Lazaro Nyalandu huyoo.. marekani!

images

Mh.Lazaro Nyalandu

Kwa wale wapika majungu mliokua mkitumiwa kueneza uzushi humu ndani eti kwamba mheshimiwa LAZARO NYALANDU hatakiwi kukanyaga marekani sikilizeni hii latest toka kwangu na muache uzandiki kuanzia leo nasisitiza mheshimiwa so far ni miongoni mwa mawaziri wa jk ambae hana kashfa labda mumtafutie nyingine.

Kwa taarifa za "kiintelijensia" zilizofika mezani kwangu toka kwenye "corridor za uwt" mheshimiwa NYALANDU kwa sasa yuko Addis Ababa akiiwakilisha nchi for AU Conference,and he is schedulled to be in Washington DC on wednesday next week for two days breakfast meeting with the leadership there!

Habari ndio hiyo,mwenye kununa anune mwenye kucheka acheke lakini kimeeleweka!..........Invisible na wenzako salam zenu hizi,ha ha haaa.......sasa tuone jinsi atakavyokamatwa airport ndani ya us akajibu yale "mashtaka yako" ya kubaka!
kumbe habari kuwa waziri wa tz yupo ktk majukumu yake ya kuliwakilisha taifa ktk jumuia za kimataifa ni taarifa za kiintelijensia!!?btw hii UWT(sijui ndio Umoja wa Wanawake Tanzania:lol:) inabidi ujivue gamba.
 
Huyu dogo hata kama alikuwa na lengo la kutamka kuwa anataka urahisi basi kwa hali inavyomwendea inabidi habari hii iishie kwenye koromeo lake maana akidiriki kuruhusi ikapenya ikafika mdomoni basi kwisha habari yake maana mdomo haUna memory ya kuhifadhi ili baadaye uamue kuprinti au kudelete msg.

DOGO WAMEMTIME VIBAYA AMEISHIWA NGUVU HATA MITA MIA HAZIJAISHA. SIASA HIZI AWAICHIE WAZEE MAANA WAKISHINDWA WANACHUKULIWA NA PRESURE BASI IMETOKA LAKINI DOGO BADO SANA MAANA AKIPATA PRESURE SASA HIVI ITAMTESA MUDA MREFU SANA.
 
hivi na huyu Nyalandu naye anataka urais? kama urais ndivyo ulivyo basi ngoja nishauri babu yangu naye akagombee kama Shibuda!???
 
mh!mbona marais wa 2015 ni wengi hivi?sipati picha.........
urais kwa viongozi wa ccm ni deal.unaingia ikulu unafanya ufisadi na madudu yako, unamaliza muda wako wa urais,unajigawia miradi fulani kama pensheni unapumzika ukiwa na kinga ya kutoshitakiwa.kwa mazingira haya yanavutia kwa mtu kuwekeza katika mbio za urais kupitia ccm.labda katiba ibadilike.mungu ibariki tanzania.
 
Yani huyu muuza sura+pretender Kuwa rais mara 100 potelea mbali huo uchaguzi ashnde hata DOVUTWA.
 
images

Mh.Lazaro Nyalandu

Kwa wale wapika majungu mliokua mkitumiwa kueneza uzushi humu ndani eti kwamba mheshimiwa LAZARO NYALANDU hatakiwi kukanyaga marekani sikilizeni hii latest toka kwangu na muache uzandiki kuanzia leo nasisitiza mheshimiwa so far ni miongoni mwa mawaziri wa jk ambae hana kashfa labda mumtafutie nyingine.

Kwa taarifa za "kiintelijensia" zilizofika mezani kwangu toka kwenye "corridor za uwt" mheshimiwa NYALANDU kwa sasa yuko Addis Ababa akiiwakilisha nchi for AU Conference,and he is schedulled to be in Washington DC on wednesday next week for two days breakfast meeting with the leadership there!

Habari ndio hiyo,mwenye kununa anune mwenye kucheka acheke lakini kimeeleweka!..........Invisible na wenzako salam zenu hizi,ha ha haaa.......sasa tuone jinsi atakavyokamatwa airport ndani ya us akajibu yale "mashtaka yako" ya kubaka!
LAZ hajamwakilisha JK AU kwa sababu Al Hajj Membe yupo huko na swahiba wake JK

Ushahidi huu hapa

MICHUZI: JK awasili mjini addis Ababa kuhudhulia Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika

lete uwongo mwingine
 
Huyu yuko na Membe bega kwa bega, mi naona ni style fulani ya kutaka apate uwaziri mkuu baadae apokee kijiti kutoka kwa membe!! Nia ya kugombea urais ni kusafisha njia ya membe pamoja na kupunguza kasi ya waoutaka urais kupitia magamba!!
 
kumbe habari kuwa waziri wa tz yupo ktk majukumu yake ya kuliwakilisha taifa ktk jumuia za kimataifa ni taarifa za kiintelijensia!!?btw hii UWT(sijui ndio Umoja wa Wanawake Tanzania:lol:) inabidi ujivue gamba.

Yah..habari ndio hiyo,si unajua siku hizi bongo kila habari ni ya kiintelijensia kutoka corridoni!!!! jamaa ambae tuliaminishwa alikimbia kesi ya kubaka US,Next week anajipeleka mwenyewe huko anakotafutwa kwa ubakaji,sasa tuna shauku ya kuona akikamatwa na kuburuzwa mahakamani kujibu mashtaka.
 
Tumekusoma mheshimiwa Nyalandu.
 
kwani kina nani walisema haruhusiwi kukanyaga marekani?hebu wajitokeze kutoa ufafanuzi otherwise wagongwe ban kwa uzushi!mleta thread na wewe uwe na uhakika na unachokisema la sivyo ban ikurudie wewe mwenyewe!
 
Sasa kwenda Marekani ndio nini? Hizo fedha za kifisadi ndizo zinamtia majivuno! Aheri angekaa kimya aridhike na hayo mapato ya wizi! Huyo hata akipiga ramli, urais hawezi kupata!
 
Nyalandu hayuko Addis Ababa kuiwakilisha nchi, anayewaikilisha nchi ni Rais Kikwete na Nyalandu amemsindikiza rais (pengine kumshikia mkoba).
 
images

Mh.Lazaro Nyalandu

Kwa wale wapika majungu mliokua mkitumiwa kueneza uzushi humu ndani eti kwamba mheshimiwa LAZARO NYALANDU hatakiwi kukanyaga marekani sikilizeni hii latest toka kwangu na muache uzandiki kuanzia leo nasisitiza mheshimiwa so far ni miongoni mwa mawaziri wa jk ambae hana kashfa labda mumtafutie nyingine.

Kwa taarifa za "kiintelijensia" zilizofika mezani kwangu toka kwenye "corridor za uwt" mheshimiwa NYALANDU kwa sasa yuko Addis Ababa akiiwakilisha nchi for AU Conference,and he is schedulled to be in Washington DC on wednesday next week for two days breakfast meeting with the leadership there!

Habari ndio hiyo,mwenye kununa anune mwenye kucheka acheke lakini kimeeleweka!..........Invisible na wenzako salam zenu hizi,ha ha haaa.......sasa tuone jinsi atakavyokamatwa airport ndani ya us akajibu yale "mashtaka yako" ya kubaka!
Ndugu yetu wewe ndio Umechanganyikiwa Jaribu kumweka January Makamba kwenye ndege kuja USA na Sio Nyalandu, Nyalandu yeye and Kadi ya Kijani ya USA yeye ni salama salimini kuja USA...

Tulia na Upumzike - Jaribu tu kumleta kaka Makamba...
 
Eeeh!sasa hivi imekua januari sio?ok bwana mimi nilikua naweka sawa kuhusu nyalandu ambae uzushi ulienezwa humu kwa kasi ya ajabu kwamba hawezi kukanyaga US,Ya januari simo!
 
Sio bure wewe utakuwa magamba damu,maana unaimba na kucheza wewe! Hivi inahitaji phd kujua kama nyalandu anafaa kuwa rais?
 
Hata itumie VUVUZELA KUMPIGIA DEBE LAZARO, hafai,
si kiongozi, i agree with u hana kashfa, kwani ulisikia kila asiye na kashfa ndie anafaa kuwa kiongozi?
Kanunue more vuvuzela ziite LAZAROO, no way hana MVUTO, period...!!!

Back
Top Bottom