YOU r damn right-thanks for putting me in my place-god bless
Wewe sio mwanaume? Inakuwaje anakupromote mjini? I am surely me, and le mituz has not promoted me!
Wewe sio mwanaume? Inakuwaje anakupromote mjini? I am surely me, and le mituz has not promoted me!
Kimombo cha kibongo bwana! ze changanyas.
Hapa naona kuna misunderstanding ya lugha gongana. Well kama mutuz haja kupromote,maybe its because u is not worth itWewe sio mwanaume? Inakuwaje anakupromote mjini? I am surely me, and le mituz has not promoted me!
Unajua nguruwe pamoja na mwili mkubwa lakini kaubongo kake ni kadooogo sana kama goroli! Ndo le-mutuz
Huyu Jamaa tangu miaka hiyo atudanganye kwenye hii kitu:
https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/35559-tangazo-maalum-mradi-wa-kazi-majuu.html
Sina hamu na issue zake kabisa. Wengi pengine hamtakuwa mmezaliwa JF kipindi hicho. Aisee alitudanganya!!!
lol mbavu zangu mie.. naona watu mnamachungu na hizo dollar.. halafu enzi hizo ndio alikuwa mleta habari zote za umbea kuhusu CCM.. nashangaa eti siku hizi ni mtetezi wa CCM hapo ndipo huwa ninashindwa siasa...
Hapa ndo alikuwa ametoka kumaliza ile diploma ya "sheep engineering" aliyowahi kuandika kwenye C V nini!?