Le Mutuz ajiunga na Green Guard

Mimi nimefikiri ni nguruwe maana hilo tumbo haki ya nani la nguruwe ni dogo. Aisee apunguze kula huyo na starehe.
 
Nimepitia comments nimecheka mbavu zangu. Burudani tosha hii. Nadhani huu ni mwaka wake wa 54 au 55!!! Green guard haswa.
 
Yani anaelekea kuziiga zile style za hasimu wake mkubwa: Mbuta Nanga
 
hicho kitambi kimejaa minyoo yupu
 
Humu kuna mambo sana, yaani utacheka mpaka basi. Eti Le Mutuz.
Ova
 
hahaha,le mutuz kweli ni mfalme,haipiti siku hajaongelewa humu
 
Nasikia Shati lake ulikilichana kwa ustadi, unapata shuka futi 6*6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…