Lazaro Nyarandu ni naibu waziri na mbunge makini

kilombero yetu

JF-Expert Member
May 6, 2011
1,004
116
Huyu jamaa ukimuangalia ana haraka waweza sema anamapozi

Lakini fikisha hoja yako yenye maslahi na taifa uone atakavyo ifatilia.
Kampeni yake ya kupinga ujangili hakika ni ya dhati na ya kuunga mkono.
Songa mbele Nyarandu
 
umechelewa kujua tu...mbona viongozi wote wa ccm ni makini,hasahasa wassira.....
 
Yes baadh si makini bt nyarandu kwa hekima busara na kuyaendea mambo kiungwana
Anastahili pongezi zaid
 
Siyo January Makamba tena??? Basi ccm viongozi/wabunge wote akiwemo Nchemba, Lusinde, Komba n.k ni viongozi makini sana.
 
Huyu jamaa ukimuangalia ana haraka waweza sema anamapozi

Lakini fikisha hoja yako yenye maslahi na taifa uone atakavyo ifatilia.
Kampeni yake ya kupinga ujangili hakika ni ya dhati na ya kuunga mkono.
Songa mbele Nyarandu

naona unajipigia promo wabunge wa siku hizi wanapenda sana sifa
 
Huyu jamaa ukimuangalia ana haraka waweza sema anamapozi

Lakini fikisha hoja yako yenye maslahi na taifa uone atakavyo ifatilia.
Kampeni yake ya kupinga ujangili hakika ni ya dhati na ya kuunga mkono.
Songa mbele Nyarandu

Hamchelei kutuambia naye anafaa kuwa raisi ajaye!
 
Huyu jamaa ukimuangalia ana haraka waweza sema anamapozi

Lakini fikisha hoja yako yenye maslahi na taifa uone atakavyo ifatilia.
Kampeni yake ya kupinga ujangili hakika ni ya dhati na ya kuunga mkono.
Songa mbele Nyarandu
How much money Lazaro offered you to do his dirt job? Is he from CCM? wote ni du du moja, "MAFISADI"
 
MiCCM mlivyo mijinga kwa sifa hizi chache za kijinga kesho tutaambiwa anagombea urais. Si kakutuma kupima upepo.

Kwa hiyo mnaye Savimbi, January, Magufuli, Sitta, Joka la Mdimu na Babu mgonjwa mamvi bila kumsahau wa Gombe.
 
Huyu jamaa ukimuangalia ana haraka waweza sema anamapozi

Lakini fikisha hoja yako yenye maslahi na taifa uone atakavyo ifatilia.
Kampeni yake ya kupinga ujangili hakika ni ya dhati na ya kuunga mkono.
Songa mbele Nyarandu

Usisahau kwamba Lusinde na Cpt Komba ni wazuri zaidi na hawana mapozi
 
nikweri kabisa huyu jamaa hana usiasa kama magufuli. mimi mwenyewe nampenda sana kati ya manaibu waziri wa hapa tz huyu namkubali sana.
 
Anza kuwa makini kwanza kwa kurekebisha jina lake
Nyalandu na sio Nyarandu.
 
Ameshaacha kugonganisha magari?

Ule ulikuwa ujana siku hizi amekua! Mambo ya kuendesha magari Nyalandu kaanza zamani sana, mwaka 1992 Nyalandu akiwa rais wa UKWATA (Tanzania) na mwanafunzi wa kidato cha sita Ilboru ofisi yake ilikuwa inajaa visitors kila kukicha ambapo wasichana (wanafunzi kutoka shule mbalimbali Arusha na Moshi) ni over 98%. Kile kitendo cha kutembelewa na mabinti daily kilikuwa kinamwingizaga Nyalandu kwenye mgogoro wa mara kwa mara na Second Master wa Ilboru wa wakati huo bw. Medukenya. Lakini pamoja na hayo Lazaro Nyalandu alikuwa kiongozi mzuri wa kiroho na mtu mwungwana sana. Kiujumla namkubali huyu jamaa.
 
Back
Top Bottom