englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Brake shoes zote zinakatika halafu upo Mlima Kitongahekimatele kabla ya huo ukaribisho bado utakuwa hai au atakuwa ameshapata kijob hundred grafani11 hahahaha kweli kabisa hapo kila kitu kinatoka
Brake shoes zote zinakatika halafu upo Mlima Kitonga
hekimatele kabla ya huo ukaribisho bado utakuwa hai au atakuwa ameshapata kijob hundred grafani11 hahahaha kweli kabisa hapo kila kitu kinatoka
Ukiongea nae anasikia. Kama uamini soma kitabu cha Daniel uone alivyokaa nao kwenye den pale jamaa wote wakawa wametulia tuliiiii.
Mkuu grafani11 ni balaa unachuka kitonga na brake zote zinakataa kama hujaingiza gari kule bondeni na hapo jamaa lazima zikatike kote koteBrake shoes zote zinakatika halafu upo Mlima Kitonga
Vyote viwili, lakini kibaya zaidi hicho cha kwanza.Unashuka au unapandisha?
Hapo ungeweka ndala.Shikamoo braza Simba...hivi ni lini utacheza na Yanga?
Hapo ungeweka ndala.
Hapa vipi? Hahahahahahahaaaaaaaaaa
Vyote viwili, lakini kibaya zaidi hicho cha kwanza.
Hekimatele anapolinganisha enzi za biblia takatifu na wakati huu bado sijampata. Mwambie ajaribu kuweka Simba na wanyama wengine wote asisahau hata mmoja kama ilivyokuwa bustani ya Eden aone kama utafiti wake ni sahihi.Daniel wa zamani hizo ilikuwa kwa mpango wa Mungu bana na mle ndani alipelekwa kusudi adhihirishe nguvu za Mungu kuwa licha ya wale simba kuwa na njaa bado Mungu aliweza kuwafunga vinywa hawakumdhuru Daniel. Hawa simba wa kidigital hata wawe wameshiba atakurarua na kukuacha hapo fisi waje wafaidi
Mkuu grafani11 ni balaa unachuka kitonga na brake zote zinakataa kama hujaingiza gari kule bondeni na hapo jamaa lazima zikatike kote kote
Hekimatele anapolinganisha enzi za biblia takatifu na wakati huu bado sijampata. Mwambie ajaribu kuweka Simba na wanyama wengine wote asisahau hata mmoja kama ilivyokuwa bustani ya Eden aone kama utafiti wake ni sahihi.
Bila kuifahamu Historia huwezi jua ulipo na wala hutajua wapi unaelekea.Hahahahah...hiyo ni historia tu!!!
Labda huyo Simba awe amepitia Mabwepande vijana wa Magamba wakamuondoa vitafunio na vikamatio mikononi.Mkuu grafani11 ndo hapo ninaposhindwa kupata picha simba hawa wa kidigital akutane na wewe eti akuache salama unajiondokea tuu labda awe mgonjwa sana