Lazima ucheke

Lazima ucheke

wapuuzi kumbe humu si haba
mkuu tuliza presha,ukiona huwezi kucheka piga push up 2550 kwa afya yako halafu jimwagie petroli then ujipige kiberiti.
 
Kwa hiyo ile katuni aliyoiweka ya mtu juu yake kumechorwa sink ndo yeye ana njaa sasa anaenda kula ile ki2?au?
 
Kwa hiyo ile katuni aliyoiweka ya mtu juu yake kumechorwa sink ndo yeye ana njaa sasa anaenda kula ile ki2?au?
dah kazimwaga thread nzima,utoto unamsumbua huyo jamaa
 
Machizi wapo humu eeee?haya ntapita baadae
nashangaa na wewe umeongeza idadi yao,halafu hii tabia ya mtu kusema ''anapita'' hairuhusiwi humu JF,huwezi kupita getini kuna mbwa wakali
 
dah yaani mi amfibia kabisa?
 
Hamjaamka bado?karibuni tunywe chai,haters wote nitawanunulia chai na busa
 
Nimeipenda hiyo,Jamaa kaamua kupiga freestyle akiwa na uhakika watu lazima wacheke..big up!!
 
Hili ndiyo tatizo la kuanza kuvuta BANGI ukubwani!!Utafikiri mmekimbia milembe bana?Sasa post za kinyesi maana yake nini Aaaaggh!!Na log-off!!
 
Back
Top Bottom