le mburalaz yupo sahihi,ila kwa umri wake hakutakiwa kuchambua mahusiano kwa muono huo wa ki-meterial stuff.kwa umri wake alitakiwa aje na mada inayozungumzia amani kwa wanandoa,namna baba na mama wanayoweza kushiriki ktk malezi bora ya watoto wao nk.
kwa kukazia tu hiyo point number 2 ya le mburulaz,Dj Khaled ktk video ya wimbo Hold You Down,hakutaka kupiga porojo nyingi,kuna maneno macheche anayazungumza mwishoni mwa wimbo,nitayaandika machache ambayo ndio sukari ya mademu wote duniani.
"say my name baby.....dj khaled....say my name baby....dj khaled...you're smart,you're loyal,you're greatful,i appreciate that....go by you're mamaz house(anatoa burungutu la dolali),go by your whole family house(anatoa burungutu la dolali),put this money in your savings account(anatoa burungutu la dolali),go spend some money for no reason(anatoa burungutu la dolali),come back and ask for more(anatoa burungutu la dolali).....chezea mkwanja wewe.
mcheki khaled hapa.
<font size="4"><span style="color:#000000;">