lazima uzimie

lazima uzimie

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
309663_10151332872862482_357782239_n.jpg
 
hapo naomba sala zote na kuyakabidhi maisha kwa Muumba maana hapo hakuna usalama tena
Angalia silaha iliko
 
Kabla ya kuzimia atasumbua mamlaka ya maji taka na maji safi Dawasco kuja kunyonya maana atayajaza sio kidogo.
 
Unamkaribisha tu then mnasoma wote novel. Sio kila saa wanakuwa na njaa.
Saa nyingine wanahitaji kusocialise tu.
He he he he he he he he he he he he he he he ...............................
 
hekimatele kabla ya huo ukaribisho bado utakuwa hai au atakuwa ameshapata kijob hundred grafani11 hahahaha kweli kabisa hapo kila kitu kinatoka
 
Last edited by a moderator:
Ukiongea nae anasikia. Kama uamini soma kitabu cha Daniel uone alivyokaa nao kwenye den pale jamaa wote wakawa wametulia tuliiiii.

Daniel wa zamani hizo ilikuwa kwa mpango wa Mungu bana na mle ndani alipelekwa kusudi adhihirishe nguvu za Mungu kuwa licha ya wale simba kuwa na njaa bado Mungu aliweza kuwafunga vinywa hawakumdhuru Daniel. Hawa simba wa kidigital hata wawe wameshiba atakurarua na kukuacha hapo fisi waje wafaidi

Brake shoes zote zinakatika halafu upo Mlima Kitonga
Mkuu grafani11 ni balaa unachuka kitonga na brake zote zinakataa kama hujaingiza gari kule bondeni na hapo jamaa lazima zikatike kote kote
 
Last edited by a moderator:
Daniel wa zamani hizo ilikuwa kwa mpango wa Mungu bana na mle ndani alipelekwa kusudi adhihirishe nguvu za Mungu kuwa licha ya wale simba kuwa na njaa bado Mungu aliweza kuwafunga vinywa hawakumdhuru Daniel. Hawa simba wa kidigital hata wawe wameshiba atakurarua na kukuacha hapo fisi waje wafaidi

Mkuu grafani11 ni balaa unachuka kitonga na brake zote zinakataa kama hujaingiza gari kule bondeni na hapo jamaa lazima zikatike kote kote
Hekimatele anapolinganisha enzi za biblia takatifu na wakati huu bado sijampata. Mwambie ajaribu kuweka Simba na wanyama wengine wote asisahau hata mmoja kama ilivyokuwa bustani ya Eden aone kama utafiti wake ni sahihi.
 
Mkuu grafani11 ndo hapo ninaposhindwa kupata picha simba hawa wa kidigital akutane na wewe eti akuache salama unajiondokea tuu labda awe mgonjwa sana
 
Last edited by a moderator:
Hahahahah...hiyo ni historia tu!!!
Bila kuifahamu Historia huwezi jua ulipo na wala hutajua wapi unaelekea.

Kwani mnapoisifia Yanga ni timu Kongwe huwa mnatumia General Studies, Geography, Kiswahili, English Language au nini?
 
Mkuu grafani11 ndo hapo ninaposhindwa kupata picha simba hawa wa kidigital akutane na wewe eti akuache salama unajiondokea tuu labda awe mgonjwa sana
Labda huyo Simba awe amepitia Mabwepande vijana wa Magamba wakamuondoa vitafunio na vikamatio mikononi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom