Lazima uwe mume -----..

Lazima uwe mume -----..

Watu kama nyie watamu sana kwenye kugongomeka

Huo mtizamo wako tu wa mambo!!!!!!!! Hauniongezei chochote wala kupunguza chochote!!!!!! Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji!
 
Unauliza jambo linalohitaji matendo halisi.Nitafute halafu tutarudi hapa na mabandiko ya juu ya kilichotokea.Nadhani unanielewa lara 1?

Kumbe hilo unalijua sasa shutuma tupu ulizorushia wanawake wa aina yangu ulitumia basis ipi kufika conclusion?
 
Huo mtizamo wako tu wa mambo!!!!!!!! Hauniongezei chochote wala kupunguza chochote!!!!!! Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji!

Hujui nakuongezea PM kwenye inbox yako! Mapedejee kibao wanakumendea
 
topic hapa ni kwamba wanawake wenye vitabia kama lara1 ili uweze kuishi nao muda mrefu lazima uwe bweg..Discuss

Ingawa sijui tabia haswa za lara 1 zaidi ya kusoma threads zake na baadhi ya posts, sidhani kama kuna lolote jipya ambalo anafanya au kafanya ambalo wanawake waliomtangulia hawajawahi kufanya....Kuna wanaume wa kaliba yake au kaliba ya character anayoipotray hapa jamvini.
Simba jike pamoja na mbwembwe zote zile lakini bado anapandwa na dume na ana familia, there's undenied power in our magic sticks na power hiyo humtuliza kila mwanamwali.

…Hakuna ujanja wa ndege mtukutu unaozidi mtego wa tundu bovu…
 
Last edited by a moderator:
Ingawa sijui tabia haswa za lara 1 zaidi ya kusoma threads zake na baadhi ya posts, sidhani kama kuna lolote jipya ambalo anafanya au kafanya ambalo wanawake waliomtangulia hawajawahi kufanya....Kuna wanaume wa kaliba yake au kaliba ya character anayoipotray hapa jamvini.
Simba jike pamoja na mbwembwe zote zile lakini bado anapandwa na dume na ana familia, there is power in our magic stick na power hiyo humtuliza kila mwanamwali.

…Hakuna ujanja wa ndege mtukutu unaozidi mtego wa tundu bovu…
ahahahahah..i like it.
 
Watu8 umemaliza mkuu!! hata mimi sidhani kama kuna lolote jipya kwa lara1 differ na wengine!! she just potrayed itself.
 
Mwenzenu ofisini wanajua mimi ndo lara1 kisa jina langu lina herufi LARA halafu tupo wawili na mimi niliajiriwa first so mimi huwa 1 na huyo mwenzangu 2....
 
Hahahaaaaaaaaaa!!!!!! Kwa taarifa yako nishataka kutolewa mahai mara 2 na watu 2 tofauti nikagoma! Bado umri unaniruhusu plus hao wanaume bora nilivowagomea manake mbona ningeumbukaaaa!

Kuliko niolewe niwe worse off kimaisha heri nibaki single ni keep my options open! USIFANYE MCHEZO NA KUMKABIDHI MTU MAISHA YAKO!!!!!!!!!!!! Sio kizembe kizembe hivi hivi! Maybe nikifika ma 30 au 40 hukooo labda perspective yangu ya kuona mambo itabadilika!

Early 20s zangu, best years of my life nikaspoil kwa mtu!!!!!!!! Thubutuuuuuuuuuuuuu!!!! I AM KEEPING IT REAL!!!!!!!!!!

Huyu dada nahisi ana over 25yrs,humu humu aliwaki kusema enzi zile yuko chuo anakwenda Morogoro ku spend akataja na maeneo kadhaa,tena ilikuwa ni thread ya mtu anatafuta sehemu nzuri ya kupumzika Moro,yeye akachangia so sio yuko early 20s.Pia huyu dada bado hajanasa kwa mwanaume anaemtaka then baadae anakuja gundua ahhh sie,chezea wakaka "SMART" wewe.....Hakuna siku atakayo kuudhi...we acha tu.....ok LARA 1 Itabidi nikutafute pia,private.
 
Hahahaaaaaa! Mi sio mkorofi ila sio mnyonge au nyonde nyonde!!!!!!!!! Tunaenda kwa haki na usawa tukiongozwa na Logic na grounds za msingi!!!!!!!

Ukinifanyia upuuzi you will see my true colours! My strength is in War na my weakness is in Peace!!!!!!!!! Ukinifanyia wema uliopitiliza unanikosehsa amani sanaaa, nakuwa najistukia sana, najiona mdogooo!

unanipa raha sana. Una misimamo kama yangu mpk men wengi wananiona pasua kichwa. Nkisoma comments zako nafurahi sana.
 
Huyu dada nahisi ana over 25yrs,humu humu aliwaki kusema enzi zile yuko chuo anakwenda Morogoro ku spend akataja na maeneo kadhaa,tena ilikuwa ni thread ya mtu anatafuta sehemu nzuri ya kupumzika Moro,yeye akachangia so sio yuko early 20s.Pia huyu dada bado hajanasa kwa mwanaume anaemtaka then baadae anakuja gundua ahhh sie,chezea wakaka "SMART" wewe.....Hakuna siku atakayo kuudhi...we acha tu.....ok LARA 1 Itabidi nikutafute pia,private.

Hahahaaaaaaaaaa! Kwa hio ukiwa umemaliza cho lazima uwe over 25!!!!!!! Huko kwenu sijui darasa la kwanza mnaanza na umri gani? Sisi darasa la kwanza tunaanza 5 Years piga hesabu hapo!!!!!! La 6 niliruka kwenda form 1. Sijarudia hata darasa moja! Unless unalo kadi langu la clinic!!!!!!! Huwezi jua wengine ma DR humu!
 
unanipa raha sana. Una misimamo kama yangu mpk men wengi wananiona pasua kichwa. Nkisoma comments zako nafurahi sana.

Hahahahaaaaaaaaaa!!!!! We ishi utakavyo usiishi watu wategemeavyo!!!!!!!!!

Nauhakika waanume wengi sanaa watakuwa wanakufata bishaaaaaaaaa?????

Wanaume wanapenda challange hao na kuprove makubwa na magumu kwao vitu vidogoooo!

The more you make them feel stupid the more they want you!!!!!!!! Ili kuweka heshima!
 
Mwenzenu ofisini wanajua mimi ndo lara1 kisa jina langu lina herufi LARA halafu tupo wawili na mimi niliajiriwa first so mimi huwa 1 na huyo mwenzangu 2....

Hahahaaaaaaaaa! Pole mwaya, nakukabidhi mikoba uniwakilishe ofisini kwenu!!! LOL!

Hata ofisini kwetu Watu Wanamponda Kichizi Lara 1, Full kumpaka kama wanamjua! Hadi wadada nao wanapaka mbayaaa! hadi mimi napondaga nao ili wasinistukie!!!!!! Hahahaaaa! Basi utasikia Lara 1 keshapost nyie, kalianzishaaaa!!!!!! Watu ririrrrrrrrrrrrrr kwenye PC mi nawacheki tu! Wangejuaaaa! Lara 1 niko hapo hapo!
 
Hahahaaaaaaaaaa!!!!!! Kwa taarifa yako nishataka kutolewa mahai mara 2 na watu 2 tofauti nikagoma! Bado umri unaniruhusu plus hao wanaume bora nilivowagomea manake mbona ningeumbukaaaa!

Kuliko niolewe niwe worse off kimaisha heri nibaki single ni keep my options open! USIFANYE MCHEZO NA KUMKABIDHI MTU MAISHA YAKO!!!!!!!!!!!! Sio kizembe kizembe hivi hivi! Maybe nikifika ma 30 au 40 hukooo labda perspective yangu ya kuona mambo itabadilika!

Early 20s zangu, best years of my life nikaspoil kwa mtu!!!!!!!! Thubutuuuuuuuuuuuuu!!!! I AM KEEPING IT REAL!!!!!!!!!!

Umesema yote mdogo wangu lara 1
Katika hilo neno lazima uamue kwelikweli tena bila kushuritishwa ati!
Unajitambua mamy
 
Back
Top Bottom