lazima uzimie

Bila kuifahamu Historia huwezi jua ulipo na wala hutajua wapi unaelekea.

Kwani mnapoisifia Yanga ni timu Kongwe huwa mnatumia General Studies, Geography, Kiswahili, English Language au nini?

Kufungwa kwa Yanga goli 5 kumeisaidia kitu gani Simba zaidi ya majivuno?
 
Labda huyo Simba awe amepitia Mabwepande vijana wa Magamba wakamuondoa vitafunio na vikamatio mikononi.

Hapo sawa kabisa nakubaliana na wewe akiwa hana kitafunio na kikamatio chake unaweza kumkaribisha mkakaa mkapiga story na kumueleza kuwa Yanga ipo imara japo aliifunga tano bila
 
Kufungwa kwa Yanga goli 5 kumeisaidia kitu gani Simba zaidi ya majivuno?
Ongeza na "ni furaha sana kumuona yule msukule wa Manji akilia uwanjani". Hahahahahahhaaaaaaaaaaaa
 
Hapo sawa kabisa nakubaliana na wewe akiwa hana kitafunio na kikamatio chake unaweza kumkaribisha mkakaa mkapiga story na kumueleza kuwa Yanga ipo imara japo aliifunga tano bila
Hahahahahahahahahaaaaaaaa
 
Kufungwa kwa Yanga goli 5 kumeisaidia kitu gani Simba zaidi ya majivuno?
Mkuu unasema kitu gani hicho wakati mashabiki na wapenzi wa Yanga mlikuwa mkiishi kama digidigi kutoka usiku kuingia mtaani usiku. HAHAHAHAHAHAHAHAHAHHAAAAAAAA
 
Mkuu unasema kitu gani hicho wakati mashabiki na wapenzi wa Yanga mlikuwa mkiishi kama digidigi kutoka usiku kuingia mtaani usiku. HAHAHAHAHAHAHAHAHAHHAAAAAAAA

Kufungwa mpirani n jambo la kawaida kaka...kuna timu zimeshawahi kufungwa magoli hadi 30
 
Kufungwa mpirani n jambo la kawaida kaka...kuna timu zimeshawahi kufungwa magoli hadi 30
Tatizo ungekubali hivyo toka mwanzo mjadala tungeshaufunga, lakini ukisema tumefaidika nini? Ndugu yangu kuna watu ujue hufariki kabisa kwa kufungwa kwa timu zao na wengine hucheza kamari huku mitaani hivyo zile goli tano kuna watu waliondoka Casino na mabulungutu ya pesa.

HAHAHAHAHAHAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Unamkaribisha tu then mnasoma wote novel. Sio kila saa wanakuwa na njaa.
Saa nyingine wanahitaji kusocialise tu.
He he he he he he he he he he he he he he he ...............................
mzee wa pori anaonekana kama visitor kaenda kwa jirani kumjulia hali..haaahaaaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…