Lazima uwe mume -----..

Lazima uwe mume -----..

Hahahaaaaaa! Mi sio mkorofi ila sio mnyonge au nyonde nyonde!!!!!!!!! Tunaenda kwa haki na usawa tukiongozwa na Logic na grounds za msingi!!!!!!!

Ukinifanyia upuuzi you will see my true colours! My strength is in War na my weakness is in Peace!!!!!!!!! Ukinifanyia wema uliopitiliza unanikosehsa amani sanaaa, nakuwa najistukia sana, najiona mdogooo!
We utakuwa umezowea ugomvi au ni kati ya wale wanawake tunaowata MAJIKE DUME......... mnyonge kwenye amani..???!!!
 
na wewe kibendera fuata upepo kaa kimya.Kuna keng.. humu Jf mnajiona mpo juu sana.Pambav..

hebu kuwa mstaarabu kidogo. Kwa nini unatukana wenzako. Ukweli ni lazima usemwe. Rudia kusoma ulichoandika pale juu, halafu ujiulize ulikuwa na maana gani. Kama huna cha kuandika nyamaza kimya. Soma michango ya wenzako iliyoenda shule.
 
mnapenda wakupelekesha eeeh, na laiti wote wanawake tungekuwa kama lara 1.
 
Last edited by a moderator:
huyu yuko poa kabisa anahitaji hoja zenye nguvu tu
sasa ukiwa nae ndani kama hoja zako zimelala
lazima ashike usukani
 
hebu kuwa mstaarabu kidogo. Kwa nini unatukana wenzako. Ukweli ni lazima usemwe. Rudia kusoma ulichoandika pale juu, halafu ujiulize ulikuwa na maana gani. Kama huna cha kuandika nyamaza kimya. Soma michango ya wenzako iliyoenda shule.
Rudia kusoma ukishaelewa ndo uongee.Mbona wenzio wamechangia? Na wewe kama hauna cha kukomenti kaa kimya.
 
Nilitaka nisiongee lakini wacha niseme.
"
Kawaida mtu anaeongea sana hawezi kutenda!
 
Hongera sana hapo kwenye red. Sasa hao wanaume waliotaka kukutolea mahari walikuwa wana ku-onja-onja simultaneously au walitaka kukutolea mahari bila kuonja? Nataka tu kufahamu kuwa DSM ya leo bado wapo wanaume wanaotoa mahari kabla ya kugegeda.

Hahahahaaaaaaa! Kwanza yakupasa kufahamu kuwa Sex is not an obligation hata robo!!!! Sex is a recreational activity upo hapo? So kwa kulala na mwanaume you are not DOING HIM A FAVOUR au nini! Its just tu kwamba you are enjoying together baaaaaasss!!!!! SO NENO SAHIHI TUNAONJANA!!!!!!!!!!

Tena mimi ndo NILIWATUMIA WAO coz in the end sikusomeka!!!!! Niliwayeyusha baada ya kuwafaidi upo hapo!

Na hiyo mentality ya kuwa Sex ni kumzidi akili mwanamke futa kabisaa! Mimi nikilala na mtu sio kuwa kanizidi akili! Nooo its just nimejisikia tu! Isitoshe huondoki nayo! Its not a privillage au honour its just sex!!!!!!!!! Ila ukinioa kweli umenizidi akili sanaaaaaa!
 
Salaam wadau,
Sio siri kama mwanaume unajikuta unataka kuoa halafu unakutana na mwanamke kama Lara1 ili uishi nae muda mrefu lazima ukubali kuwa mume bweg- tu.Huyu dada ni mtata aisee ni mwenye misimamo isiyoyumba, kwa sisi wanaume wa kiafrika tuliozoea mfumo dume kidogo kwa wanawake wa type iyo ni kaazi kweli kweli.

mbele ya dushelele lazima lara 1 awe na nidhamu ya kufa mtu amweshimu mkunaji
 
Last edited by a moderator:
Nilitaka nisiongee lakini wacha niseme.
"
Kawaida mtu anaeongea sana hawezi kutenda!

Hahahaaaaaaaaaa! We jipe moyo tu! We jiulize JF nina miezi 6 tuuu, ila nimake mambo kibao yamehappen ikiwemo MMU exclusive! Ukiwa nyonde nyonde online hata kimaisha utakuwa hivo hivo!

Mimi jasiri sanaa! Na ni mzee wa kumake impossible zihappen!!!!! Kila kitengo nachokaa wananitegemea MASTER MIND wao!!!!!!!!!

Usinipimie kabisaaaaa! If im crazy enough to think it and say it, then im carazy enough to do it!
 
Wanawake wenye misimamo sio chaguo la wanaume wengi, labda kama huyo mwanamke ni kwa ajiri ya kumtumia kwa sehemu maalum. Mwanaume kazoea (hata akikosea) kueleweshwa kwa lugha nyepesi/laini. Hata asipokubali papo hapo, lakin baadae itamrudia na kukubali mke wake alikuwa sahihi zaidi yake. Lakin kutumia misimamo/lugha msisitizo kumkosoa mwanaume kunamfanya mwanaume asifikirie hata kidogo point uliyoongea bali aina ya lugha uliyotumia.
 
We utakuwa umezowea ugomvi au ni kati ya wale wanawake tunaowata MAJIKE DUME......... mnyonge kwenye amani..???!!!

Hahahaaaaaa! Mi ugomvi wangu ni wa kutumia kaili zaidi si muscles!!!!!!!! Ujue mimi NACHOKITAKA MIMI KUKIFANIKISHA I HAVE TO MAKE IT HAPPEN!!!!!!1 NO MATTER WHAT!!!!!!! Sasa mda mwengine ili ufanikishe ukitakacho inabidi Amani ipotee! So be it!!!!!!! Ila jambo langu kusimaa No!!!!!

Sasa my weakness nakuwa nimejiandaa na obstacles kukabiliana nazo, bt nikikuta tambarare, watu so supportive yaani naanza kufeel guilty kama im taking advantage of them!
 
Anavopenda starehe huyo...waligonga sana mashine,labda atwambie walitumia condoms!

Acha ushambaaaa! Sema tulipeana raha sio waligonga!!!! Sex ni haki yenu wanaume sio privillage au honour!!!!! CHILL OUT ITS JUST SEX!!!!!!!
 
Wanawake wenye misimamo sio chaguo la wanaume wengi, labda kama huyo mwanamke ni kwa ajiri ya kumtumia kwa sehemu maalum. Mwanaume kazoea (hata akikosea) kueleweshwa kwa lugha nyepesi/laini. Hata asipokubali papo hapo, lakin baadae itamrudia na kukubali mke wake alikuwa sahihi zaidi yake. Lakin kutumia misimamo/lugha msisitizo kumkosoa mwanaume kunamfanya mwanaume asifikirie hata kidogo point uliyoongea bali aina ya lugha uliyotumia.
Tumewaza pamoja.Ahs
 
ahahahah..mkuu umeua

hahahaha mkuu kwani hujaona akina mama majaji au mapolisi au walimu wakuu au mjeshi na wanakuwa wanoko balaa kwa mmewe anakuwa zezeta na kama kichapo anachezea kama kawa na manundu juu
 
Hii kitu bado inaendelea tu...kweli mmemuamulia lara 1
 
Back
Top Bottom