asikubali kuwa na marioz ...uknw nampenda hadi naumwa
hahahahaha I love it

Ha haaa haaaa, ni wewe Ruttashobolwa hapa ama Le Mkalez amehack account yako?
 
Last edited by a moderator:
Uknw nimekaa marekani miaka 25 hivyo wababiz wakarez najua jinsi ya kuwapata!
Uknw sikuhizi hata siwatongozi wananipigia simu na kunieleza shida zao uknw wananipenda hadi naunwa!

Watu wengi wananionea wivu masupergadem mbuluraz hawanipendi. .
hahahhaha I love it

Super gademu
Mburulazz
Le mitindizzz
Wababizzz
Wakarezz
Unkw
Masupergadem,hahahahaha maneno haya mie mbavu sina...hii inanisababishia kila nikiona thread imuhusuyo huyu jamaa niifungue ili nipate kuongeza siku zakuishi,kha but angekuwa kidogo kiakili maana wadau humu wanasema yupo above 50.
 
Ne sheedah! Kwa gia hizi ndio maana ndoa nyingi za sasa hazidumu... Unategemea mtoto uliyempata kwa gia hii ukamlisha viazi na magimbi wakati ulishamzoesha baga akae?
 
nigga hatin cos they gotta no cash to attract them gals you know!.
1415596225095_wps_34_ADRIAN_BRONER_PROFESSIONA.jpg
 
hahaha salute mkuu uknw huyu mbebiz superlemtindiz alikuja kuniomba ushauri lemarioz lake linampiga wakati analilisha!

Uknw Mimi nimemwambia alifukuze aachane nalo kama halijui thamani yake uknw lembebiz ni mkarez halafu marioz anampig mazafantaz mkubwa....

Uknw lembebiz baada ya ushauri wangu alitulia na nikamfuta machozi na nimemwambia asikubali kuwa na marioz ...uknw nampenda hadi naumwa
hahahahaha I love it

This Dude the most useless person I have never seen in this world..Kubwa jinga hana akili mkuu huyu jamaa ni rafiki yako mpe ushauri hizo u know zake akija kushituka kumekucha
 
Back
Top Bottom