Le mutuz akijirusha na teenagers ndani ya after xul bash

Le mutuz akijirusha na teenagers ndani ya after xul bash

sabasita

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2009
Posts
1,501
Reaction score
393
eh you know...after xul bash

attachment.php
 

Attachments

  • le mutuz after school.jpg
    le mutuz after school.jpg
    24 KB · Views: 10,701
Duh.

Haya Mkuu timeona huyo jamaa alivyojichanganya vizuri kwenye kadamnasi.
 
Dah! How old is this dude.. Mbona kama anajidhalilisha sana? Anaonekana ni mtu mzima sana na hilo limwili-tembo lake.. Au jamaa ubongo una tobo kama handaki la mlimani city!

am interested with the bolded part, liko kwa maeneo gani hilo handaki?
 
HILI KUBWA JINGA NALO TAABU TU. bt tusimlaumu bali tuwalaumu uvccm.
 
Dah! How old is this dude.. Mbona kama anajidhalilisha sana? Anaonekana ni mtu mzima sana na hilo limwili-tembo lake.. Au jamaa ubongo una tobo kama handaki la mlimani city!
hahahaaaaaaaaa daa umeua mbaya mkuu..duuuuuuu
 
Hahaaaaaa nadhani ni mwili tu ndio mkubwa ila umri na akili bado vipo kwenye teenager
 
Back
Top Bottom