Lazaro Nyalandu: USA inataka niwe rais wa Tanzania 2015

Kumteua Nyalandu kuwa waziri wa maliasili na utalii ni sawa na kumkabidhi jangili akulindie hifadhi ya Taifa!!! Hakuna Tembo tena na mkweree hajali kwani hawathamini wajukuu zake yeye atakuwa ameisha yoyoma!!!
 
kuapishwa-4.jpg

Huyu naye juzi kwenye "party" aliyoifanya pale kwake usiku aliamua kueleza wazi kwa watu wake kuwa serikali ya USA imempitisha kuwa ndiye aje kuwa rais wa TZ 2015

Sasa kama mjuavyo mheshimiwa pesa anayo lakini je hiii kutuambia kuwa serikali ya USA inamtaka aje kuwa rais wetu inaingia akilini kweli?

Kumbe zile tripu zake za kwenda "kula DINA" kwa balozi usiku ni za ku lobi apitishwe na serikali ya Jaluo awe rais wetu?

sasa je mmejiandaa vipi wana JF na "RAIS" Lazaro Nyalandu? Je kati ya Membe, Lowasa na Nyalandu nani anafaa zaidi?
Nina shaka kama kasema hivyo! Kama ni kweli ni dhahiri hafai kua rais wetu, labda aende marekani wakampe urais huko kama wanampenda. Hata obama asili yake si jaluo?
 
If this country is cursed.... Please God forgive us!
'''The presidential post has become like drama every person in Tanzania feel like he/she can be a president''' God forgive us.
May you God tune our minds to be like minds of a Normal person.
 
kikwete kaharibu sana hii nchi leo kila mtu anataka kuwa rais

Katika miaka kumi ya urais wa Kikwete kumekuwepo na wimbi la watu kila mmoja wao akidhania kuwa anaweza kuukwaa urais wa nchi hii yote hiyo ni kwasababu wanaona kama mtu kama Kikwete ameweza kuwa rais kwanini wao pia wasiweze?

Sio urais tu bali katika miaka hii kumi pia kumekuwepo na wimbi la watu kofoji vyeti vya bandia kuhusu elimu yao. Kikwete alipotunukiwa shahada ya heshima ya DOCTORATE kila mwanasiasa nae siku hizi anaitwa DKT ili nao waonekane wasomi kama Kikwete!!! Juzi nimeshangaa shori mmoja ameteuliwa kuwa naibu waziri wa jinsia na watoto eti nae siku hizi ana DOCTORATE sijui ata ameiiba wapi ili mradi nae aonekane msomi!!! Kikwete has cheapened every thing in this poor country.
 
Katika miaka kumi ya urais wa Kikwete kumekuwepo na wimbi la watu kila mmoja wao akidhania kuwa anaweza kuukwaa urais wa nchi hii yote hiyo ni kwasababu wanaona kama mtu kama Kikwete ameweza kuwa rsis kwanini wao pia wasiweze?

Sio urais tu bali katika miaka hii kumi pia kumekuwepo na wimbi la watu kofoji vyeti vya bandia kuhusu elimu yao. Kikwete alipotunukiwa shahada ya heshima ya DOCTORATE kila mwanasiasa nae siku hizi anaitwa DKT ili nao waonekane wasomi kama Kikwete!!! Juzi nimeshangaa shori mmoja ameteuliwa kuwa naibu waziri wa jinsia na watoto eti nae siku hizi ana DOCTORATE sijui ata ameiiba wapi ili mradi nae aonekane msomi!!! Kikwete has cheapened every thing in this poor country.

jamaa kaharibu hii nchi kila mtu anatupa karata ya urais kila mtu anajiita dr
 
jamaa kaharibu hii nchi kila mtu anatupa karata ya urais kila mtu anajiita dr

' Ukishangaa ya Mussa hujaona ya Firauni"!!! Nchi hii hata bus conductors kama wakina Chrisant MajiyaTanga Mzindakaya nao ni DKT!!!
 
Ana green card..huyo hatufai pamoja na membe alitaka kusukuma sheria ya uraia Wa nchi mbili kwa manufaa ya nani hawa ni vibaraka Wa mataifa ya nje..
Lowasa bora Mara 10000000000000ⁿ0
 
kuapishwa-4.jpg

Huyu naye juzi kwenye "party" aliyoifanya pale kwake usiku aliamua kueleza wazi kwa watu wake kuwa serikali ya USA imempitisha kuwa ndiye aje kuwa rais wa TZ 2015

Sasa kama mjuavyo mheshimiwa pesa anayo lakini je hiii kutuambia kuwa serikali ya USA inamtaka aje kuwa rais wetu inaingia akilini kweli?

Kumbe zile tripu zake za kwenda "kula DINA" kwa balozi usiku ni za ku lobi apitishwe na serikali ya Jaluo awe rais wetu?

sasa je mmejiandaa vipi wana JF na "RAIS" Lazaro Nyalandu? Je kati ya Membe, Lowasa na Nyalandu nani anafaa zaidi?
Siku akichukua form ya kutaka uraisi {na sikuwa raisi} naomba uraia wa Burundi.
 
Back
Top Bottom