Lazima uwe mume -----..

Lazima uwe mume -----..

Acha uongo wewe. Waliozoea mfumo dume ni dunia nzima siyo waafrika. Jaribu kufanya utafiti kabla ya kuja na hitimisho la jumla. Anyways, najaribu kufundisha wanangu kufikiri kisomi na siyo kirejareja.
Salaam wadau,
Sio siri kama mwanaume unajikuta unataka kuoa halafu unakutana na mwanamke kama Lara1 ili uishi nae muda mrefu lazima ukubali kuwa mume ----- tu.Huyu dada ni mtata aisee ni mwenye misimamo isiyoyumba, kwa sisi wanaume wa kiafrika tuliozoea mfumo dume kidogo kwa wanawake wa type iyo ni kaazi kweli kweli.
 
Jamani mbona lara 1 alikuwa x gf wangu wakati tupo secondary na yupo kawaida tu?tatizo lake ni kununa tu akikerwa
 
Jamani mbona lara 1 alikuwa x gf wangu wakati tupo secondary na yupo kawaida tu?tatizo lake ni kununa tu akikerwa

Hahahahaaaaaaa! We utakuwa ulipata Lara 1 Fekeroooooooooo!!!!!!! Unless wewe ni............ No way!!!!!!! Haiwezi kuwa!
 
Lara 1 Tuataonana ktk white part utanikumbuka hapo ndio hutayaamini macho yako ha ha ha ha,
 
Acha uongo wewe. Waliozoea mfumo dume ni dunia nzima siyo waafrika. Jaribu kufanya utafiti kabla ya kuja na hitimisho la jumla. Anyways, najaribu kufundisha wanangu kufikiri kisomi na siyo kirejareja.
father umekurupuka,ni wapi nimesema wengine hawana mfumo dume?nimezungumzia only waafrika sababu wananihusu(am an african).
 
Hahahaaaaaa! I CANT BELIEVE UMENIANZISHIA THREAD!!!!!!!!!! You are Bananas!!!!!!!!!

Anyway mimi sio matata wala nini sema sipendi Kutokuwa na Msimamo, au Kuonewa! Mimi si Mchokozi asilani ila ukinianza lazima ni set example ili wengine wasinichukulie poa! Ukiniona Mpoleeee! Mkimya sina neno na mtu! NEBEEP SASA ndo utakaponipata KIDIGITALIII!!!!!!!!

Otherwise hata humu ndani hata siku moja huwezi kuta nimeingia thread ya mtu na kuanza kusema mbovu au kuponda! NEVERRRRRRRRRR!!!!!!! Kama vimeniboa natoka kimyakimya! I respect freedom of speech ya kila mtu! Na narespect conglomerate ya kila mtu!!!!!!!!

Na kwenye suala la wanaume nikiwa na uhusiano na mtu lazima awe najielewa! Sina roho ya kuvumilia upuuzi, kusamehe ujinga au kubembeleza bembeleza ufyorooo! Kama hatusomani baaaaaaaaaaaass! Kuna watu zaidi ya Billion duniani stress za nini? Plus Napenda free riding sanaaa! Ofcourse sometimes inakuwa kukosa ustahimilivu n all that ila bana IT JUST ISNT IN ME!!!!!!!! Huwezi nikuta Victm wa mtu katuuuu!!!!!!!!!

Pia sipendi mtu aniogope au awe mtumwa wangu, Nooooooooo! Hapa ni freedom tu! Afanye atakacho ila awe na grounds zenye logic! Na awe na msimamo na anajiongoza manake mimi naweza kujiongoza mwenyewe tu! Akinitegemea Jahazi litazama!

Naam....hii kweli super reply.....
 
I was born on late October!!!!!! I am a scorpion girl!
Yani upo sawa kabisa scorpion ndivyo tulivyo mwaya hujakosea ningekua nakuona lara ningekupa mkono sisi ni wavumilivu mno ila siku yakituchosha pana chimbika bila jembe mm ni nov
 
ahahahah!mkuu nipe iyo dawa bwana mwenzio yamenikuta uchumba tu balaa nafikiria iyo ndoa sijui itakuwaje

...mbane kisawasawa mwanamke kama Lara1 kunako '6 times 6' the way no man had ever done that to her! jeuri yote kwishaaa. always kwako atakuwa kama kifaranga kilichonyeshewa mvua ya el-nino. hata ukiwa unamkoromea she will be only weeping...ukisema umeniudhi, natoka zangu ku-clear mind ouside with my friends, she will grab ur feet with a lot of 'nisameee..'! wanawake type hiyo ni wazuri sana ukijua ku-play na minds zao! huna haja ya kufokezana nae au kumpiga makofi. ukifanya hivyo ni big mistake unafanya.
 
Hahahaaaaaaaaa! Pole mwaya, nakukabidhi mikoba uniwakilishe ofisini kwenu!!! LOL!

Hata ofisini kwetu Watu Wanamponda Kichizi Lara 1, Full kumpaka kama wanamjua! Hadi wadada nao wanapaka mbayaaa! hadi mimi napondaga nao ili wasinistukie!!!!!! Hahahaaaa! Basi utasikia Lara 1 keshapost nyie, kalianzishaaaa!!!!!! Watu ririrrrrrrrrrrrrr kwenye PC mi nawacheki tu! Wangejuaaaa! Lara 1 niko hapo hapo!

Wonders shall never end.. ngoja siku umesaau ko-logoff! itabiti uterminate contract..
 
Hahahaaaaaaaaaa!!!!!! Kwa taarifa yako nishataka kutolewa mahai mara 2 na watu 2 tofauti nikagoma! Bado umri unaniruhusu plus hao wanaume bora nilivowagomea manake mbona ningeumbukaaaa!

Kuliko niolewe niwe worse off kimaisha heri nibaki single ni keep my options open! USIFANYE MCHEZO NA KUMKABIDHI MTU MAISHA YAKO!!!!!!!!!!!! Sio kizembe kizembe hivi hivi! Maybe nikifika ma 30 au 40 hukooo labda perspective yangu ya kuona mambo itabadilika!

Early 20s zangu, best years of my life nikaspoil kwa mtu!!!!!!!! Thubutuuuuuuuuuuuuu!!!! I AM KEEPING IT REAL!!!!!!!!!!

Hongera sana hapo kwenye red. Sasa hao wanaume waliotaka kukutolea mahari walikuwa wana ku-onja-onja simultaneously au walitaka kukutolea mahari bila kuonja? Nataka tu kufahamu kuwa DSM ya leo bado wapo wanaume wanaotoa mahari kabla ya kugegeda.
 
Lara em niambie shepu yako ilivyo....nataka nikutengenezee ndoano
 
Hongera sana hapo kwenye red. Sasa hao wanaume waliotaka kukutolea mahari walikuwa wana ku-onja-onja simultaneously au walitaka kukutolea mahari bila kuonja? Nataka tu kufahamu kuwa DSM ya leo bado wapo wanaume wanaotoa mahari kabla ya kugegeda.

Anavopenda starehe huyo...waligonga sana mashine,labda atwambie walitumia condoms!
 
Njoo kwenye WHITE PARTY ya Gfsonwin NITAKUWEPO TELEEEEEE! In full white!!!!!!! Toa 20,000/= KEBBYS PALE acha ubahili wako wa kutaka picha!!!!!
Ni lini hiyo nije, hata mimi nina hamu ya kukuona Lara 1......nitamtoroka wife nimdanganye naenda msibani.....nipe tarehe mapema niuwe mtu siku mbili kabla...:becky:
 
Hahahahaaaaaaaaaa!!!!! We ishi utakavyo usiishi watu wategemeavyo!!!!!!!!!

Nauhakika waanume wengi sanaa watakuwa wanakufata bishaaaaaaaaa?????

Wanaume wanapenda challange hao na kuprove makubwa na magumu kwao vitu vidogoooo!

The more you make them feel stupid the more they want you!!!!!!!! Ili kuweka heshima!
na wananifata sio utani aisee, mpk wengine wanasema ntazeeka nikiwa single kwa misimamo ninayoisimamia mwanamke. unajua nimegundua nini kingine Lara 1 wengine wanataka kutest waone unajivunia nini na kipi kinakupa confidence, wananikomaje hapo sasaaaaaaaa!!!!!!!!!!! yani naenjoije kuwaenjoy mieee..... raha sana mdada ukijiamini na kujikubali
 
Salaam wadau,
Sio siri kama mwanaume unajikuta unataka kuoa halafu unakutana na mwanamke kama Lara1 ili uishi nae muda mrefu lazima ukubali kuwa mume ----- tu.Huyu dada ni mtata aisee ni mwenye misimamo isiyoyumba, kwa sisi wanaume wa kiafrika tuliozoea mfumo dume kidogo kwa wanawake wa type iyo ni kaazi kweli kweli.

ona huyu naye sijui ndo ameanzisha mada gani humu ndani. kama huna cha kuandika tulia kimya.

 
Back
Top Bottom