Lazima Lowassa ashitakiwe kwa Ufisadi!!

Lazima Lowassa ashitakiwe kwa Ufisadi!!

Mwadilifu alificha ukweli tangu 2008 leo anajigamba kwamba kwa ushahidi alionao hakuna wa kusalimika.? eti alipiga magoti kuomba kwa mungu...halafu akaficha ukweli !inashangaza ! any way nasikia shetani ndio baba wa uongo na yawezekana maombi yao yalitekwa na kujibiwa na shetani-baba wa uongo.
Sijui kama kuna mtu ameona uzito wa hili neno"Biblia inasema shetani ni baba wa uongo" naami nahisi maombi yao yalijibiwa na hiyo.
 
Lowassa lazima aende mahakamani
Hakuna ubishi
Huyu ni fisadi tena awamu hii lazima ashitakiwe
Na ndiyo msingi wa hoja,nami natamani ashitakiwe ili tujue Ufisadi Wake.Na nikushauri pia kuwa uje uwe mwaminifu kupitia hapa kumuomba radhi mh: Lowasa itakapothibitishwa kuwa yeye si Fisadi.Na mimi ni miongoni mwa waliokalilishwa kuwa Lowasa ni Fisadi,huku nikiwa Sina ushahidi maana hata Mwakyembe aliyetupatia Taarifa ile hakusema yote,hivyo kutufanya tuwe na Taarifa isiyokamilika.
 
Ataenda mahakamani kina Lissu na Kibatala watakapotoweka
 
Kiashiria cha udhaifu kwa binadamu wakati mwingine ni pale anaposhindwa kulifikisha mwisho jambo la muhimu analotakiwa kulikamilisha. Sisi kama taifa tumekuwa tunatangatanga na Jambo lililosababishwa na mtu mmoja tu na sisi kama taifa tumeshindwa kufikia mwisho wake.

Tarehe 7/2/2008 aliyekuwa Waziri wa Mkuu wa Tanzania wakati ule, Edward Ngoyai Lowassa alijiuzulu wadhifa wake baada ya kutuhumiwa kuingilia mchakato wa Zabuni ya Ufuaji Umeme iliyosababisha kuletwa kwa Kampuni ya Ufuaji Umeme ya Richmond nchini. Tangu kujiuzulu kwa Lowassa mpaka sasa imeshapita miaka zaidi ya 8 na miezi kadhaa, lakini bado suala la sakata la Richmond halijaisha

Mitambo iliyoletwa na Kampuni ya Richmond ambayo bado ipo Pale Pale ilipofungwa na Kampuni ya Richmond, imeshabadilishwa umiliki wake mara mbili. Imetoka kwa Richmond ikanunuliwa na Dowans na sasa inamilikiwa na Kampuni ya Symbion ya Marekani. Lakini sisi kama taifa tumeachwa pale pale tulipokuwa Mwaka 2008.

Kwa kuwa kuna Mahakama ya Mafisadi inaundwa na sisi kama taifa tunayumbishwa na suala la mtu mmoja tu, ambaye si kiongozi wa serikali kwa sasa, nashauri Kesi ya Kwanza kwenye Mahakama ya Mafisadi iwe ni hii ya "Ufisadi" wa Edward Ngoyai Lowassa kuhusu Ufisadi wa zabuni ya ufuaji umeme iliyosababisha Sakata la richmond.

Ni lazima Lowassa ashitakiwe ili kama yeye anao ushahidi tofauti na ule ambao wapinzani wake wanao aje nao mahakamani ili upimwe kwenye mizani ya kisheria tujue nani mkweli kati yake yeye na wapinzani wake.

Haiwezekani mitambo ile iliyoletwa na Kampuni (Feki?) ya Richmond bado ipo nchini mwetu, inafua umeme, Tannesco wanalipa Capacity charges tanesco wanauziwa umeme kutokana na mitambo ile ile iliyokuwa ya Richmond, mkataba ule ule wa kati ya Richmond na Tannesco ndiyo umekuwa ukihuhishwa na Dowans na sasa Symbion, lakini sisi kama taifa bado tunakumbushana mambo ya mwaka 2008.

Kuukata Mzizi wa fitina ni lazima Lowassa na kama wapo na wengine waliohusika na sakata la Richmond wafikishwe kwenye Mahakama ya mafisadi mara tu Mahakama hiyo itakapoanza kazi. Tunataka Kesi ya kwanza kwenye mahakama hiyo iwe dhidi ya Lowassa na wenzake waliohusika na suala la Richmond.

KESI YA LOWASSA ISIPOKUWA YA KWANZA KWENYE MAHAKAMA YA MAFISADI NITASHANGAA KWELI KWELI!!

NA KWELI UJIANDAE KUSHANGAA
 
Ama kweli mti wenye matunda ndio unaopopolewa. Utamuona mzima mkamilifu, nyumbani anaitwa "baba" japo wa kusingiziwa ,mapovu ya mdomo yanamtoka kwa kubwabwaja jambo lisilo na kichwa wala miguu.

Hulka ya "rangi ya kijani".Tusishangae na bado yatasemwa na kubezwa mengi.Ila tukumbuke tu kelele za mlango hazimfanyi mwenye nyumba kulala
 
Jamani hii miemuko ya ugeni wa siasa ndio inatukurupua na kutema mapovu dizain ya sabuni ya omo mitandaoni, ebu tutulize fikra zetu kabla hatujajishusha kiweledi kwa jamii kupitia mitandao......Sakata la Richmond kupitia tume ya Mwakyembe ilimtaka lowassa kujiudhuru kwa uwajibikaji wa cheo chake (collective ministerial responspility) na mbele ya bunge ikisomwa na mwakyembe mwenyewe lowassa akaombwa kwa heshima kukaa pembeni japokuwa kamati haijaona Hatia yake........Sasa leo mtu aseme lowassa ashitakiwe utatafuta ugomvi na wakuu wa nchi tuu maana huyu MTU alijiuzulu kumlinda mkuu na usahau kushitakiwa lowassa maana alishaomba mwenyewe ashitakiwe ila ikapigwa kimya na wakafungwa akina Yona tuu.......JAMANI MIEMKO ISITAWALE FIKRA ZETU
 
Naunga mkono hoja ila hofu yangu utaishia kutafutwa wewe ulietoa hili wazo maana umeigusa Ikulu, bora tupige kimya tuu amani tuwe nayo
 
Kiashiria cha udhaifu kwa binadamu wakati mwingine ni pale anaposhindwa kulifikisha mwisho jambo la muhimu analotakiwa kulikamilisha. Sisi kama taifa tumekuwa tunatangatanga na Jambo lililosababishwa na mtu mmoja tu na sisi kama taifa tumeshindwa kufikia mwisho wake.

Tarehe 7/2/2008 aliyekuwa Waziri wa Mkuu wa Tanzania wakati ule, Edward Ngoyai Lowassa alijiuzulu wadhifa wake baada ya kutuhumiwa kuingilia mchakato wa Zabuni ya Ufuaji Umeme iliyosababisha kuletwa kwa Kampuni ya Ufuaji Umeme ya Richmond nchini. Tangu kujiuzulu kwa Lowassa mpaka sasa imeshapita miaka zaidi ya 8 na miezi kadhaa, lakini bado suala la sakata la Richmond halijaisha

Mitambo iliyoletwa na Kampuni ya Richmond ambayo bado ipo Pale Pale ilipofungwa na Kampuni ya Richmond, imeshabadilishwa umiliki wake mara mbili. Imetoka kwa Richmond ikanunuliwa na Dowans na sasa inamilikiwa na Kampuni ya Symbion ya Marekani. Lakini sisi kama taifa tumeachwa pale pale tulipokuwa Mwaka 2008.

Kwa kuwa kuna Mahakama ya Mafisadi inaundwa na sisi kama taifa tunayumbishwa na suala la mtu mmoja tu, ambaye si kiongozi wa serikali kwa sasa, nashauri Kesi ya Kwanza kwenye Mahakama ya Mafisadi iwe ni hii ya "Ufisadi" wa Edward Ngoyai Lowassa kuhusu Ufisadi wa zabuni ya ufuaji umeme iliyosababisha Sakata la richmond.

Ni lazima Lowassa ashitakiwe ili kama yeye anao ushahidi tofauti na ule ambao wapinzani wake wanao aje nao mahakamani ili upimwe kwenye mizani ya kisheria tujue nani mkweli kati yake yeye na wapinzani wake.

Haiwezekani mitambo ile iliyoletwa na Kampuni (Feki?) ya Richmond bado ipo nchini mwetu, inafua umeme, Tannesco wanalipa Capacity charges tanesco wanauziwa umeme kutokana na mitambo ile ile iliyokuwa ya Richmond, mkataba ule ule wa kati ya Richmond na Tannesco ndiyo umekuwa ukihuhishwa na Dowans na sasa Symbion, lakini sisi kama taifa bado tunakumbushana mambo ya mwaka 2008.

Kuukata Mzizi wa fitina ni lazima Lowassa na kama wapo na wengine waliohusika na sakata la Richmond wafikishwe kwenye Mahakama ya mafisadi mara tu Mahakama hiyo itakapoanza kazi. Tunataka Kesi ya kwanza kwenye mahakama hiyo iwe dhidi ya Lowassa na wenzake waliohusika na suala la Richmond.

KESI YA LOWASSA ISIPOKUWA YA KWANZA KWENYE MAHAKAMA YA MAFISADI NITASHANGAA KWELI KWELI!!
mchumia tumbo kaja taja na wengine kwani ni yeye fisadi tanzania nzima.ndo mana yesu alisema kwa asie na dhambi awe wa kwanza kumpiga huyu mwanamke jiwe.Ufisadi unauona wa lowasa tu ?
 
Na ndiyo msingi wa hoja,nami natamani ashitakiwe ili tujue Ufisadi Wake.Na nikushauri pia kuwa uje uwe mwaminifu kupitia hapa kumuomba radhi mh: Lowasa itakapothibitishwa kuwa yeye si Fisadi.Na mimi ni miongoni mwa waliokalilishwa kuwa Lowasa ni Fisadi,huku nikiwa Sina ushahidi maana hata Mwakyembe aliyetupatia Taarifa ile hakusema yote,hivyo kutufanya tuwe na Taarifa isiyokamilika.

Hata sikumoja mimi sili matapishi yangu au kuwa Mnafiki kama huyu

CHADEMA Okoa Tanzania Dhidi ya Janga Lowassa Richmond
 
mnasubiri nini kumshtaki, mnabwabwaja tu, alishasema mpelekeni mahakani, mnabaki kubwabwaja, kwani mahakama ziko china, si hapa hapa tz
 
Lowasa hakuhusika na richmond na ndio maana mpaka leo hawawezi kumpeleka mahakamani. Waziri mkuu hahusiki na mikataba, waiohusika na mikataba ile ilikuwa ni waziri wa nishati na katibu mkuu wake, mh Msabaha. Hata kwenye negotiation team (kupatanisha bei) Lowasa hakuwepo. Lkn pamoja na kwamba hakuhusika huko kote, bado kama waziri mkuu aliona madhaifu akaandika barua kwa kikwete kumtaka/kumuomba wasitishe mkataba na richmond. Lkn Kikwete akasema 'nimeshauriwa na katibu mkuu wa nishati, na waziri wa nishati kwamba niwaache richmond waendelee hivo sitavunja mkataba nao. Lowasa alipowageukia waziri na katibu mkuu nao wakamjibu 'tumepigiwa simu na kikwete amesema richmond iendelee. Sasa ulitaka Lowasa afanye nini? Utetezi huo wa Lowasa ninao kwenye video alipokuwa anahojiwa na Tido mhando Azam tv.
 
Hayo maneno tu hatakwenye kanga yapo ujaanza kusema wew hayo maneno ya UFISADI
 
Lazima apelekwe mahakamani Lowasa huo ndio uzalendo wetu. Kukimbilia kwa CDM bado hakumuondolei kushitakiwa
 
Kiashiria cha udhaifu kwa binadamu wakati mwingine ni pale anaposhindwa kulifikisha mwisho jambo la muhimu analotakiwa kulikamilisha. Sisi kama taifa tumekuwa tunatangatanga na Jambo lililosababishwa na mtu mmoja tu na sisi kama taifa tumeshindwa kufikia mwisho wake.

Tarehe 7/2/2008 aliyekuwa Waziri wa Mkuu wa Tanzania wakati ule, Edward Ngoyai Lowassa alijiuzulu wadhifa wake baada ya kutuhumiwa kuingilia mchakato wa Zabuni ya Ufuaji Umeme iliyosababisha kuletwa kwa Kampuni ya Ufuaji Umeme ya Richmond nchini. Tangu kujiuzulu kwa Lowassa mpaka sasa imeshapita miaka zaidi ya 8 na miezi kadhaa, lakini bado suala la sakata la Richmond halijaisha

Mitambo iliyoletwa na Kampuni ya Richmond ambayo bado ipo Pale Pale ilipofungwa na Kampuni ya Richmond, imeshabadilishwa umiliki wake mara mbili. Imetoka kwa Richmond ikanunuliwa na Dowans na sasa inamilikiwa na Kampuni ya Symbion ya Marekani. Lakini sisi kama taifa tumeachwa pale pale tulipokuwa Mwaka 2008.

Kwa kuwa kuna Mahakama ya Mafisadi inaundwa na sisi kama taifa tunayumbishwa na suala la mtu mmoja tu, ambaye si kiongozi wa serikali kwa sasa, nashauri Kesi ya Kwanza kwenye Mahakama ya Mafisadi iwe ni hii ya "Ufisadi" wa Edward Ngoyai Lowassa kuhusu Ufisadi wa zabuni ya ufuaji umeme iliyosababisha Sakata la richmond.

Ni lazima Lowassa ashitakiwe ili kama yeye anao ushahidi tofauti na ule ambao wapinzani wake wanao aje nao mahakamani ili upimwe kwenye mizani ya kisheria tujue nani mkweli kati yake yeye na wapinzani wake.

Haiwezekani mitambo ile iliyoletwa na Kampuni (Feki?) ya Richmond bado ipo nchini mwetu, inafua umeme, Tannesco wanalipa Capacity charges tanesco wanauziwa umeme kutokana na mitambo ile ile iliyokuwa ya Richmond, mkataba ule ule wa kati ya Richmond na Tannesco ndiyo umekuwa ukihuhishwa na Dowans na sasa Symbion, lakini sisi kama taifa bado tunakumbushana mambo ya mwaka 2008.

Kuukata Mzizi wa fitina ni lazima Lowassa na kama wapo na wengine waliohusika na sakata la Richmond wafikishwe kwenye Mahakama ya mafisadi mara tu Mahakama hiyo itakapoanza kazi. Tunataka Kesi ya kwanza kwenye mahakama hiyo iwe dhidi ya Lowassa na wenzake waliohusika na suala la Richmond.

KESI YA LOWASSA ISIPOKUWA YA KWANZA KWENYE MAHAKAMA YA MAFISADI NITASHANGAA KWELI KWELI!!
Vipi kuhusu Lugumi
 
Lowasa hakuhusika na richmond na ndio maana mpaka leo hawawezi kumpeleka mahakamani. Waziri mkuu hahusiki na mikataba, waiohusika na mikataba ile ilikuwa ni waziri wa nishati na katibu mkuu wake, mh Msabaha. Hata kwenye negotiation team (kupatanisha bei) Lowasa hakuwepo. Lkn pamoja na kwamba hakuhusika huko kote, bado kama waziri mkuu aliona madhaifu akaandika barua kwa kikwete kumtaka/kumuomba wasitishe mkataba na richmond. Lkn Kikwete akasema 'nimeshauriwa na katibu mkuu wa nishati, na waziri wa nishati kwamba niwaache richmond waendelee hivo sitavunja mkataba nao. Lowasa alipowageukia waziri na katibu mkuu nao wakamjibu 'tumepigiwa simu na kikwete amesema richmond iendelee. Sasa ulitaka Lowasa afanye nini? Utetezi huo wa Lowasa ninao kwenye video alipokuwa anahojiwa na Tido mhando Azam tv.
Alitakiwa ajiuzuru hapo hapo alipokinzana na Rais ama secretaliat uliyoitaja, akiwa yeye ndiye mwenye dhamana ya Serikali Bungeni.

Hakutakiwa kusubiri kamati ya Mwakyembe na kuingiza nchi gharama zingine za kuhudumia kamati. Ashitakiwe akajitetee Huko huko Mahakani na yupp Tundulisu mlopokaji atamtetea
 
Back
Top Bottom